What goes around, comes around.
The origins of the moderna day zmiddle East conflict dating back from the early year 2000 is now coming back to haunt the West in a way never imagined before.
Osama alishafariki lakini bado kuna Wafuasi wake akina Mullah Mohamed.Hawa na Wapashtun wengine wenye ushawishi lazima wadhibitiwe kabisa kabla ya kuondoka.Kitendo cha Kumfundisha na kupewa Misaada kwa Osama hakuhalalishi matendo yake maovu.Malengo yalikuwa ni kumtumia vizuri lakini alikengeuka hivyo kustahili adhabu.Ni sawa na Daktari anaetumia utaalamu wake kutolea Mimba Wanafunzi lazima aadhibiwe,huwezi kumlaumu mwalimu wake pindi akimwadhibu eti alifanya kosa kumfundisha.
1.Maisha ya Marekani kwa sasa ni bora kuliko Enzi ya Ghadafi kwa sababu hawana mtu wa kuhofia huko Libya.Kama walibya wenyewe wameamua kuendelea kuuana hilo ni jukumu lao. 2.Ni Punguani Pekee anayeweza kusema Magharibi haijaitawala Dunia.Angalia kuanzia Kalenda tunazotumia,Sheria mfano mke mmoja tu ndie anayetambuliwa kiserikali,Sheria za Ugaidi,Maandishi,Mitandao,Kujiunga na Mashirika Mbalimbali na Unyenyekevu wa mataifa yetu kwao.Hata kutembelea na Obama nahesbabiwa na viongozi wetu kama ni Maendeleo.
Mimi najua.1.Saddamu alipinduliwa kwa nguvu za Magharibi kwa sababu aliivamia Kuwait.Kumbuka Kuwait ilikuwa na Maslahi na Mikataba Minono ya Mafuta na Marekani hivyo Iraq ilivamiwa ili isihujumu Maslahi ya Marekani.Ni sawa na Tanzania ilipompindua Idd Amin ili kulinda Kyaka isichukuliwe na Uganda. 2.Ghadafi alipinduliwa na Magharibi kwa sababu alikuwa Dikteta.Yeye na Familia yake ndio walijifanya kuimiliki Libya.Kulingana na Demokrasia ya Magharibi ambayo ndio inatawala Dunia ni kosa kubwa kujimilikisha Nchi na Familia yako.Kibaya zaidi alijifanya ana nguvu za kupambana na Mataifa makubwa ya ulaya na Marekani kiasi kwamba alituma Magaidi kutungua ndege Lockeby.Ilibidi wamwonyeshe kwamba wao ndio wababe.Ni sawa na CUF ikijitia kupambana na CCM inaweza kulia na kusaga meno. 4.Syria wanauwana kwa sababu Rais Assad ameminya Demokrasia na anadhulumu wapinzani hivyo wamepewa msaada na Mataifa ya Magharibi ili kuiondea serikali ya Assad na wakati huohuo Russia inamsaidia Assad kwa sababu haitaki Mataifa ya Magharibi yazidishe ushawishi kwa majirani zake.Ni sawa na CCM inavyosaidiwa na Chama Rafiki cha ukombozi wa China na CHADEMA inavyosaidiwa na Chama rafiki cha Christian Democrat. 4.Afghanistani ilishambuliwa na Magharibi kwa sababu ilikuwa imemhifadhi Gaidi namba Moja Duniani OSSAMA BIN LADEN ambae alikuwa anatishia usalama wa Dunia.Ni sawa na Tanzania na nchi washirika walivyoenda kufurumusha kikundi cha M 2 huko CONGO.
Acha uvivu wa kufkiri wewe.....Toa ushahidi ni ki vipi US wanawasupport ISIS...weka ushahid concrete unao sound vichwan mwa watu wenye fikra pevu,sio ku download ushuz wa watu kama wewe uko google na kuuleta hapa...Acha kuishi kwa kukariri na kuongozwa na mihemko,fuatilia mambo
the West completely miscalculated how the Middle East will be like, by imposing democracy.
By nature the people in middle east are very sensitive to 'higher power', Deity aka God.
Its either they follow religious leaders or submit to military regime.
Imposing democracy has been a total failure and that has made hardcore fundamentalist take charge and follow religious instructions like old time crusaders.
Yes, Islam is about love and peace but these people read the same pages, even in Christianity crusaders beheaded and slaughtered people who won't recognise Deity or didn't follow religion.
These attackers are fighting back democracy, that's all to it. The day we leave them and their way of life the better it will be for the rest of us.
There is no need to force them to accept democracy, they clearly don't want it!!!
Mkuu huu uwanda ni wa watu wanailewa international relations na si Yanga na Simba.Umeelewa nlichokwambia hapo lakini?...Kwan nmekwambia nina shida ya ku google?....Hapa nmehitaji concrete evidence ku support hicho ulichosema kule mwanzoo...
