Paris inawaka moto...

ndiyo tabu ya kumpa kijana madaraka
yaani mtu 45+ anakuwa rais wa Nchi.
bata ale saa ngapi.na michepuko aipitie mda Gani...
bado screenshots na post za insta chill with D.trump at white House.....hahahahahaa daah vijana hawafai aseeh
 
Ndio mkuu hata uchina ilifuata njia hiyo hiyo kuleta mapinduzi, kwani kabla ya mapinduzi ya mwaka 1949 walikuwa chini ya utawala wa mkono wa chuma wa bwana CHIANG KAISHAK huyu bwana alikuwa kibaraka wa nchi za magharibi, nchi ilikuwa inakumbwa na ukame wa muda mrefu, njaa miundo mbinu mibovu, ufisadi, umasikini wa kutupwa pamoja na ukandazamaji wa haki za kiraia

Historia inasema kuwa hiki ndicho kipindi walipojifunza kula vitu visivyolika kutokana na kupigwa na baa la njaa kwa kipindi kirefu walikúla nyoka, vyura waligeukia hadi wanyama wa wakufugwa kama mbwa

Hali hii iliwapelekea wachina bila kujali ujinga wao walikuja pamoja kupinga madhila yalitokuwa yanawakumba

Wakiongozwa na mwenyekiti wao MAO-TSE TUNG chini ya chama cha kikumunist walifanikiwa kumvurumusha CHIANG ambaye alikuwa kibaraka wa nchi za msgharibi (wanasiasa wanaposema tulikuwa level moja ya kiuchumi na china wakati wa uhuru ndio wakati huu)

Pamoja na mapungufu ya Mao kwani naye alikuwa na element za udkteta ila kwa kiasi kikubwa alifanikiwa kutransform uchumi wa china kiongozi huyu alivutiwa zaidi na uongozi wa iliyokowa USSR ndugu Vladimir Lenini alikuwa kama role mode wake kama alivyofanya nyerere alitaifisha mali zote zilizomilikiwa na wageni km wazungu na wajapan, aliunganisha wachina kwa kuamua kutumia kichina km lugha ya taifa, pamoja na kuwafanya waamini kaatika dini zao za asili kuliko zile za magharibi
Bwana Mao alikuja na mpango kazi kama (green revolution) mapinduzi ya kilimo pamoja na mambo mengine mapinduzi ya kijani yalipekea uchina kukua kwa kasi kubwa kwani haikuwa mapinduzi ya kwenye makaratasi ila kila kona ya nchi ilizalisha ndicho kipindi pia baadae ambapo Mao alimkaribisha Rais wa USA kipindi kile Richard nixon kwa ajili ya kuwekeza uchumi wa viwanda hapo ndio china ilianza kupadilika rasmi

Kutokana na kujiimarisha kwa uchina kutokana na kukua kwa kasi kulipekea kuzuka kwa siasa za kinazi na kifashizimu pia dunia ikagawanyika katika pande mbili Warsaw pact na ile ya magharibi Nato ndio kipindi pia vita baridi ilipamba moto hata nyerere alipozuru uchina alishangaa jinsi nchi ilivyokuwa inakimbia kiuchumu Pamoja na Mao kulaumiwa kuua wapinzani na kuwapoteza lkn ametoa mchango mkubwa katika nchi yake

Asante mkuu
 
Hawa hadi washibe kwanza ndio watakumbuka
Wahuni wa ccm/viongozi wa Africa walifanikiwa kutengeneza genge kubwa sana la wasomi wapumbavu, ndiyo maana tunakufa na tai shingoni, unatengemea msomi kama Prof Kabudi unatengemea uwe kama mzungu?
 
anawaza kula bata na kupiga pamba
ndiyo tabu ya kumpa kijana madaraka
yaani mtu 45+ anakuwa rais wa Nchi.
bata ale saa ngapi.na michepuko aipitie mda Gani...
bado screenshots na post za insta chill with D.trump at white House.....hahahahahaa daah vijana hawafai aseeh
 
Wao pia walipita barabara hii hii tena worse!
No worries at all!
Wala laajabu hamna walahi
 
Read this article but inanigomea apload
 
Mzungu ni mzungu tu. Hawa watu ni toleo la kwanza kabisa hatuwezi kushindana nao.

Hivi ingekuwa hayo yanafanyika Uganda tungekuwa na marehemu wangapi hadi sasa? Acheni wazungu waitwe wazungu.
nafikiri hata ww usinge comment hapa maana ungekuwa ushavunjwa vunjwa mikono😂😂😂 africa bhana ni bara la hovyo kabisa viongoz waroho wababe wazee,washenzi,wauwaji na hawashauriki hata kama anajiona anakosea hatak kukubar ili tu awakomoe wapinzan wake,,mbaya zaidi ukipaza saut unatekwa
 
Kwa hao wanaojitambua..hapo kuna Madaktari, maprofesa na watu kutoka kada na hali mbalimbali wanajumuika pamoja kuandamana na kutetea haki kwa Maslahi ya wote. Hapa kwetu jambo hilo ni ndoto. Tunategemea Bodaboda waandamane tupate mabadiliko!
 
Acheni hizo hapa hakuna cha mkono wa Trump wala wa Putin. Wafaransa wenyewe wameamua kudai haki zao. Chanzo ni kwamba Macron alifuta kodi inatwa ISF. L'import sur fortune. Hii kodi walikuwa wanalipa matajiri na ilikuwa inaiingizia nchi almost 5b euros.Sasa alipoifuta ili kufidishia kaongeza kodi ya gasoline na kodi kibao kwa classe moyenne. Yaani watu wa maisha ya kati. Maandamano yalianza ili kupinga ongezeko la kodi kwa mafuta na kupanda hali ya kuwa maisha magumu. Gilet jaune "Yellow vest ndo vazi maalumu la waandamanaji. Hata hivyo Maandamano yamejibu maana hiyo kodi imefutwa. Na wiki ijayo Rais ataongea na Taifa. Sasa hotuba ya Rais ndo itatoa majibu kama Gilet jaune wataendelea kuandamana ama la.
 
Mzungu ni mzungu tu. Hawa watu ni toleo la kwanza kabisa hatuwezi kushindana nao.

Hivi ingekuwa hayo yanafanyika Uganda tungekuwa na marehemu wangapi hadi sasa? Acheni wazungu waitwe wazungu.
I second you,
 
You slang like US-indigenous
their fucken rights
Wafaransa,hawachezi na haki zao.Hakuna binadamu wa kuwafikia dunia nzima. They don't give a ****, they fight for their fucken rights.
 
Thanks for the alert your a super girl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…