Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,500
- 17,554
Kweli mkuu tukamtoe kipara pale magogoni maana tangu aingie 2015 hajafanya kitu zaidi ya kununua wapinzani ili kuunga mkono juhudi.Vipi tanzania hatuwezi amua kuandama kuelekea magogoni kumtoa mkulu...
Mm naamini wazungu ni watu wenye akili sana/ Marekani/Russia naamini wanatumia akili nyingi sana wanapo taka kufanya mission zao... Kama Russia au Marekani wanaweza kuwa wapo nyuma ya haya maandamano ya kumtoa Macro madarakani waha jamaa wanatumia njia ambazo hawataacha ushahidi kuepuka kulaumiwa na jumuiya za kimataifa,Acheni hizo hapa hakuna cha mkono wa Trump wala wa Putin. Wafaransa wenyewe wameamua kudai haki zao. Chanzo ni kwamba Macron alifuta kodi inatwa ISF. L'import sur fortune. Hii kodi walikuwa wanalipa matajiri na ilikuwa inaiingizia nchi almost 5b euros.Sasa alipoifuta ili kufidishia kaongeza kodi ya gasoline na kodi kibao kwa classe moyenne. Yaani watu wa maisha ya kati. Maandamano yalianza ili kupinga ongezeko la kodi kwa mafuta na kupanda hali ya kuwa maisha magumu. Gilet jaune "Yellow vest ndo vazi maalumu la waandamanaji. Hata hivyo Maandamano yamejibu maana hiyo kodi imefutwa. Na wiki ijayo Rais ataongea na Taifa. Sasa hotuba ya Rais ndo itatoa majibu kama Gilet jaune wataendelea kuandamana ama la.
sasa mkuu majasusi wa russia wakiwa katika mipango yao ww lzm ujue? au nan aliejua kuwa CIA ndio waliomuua lumumba ?Naijua hali halisi, hakuna cha Putin wala nini, Ninaishi France, nafanya kazi France, najua ninachokisema.
You have got a clue.Ulaya yenye vurugu haimfai Russia...Russia nataka Ulaya yenye utulivu. Sababu muhimu ni ya kiuchumi/kibiashara. Russia anawauzia Ulaya nishati/gasi karibu asilimia 30% ya matumizi yote ya Ulaya.
Sasa Russia atakuwa kichaa kweli aamue kuvuruga sehemu anakopatia pesa za kukuza uchumi / yaani avuruge soko la gasi yake. Ndiyo maana Ukraine alipoweka usiku kwenye kupitisha gesi ya Russia kwenda Ulaya...Russia alifanya juu chini kwa kuratibu njia mbadala ya kupitisha gesi yake. Na ameingia Ubia na makampuni ya Ujerumani na nchi nyingine katika lile bomba la kaskazini la gesi. Hivyo, hoja yako ya Russia kuivuruga Ulaya inakosa mashiko, sana sana inaboresha wasiwasi wangu kwako kuwa kwa makusudi unaficha ukweli wa nani hasa anataka kuivuruga Ulaya.
Kuna maswali nimekuuliza haujayajibu. Pentagoni ama Washington walisemaje juu ya kauli ya Macron kuwa na Ulaya iwe na jeshi lake la ulinzi?
Tutolee ujinga hapa.Mzungu ni mzungu tu. Hawa watu ni toleo la kwanza kabisa hatuwezi kushindana nao.
Hivi ingekuwa hayo yanafanyika Uganda tungekuwa na marehemu wangapi hadi sasa? Acheni wazungu waitwe wazungu.
kaolewe nao sasa.Mzungu ni mzungu tu. Hawa watu ni toleo la kwanza kabisa hatuwezi kushindana nao.
Hivi ingekuwa hayo yanafanyika Uganda tungekuwa na marehemu wangapi hadi sasa? Acheni wazungu waitwe wazungu.
Namshangaa sana huyu jamaa. Atakuwa na matatizo ya kufikiriTutolee ujinga hapa.
Watu toleo la kwanza walikuwa weusi tii.
