Paris Attacks:The West is reaping the hate it planted in the Middle East.

Paris Attacks:The West is reaping the hate it planted in the Middle East.

Status
Not open for further replies.
wa Nigeria kibao hufa siku hadi siku, sijasikia wazungu wakilani sana, leo wamekufa mia tu dunia nzima hatulali, kinachokera ni kuona sisi waafrika wenyewe mishipa imetusimama kukemea mauaji yale, mbona yakitokea kwetu wako kimya?? tuacheni kujipendekeza kwa wazungu...
 
Binadamu wote ni SAWA lakini sio SAWA SAWA! Hii ni fact ambayo wengi hawaijui na hata kama wanaijua hawaikubali. Mzungu ana thamani kuliko mwafrika! Thamani au utu wa mtu unategemea mambo mengi.... si ubinadamu tu! Lakini hakuna wa kumlaumu bali ni sisi waafrika wenyewe. Hatutaki kuthamini utu wetu! Kama wewe mwenyewe huthamini utu wako, ni nani mwingine atakayethamini?
Hakuna usawa hata kwa wafu, wengine wanaitwa marehemu na wengine wanaitwa hayati, watu waache povu ni ujinga kujifanisha na mzungu halafu kesho mnakwenda kuwaombaomba misaada.
 
wa Nigeria kibao hufa siku hadi siku, sijasikia wazungu wakilani sana, leo wamekufa mia tu dunia nzima hatulali, kinachokera ni kuona sisi waafrika wenyewe mishipa imetusimama kukemea mauaji yale, mbona yakitokea kwetu wako kimya?? tuacheni kujipendekeza kwa wazungu...
Halafu kesho asubuhi unapanga foleni kuomba viza uzamie hukohuko uzunguni, Wabongo bana.
 
Ni kawaida kusikitika pale unapotokea msiba kama ulio tokea Paris, mambo yafuatayo yanazid kunifanya niwachukie wazungu na pia kuwahurumia waafrika wenzangu kutawaliwa hadkiakili

Mitandao ya kijamii kama Facebook kuna special profile kwa kila member kama special tribute kwa Paris na waafrica wengi tumeupdate kuwasapoti.

Mauaji ya maelfu ya watu syria , Congo, boko haram in naijeria, bombing of Kenya shopping mall, wqnaokufa somalia kwa njaa n.k

Sijawah ona tukisikitika kwa aya yote. Waafrika wenzetu wanakufa kila siku mamia kwa maelfu ila I'll hatulioni tunasikitikia misiba yao.

Marekani inazalisha maindi kwa kiss kikubwa lakini wanalisha mifugo maelfu wanakufa kwa njaa somalia, kwasababu somalia kuna vumbi tu hawaez pata chochote.

Kufa kwa ao wafaransa 128 tunasikitika bila kusaau ndugu zetu Africa wanakufa mamia kila saaa.

Kwanini hawatupi msaada wa kujenga shule na vyuo vikuu na kutupa misaada ya silaha na madawa ambayo Tatar in contaminated.

Africa try to think
 
Hao waarabu wanapenda kufa kufa kwao kuuana ni hobby na thawabu kwa iyo watu wamezoea.
 
Kwenye Shambulizi la Ubalozi wa Marekan nchin Tanzania August 7, 1998 baada ya Mlipuko maafisa Usalama wa Marekan kipaumbele chao kilikuwa ni kuokoa mtu mweupe, waliacha majeruhi wanaohitaji Msaada wa haraka wakawahi kuokota Maiti za wazungu. Tunawapenda sana Wazungu ila wenyewe hawatupendi wala kututhamini
 
Wewe asubuhi unaamkia kiporo cha kande iliyochacha. Mchana unavizia lunch kwa jirani ambayo ni arage haijaungwa na dona. Mida ya jion kashata na kahawa eti unaiga wazungu snacks. Mda wote huo ujishughulishi umbea tu fitna majungu wivu uvivu ushirikina ufisadi. Kwa nini damu yako isiwe tofauti?
 
Ni kawaida kusikitika pale unapotokea msiba kama ulio tokea Paris, mambo yafuatayo yanazid kunifanya niwachukie wazungu na pia kuwahurumia waafrika wenzangu kutawaliwa hadkiakili

Africa try to think

kifo ni kifo, lazima watu wasikitike.

ISIS hawana ndugu, wako kila mahali, hata Afrika wameshaingia.
 
Ni sawa ila umewahi kuona marekani na ulaya kwa ujumla wakisikitika kuhusu vifo vya waafrica? Ilikuja Ebola maelfu walikufa , uliona Facebook ikibadilishwa rangi ya profile? Maelfu walikufa Libya na misri ulisikia umoja wa mataifa wakisema tuiombee Africa?
 
"Shame on we"? shame on you Mao ze dong kwa kulazimisha kutumia lugha za hao unaowaponda wakati hujui kitu! Isitoshe hata ID yako yako tu inaonesha wewe ni mtumwa! Shame on you twice!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom