SirChief
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 3,304
- 3,380
Ni kweli kabisa.
Ukitazama hayo machafuko ya Middle East utadhani ni utani, lakini hao "wakimbizi" wamevaa vizuri sana na wana hela zao za kula.
Nia yao ni kwenda Ulaya tu, sijasikia wanaokimbilia kwa waarabu wenzao au Afrika!!
Ulitaka wakimbilie kwa waarabu wenzao?...We unafkir wanaaminiana kwa kiasi hicho?....Situ zote mkimbizi anakimbilia pale ambapo ataishi kwa aman kwa muda mrefu na hatokimbia tena....we unafkir nchi za kiarabu wanaamika kiasi hicho?....ulaya ndo wanakooma kma pepo yao