True to your word.the West completely miscalculated how the Middle East will be like, by imposing democracy.
By nature the people in middle east are very sensitive to 'higher power', Deity aka God.
Its either they follow religious leaders or submit to military regime.
Imposing democracy has been a total failure and that has made hardcore fundamentalist take charge and follow religious instructions like old time crusaders.
Yes, Islam is about love and peace but these people read the same pages, even in Christianity crusaders beheaded and slaughtered people who won't recognise Deity or didn't follow religion.
These attackers are fighting back democracy, that's all to it. The day we leave them and their way of life the better it will be for the rest of us.
There is no need to force them to accept democracy, they clearly don't want it!!!
Kitu pekee ambacho watu wanatakiwa waelewe ni kwamba watu wengi wa Middle East kufa kwao ni thawabu ndio maana huwa hawajali sana na vyombo vya habari havitii mkazo tofauti na Ulaya ambapo kufa kwao ni Janga.Kimsingi ipo haja ya kuyatokomeza makundi ya kigaidi.
Wewe ndio unaleta kitu kipya.Mimi nimekwambia sababu ya kumwondoa Saddam ni kulinda maslahi yake kule Kuwait.Hizo sababu za WMD ni za kwako ndio ambazo inabidi ujiongeze mimi sijazisema.Sababu kuu ni MASLAHI.
Kiuhakika hujui unachoongekea!Mimi najua.1.Saddamu alipinduliwa kwa nguvu za Magharibi kwa sababu aliivamia Kuwait.Kumbuka Kuwait ilikuwa na Maslahi na Mikataba Minono ya Mafuta na Marekani hivyo Iraq ilivamiwa ili isihujumu Maslahi ya Marekani.Ni sawa na Tanzania ilipompindua Idd Amin ili kulinda Kyaka isichukuliwe na Uganda. 2.Ghadafi alipinduliwa na Magharibi kwa sababu alikuwa Dikteta.Yeye na Familia yake ndio walijifanya kuimiliki Libya.Kulingana na Demokrasia ya Magharibi ambayo ndio inatawala Dunia ni kosa kubwa kujimilikisha Nchi na Familia yako.Kibaya zaidi alijifanya ana nguvu za kupambana na Mataifa makubwa ya ulaya na Marekani kiasi kwamba alituma Magaidi kutungua ndege Lockeby.Ilibidi wamwonyeshe kwamba wao ndio wababe.Ni sawa na CUF ikijitia kupambana na CCM inaweza kulia na kusaga meno. 4.Syria wanauwana kwa sababu Rais Assad ameminya Demokrasia na anadhulumu wapinzani hivyo wamepewa msaada na Mataifa ya Magharibi ili kuiondea serikali ya Assad na wakati huohuo Russia inamsaidia Assad kwa sababu haitaki Mataifa ya Magharibi yazidishe ushawishi kwa majirani zake.Ni sawa na CCM inavyosaidiwa na Chama Rafiki cha ukombozi wa China na CHADEMA inavyosaidiwa na Chama rafiki cha Christian Democrat. 4.Afghanistani ilishambuliwa na Magharibi kwa sababu ilikuwa imemhifadhi Gaidi namba Moja Duniani OSSAMA BIN LADEN ambae alikuwa anatishia usalama wa Dunia.Ni sawa na Tanzania na nchi washirika walivyoenda kufurumusha kikundi cha M 2 huko CONGO.
True to your word.
Democracy as per the Wests definition wakati mwingine huwa haina maana sana.
Sasa refugees have exercised their democratic rights kwa ku-move into the West intself.
What irony!
Binadamu wote ni SAWA lakini sio SAWA SAWA! Hii ni fact ambayo wengi hawaijui na hata kama wanaijua hawaikubali. Mzungu ana thamani kuliko mwafrika! Thamani au utu wa mtu unategemea mambo mengi.... si ubinadamu tu! Lakini hakuna wa kumlaumu bali ni sisi waafrika wenyewe. Hatutaki kuthamini utu wetu! Kama wewe mwenyewe huthamini utu wako, ni nani mwingine atakayethamini?Kuna mambo ukitaangalia kwa undani utagundua ubaguzi duniani bado upo juu
Paris wamekufa watu mia tu,Dunia nzima macho na nguvu wameelekeza huko.
Wapalestina syria Lybia kila siku watu wanakufa na watu wamekaa kimya au wazungu wanadamu tofauti na yetu?
Hapo rwanda tu washaondika mia 200 na ushee.Hawa jamaa sio watu wazuri kabisa.
Eti"FB nao wanajifanya kuomboleza.Wanajifanya leo ndio wameona damu za watu zingimwagika,Ovyo kabisa.