Na walitokea maeneo ya Tz/Kenya
RIP Akwilina...Mzungu ni mzungu tu. Hawa watu ni toleo la kwanza kabisa hatuwezi kushindana nao.
Hivi ingekuwa hayo yanafanyika Uganda tungekuwa na marehemu wangapi hadi sasa? Acheni wazungu waitwe wazungu.
kaolewe nao sasa.
Acha kuweka dhahania kichwani mwako una ushahidi wa uumbaji? Nyangumi wewe!Tutolee ujinga hapa.
Watu toleo la kwanza walikuwa weusi tii.
Na walitokea maeneo ya Tz/Kenya
Oldest human fossil ilipatikana wapi mburula wewe. Unapajua olduvai gorge au unapasikia.Acha kuweka dhahania kichwani mwako una ushahidi wa uumbaji? Nyangumi wewe!
Oldest human fossil ilipatikana wapi mburula wewe. Unapajua olduvai gorge au unapasikia.
Brain washed nincompoop.
Mburula wa hovyo, kasome history au nenda kwa hao waume zako wa kizungu, hamisha na wenzako wote mkachezewe vinyeo vyenu maana mna mahaba ya dhati kwao.Nyau wa bar wewe! Ni mafuvu mangapi kila leo yanaokotwa na kusemekana yaliishi mamilioni ya miaka iliyopita!
Baada la Olduvai kuna fuvu lingine limeokotwa lenye umri sawa na hilo hayo maeneo? Na kama hakuna fuvu lingine huyo mmeo aliishi Olduvai mwenyewe Acha kukaririshwa shoga la nyau!
Nyau wa bar! Hiyo historia ya Olduvai si imeandikwa na huyo mzungu ambaye leo unaona ni mjinga!Mburula wa hovyo, kasome history au nenda kwa hao waume zako wa kizungu, hamisha na wenzako wote mkachezewe vinyeo vyenu maana mna mahaba ya dhati kwao.
Unaelewa maana ya the oldest human fossil? Inamaana hiyo mifupa yote iliyookotwa inayookotwa ya binadamu, hakuna inayomzidi miaka ya aliyeokotwa olduvai gorge r chuga hapo.
Wao walishamaliza hii stage tuliyonayo enzi za Napoleon ambaye aliwasumbua sana Europe karibu yote kwa vita.Mzungu ni mzungu tu. Hawa watu ni toleo la kwanza kabisa hatuwezi kushindana nao.
Hivi ingekuwa hayo yanafanyika Uganda tungekuwa na marehemu wangapi hadi sasa? Acheni wazungu waitwe wazungu.
Tanzania magufuli anaogopwa ukiandamana unauawa,Kwa huu moto Emmanuel macron sijui kama atabaki
Nchi ya Ufaransa imesimama watu kutoka mashambani wanakusanyika mjini Paris kishinikiza macron aondoke madarakani
Kampuni za usafirishaji hasa mabasi zimeshusha nauli kwa 50% ili kuwawezesha wananchi wanaotaka kwenda Paris kuungana na waandamanaji wengine
Usafiri wa tren pia kuna discount kwa wanaosafiri kwenda paris kwa ajili ya maandamano makubwa yaliyopangiwa kufanyika aidha vyombo mbali mbali vya habari vinaripoti macron anajiandaa kung'oka kwa hiari.
Chanzo kikubwa cha maandamano ni kupanda kwa gharama za maisha hasa nishati ya petrol
Pia makampuni kadhaa ya ndege yanashusha nauli kwa wanaokwenda paris kuandamana
Tukumbuke macron alikuwa tumaini kubwa sana kwa umma wa ufaransa kabla ya kuingia ikulu kutokana na sera zake ila sasa mambo yabadilika
My concern...Putin anataka kuisambaratisha ulaya? Kuna vitu vingi nyuma ya pazia tuendelee kusubiri na kuona
Hii inanikumbusha french rovulations iliyopelekea ufaransa kuendelea sanaView attachment 960355