Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 5,448
- 6,991
Mjiandae Liverpool tunakuja kuwatembezea kichapo
Vipi liverpool hawakufika?Mjiandae Liverpool tunakuja kuwatembezea kichapo
Walifika lakini hali ya hewa ya Paris haikuwa nzuri wachezaji waliuguaVipi liverpool hawakufika?
AiseeMjiandae Liverpool tunakuja kuwatembezea kichapo
2010/11 Man utd ilifika UEFA final CR7 alianza kukinukisha 2013/14Nilimshauri Mbappe abaki PSG akanijibu kwa kejeli na nyodo eti anaenda timu ya kuchukua Uefa sasa kilichomkuta anakijua mwenyewe wakati huo PSG tunapeta tu
secretarybird
Mbappe sio Ronaldo2010/11 Man utd ilifika UEFA final CR7 alianza kukinukisha 2013/14
UEFA na Makombe mengine hayaishi msimu huu 2024/25
Heshimu Muda
Mi nilimwambia njoo arsenal akasema aseno hawana malengo.Nilimshauri Mbappe abaki PSG akanijibu kwa kejeli na nyodo eti anaenda timu ya kuchukua Uefa sasa kilichomkuta anakijua mwenyewe wakati huo PSG tunapeta tu
secretarybird
Arsenal haohao ndo wamevunja malengo ya wenye malengoMi nilimwambia njoo arsenal akasema aseno hawana malengo.
Na hii ndo imekuwa funzo kwa wengine wenye tabia zinazoshabihiana na za Mbape.Arsenal haohao ndo wamevunja malengo ya wenye malengo
Waache dharauNa hii ndo imekuwa funzo kwa wengine wenye tabia zinazoshabihiana na za Mbape.