Paris Attacks:The West is reaping the hate it planted in the Middle East.

Status
Not open for further replies.

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,410
Reaction score
14,119
What goes around, comes around.
The origins of the moderna day zmiddle East conflict dating back from the early year 2000 is now coming back to haunt the West in a way never imagined before.

Conflicts starting from the Mujahedeens, Al Qaeda now ISIS and othervery fanatical and murderous factions have taken a turn that is both shocking and unthinkable at times.

By my opinion, the West got this whole conflict wrong by going for the regimes that were equally murderous,but they kept thess factions in check.

Its not a secret, Gaddafi of Lybia, Saddam Hussein of Iraq, and also Assad of Syria were strong men.
But these arab leaders were not people whon these factions messed sround with, they ruthlessly kept these arab murderous groups in line.

The West bombed and destroyed entire communities in Irag, Lyibia, Syria and also Afghanistan, was this expected to subjugate these arabs into submission?

The results are now clearly different, hatred has been planted and we are seeing the results of the hate planted.

Now the US an the rest of the West took out the "undesirable" regimes and all hell is breaking out loose.
Worser still these murderous factions have spread out all over the west in the form of "refugees".

Sometimes, honestly I am amazed by the Wests naivety of looking at conflicts.

Wakati huo huo............

Bashar al-Assad Blames Paris Attacks on France's Foreign Policy

France's support for opponents of Syrian regime was reason for attack, says Syria's president

attachment.php

Syrian President Bashar al-Assad, pictures in Damascus on Nov. 14, said that France's foreign policy had contributed to the attacks that killed 127 people in Paris. PHOTO: AGENCE FRANCE-PRESSE/GETTY IMAGES
 
US si wanawafadhili hawa watu?

Umoja wa Ulaya wameshaanza kufumbuka macho kuona jinsi gani walivyopelekeshwa na US kujiunga nao kwenye vita mbalimbali.

Matatizo yanatokea EU ila US hayafiki.
 
Ni kweli kabisa.
Ukitazama hayo machafuko ya Middle East utadhani ni utani, lakini hao "wakimbizi" wamevaa vizuri sana na wana hela zao za kula.
Nia yao ni kwenda Ulaya tu, sijasikia wanaokimbilia kwa waarabu wenzao au Afrika!!
 
Leo dunia nzima inalia sababu ya paris-ufaransa kila mtu anaomba kwaajili ya amani ya ufaransa kitu ambacho ni kizuri.mpaka sasa ufaransa imepoteza takribani watu 120 katika mashambulizi yaliyofanywa jijini paris lakini kanakwamba haitoshi mtandao wakijamii wa facebook umeunga mkono maombolezo na upingaji wa mashaambulizi na mauaji ya paris kwa kuruhusu kuwepo kwa bendera ya ufaransa katika profile picture ya mtumiaji yeyeote wa facebook
ukakasi niuonao mimi ni huu hapa kwanza ni kiwepo kwa ubaguzi mkubwa na upendeleo wa wazi unaoneshwa na mataifa makubwa hususani ujerumani ambao walishusha bendera zao nusu mlingoti ishara ya kuomboleza vifo vya paris.
sasa ukiandalia kwa makini utagundua kuwa syria wamepatwa na mashambulizi yalioua maelfu ya watu haya nenda gaza maelfu ya watu wameuawa haya angalia tetemeko la ardhi lilivyoua maelfu ya watu njoo tena hapa somalia uone alshabab walivyoua maelfu ya watu malizia hapa jirani burundi ona mamia ya watu walivyo uawa.
sasa mbona hatukuona dunia ikisimama kama sasa kuyalaani na kuomboleza mauaji hayo katika mataifa niliyoyataja mbona mjerumani hakushusha bendera nusu mlingoti kwaajili ya syria au somali au gaza haya mbona facebook haikutoa icon ya bendera za mataifa hayo niliyo taja kunanini juu ya ufaransa mbona kikundi cha machinjachinjaa wa kiarabu wameuasana ila dunia ilikaa kimyaa huu ubaguzi wawatu utaisha lini kwanini tusiombeane wote dunia tuwaombee wenzetu burundi somalia syria gaza hata ufaransa.
sote ni waja wa mwenyezi mungu tusibaguane tupendane
na Godwill Sanga
0756979566
 
Mauaji ya Paris ni ya kusikitisha.
Lakini huko Baghdad na Syria watu kiasi hicho wanauwawa KILA SIKU MOJA!

Na nchi za magharibi ndio zilizoanzisha haya machafuko.
Hatushangai sana maana hata Biblia Takatifu inasema mtu anavuna alichopanda.
 
kwanini mataifa mengine hayapewi uzito kama walivyoipa ufaransa? wengine tuko dunia gani?
 
Even in Africa most of the country colonized by france there is political unrest
 
Kitu pekee ambacho watu wanatakiwa waelewe ni kwamba watu wengi wa Middle East kufa kwao ni thawabu ndio maana huwa hawajali sana na vyombo vya habari havitii mkazo tofauti na Ulaya ambapo kufa kwao ni Janga.Kimsingi ipo haja ya kuyatokomeza makundi ya kigaidi.
 
?With each passing day there are fewer safe places in Syria,? Paulo
S?rgio Pinheiro, chairman of the United Nations panel investigating
human rights abuses in Syria, wrote in a recent report. ?Everyday
decisions ? whether to visit a neighbor, to go out to buy bread
? have become, potentially, decisions about life and death.?

Source: http://www.nytimes.com/interactive/2015/09/14/world/middleeast/syria-war-deaths.html?_r=0

What's the cause of all these FaizaFoxy, ni kweli waarabu na uislam ni dini ya fujo au kuna mkono wa mataifa yq magharibi yenye maslahi binafsi kula Umangani?
 
Last edited by a moderator:
Kitu pekee ambacho watu wanatakiwa waelewe ni kwamba watu wengi wa Middle East kufa kwao ni thawabu ndio maana huwa hawajali sana na vyombo vya habari havitii mkazo tofauti na Ulaya ambapo kufa kwao ni Janga.Kimsingi ipo haja ya kuyatokomeza makundi ya kigaidi.
Mkuu sikubaliani sana na wewe juu ya hili.
Hakuna binadamu anayechukia amani
Hivyo vikundi vya kigaidi vyenye imani kali, vilikuwa vina shughulikiwa kikamilifu na hao walioitwa madikteta, ambao nchi za magharibi waliamua kuwaua.

Vikundi hivyo sasa viko huru kusafiri dunia nzima, matokeo yake ndo tunayaona.
Nakubaliana na mtoa hoja.
 
What's the cause of all these FaizaFoxy, ni kweli waarabu na uislam ni dini ya fujo au kuna mkono wa mataifa yq magharibi yenye maslahi binafsi kula Umangani?

It takes two to Tango.

Sababu zinaweza kuwa ni nyingi sana.

Cha kujiuliza, kwanini Saddam alipinduliwa kwa nguvu za magharibi? Kwanini Gaddafi alipinduliwa kwa nguvu za magharibi? Kwanini leo Syria wanauana kwa nguvu za magharibi?

Kwanini Afghanistan ilishambuliwa kwa nguvu za magharibi?

Hao wote niliowataja sijaona sababu ya maana na ya ukweli kwa kushambuliwa na kuuawa wao na raia zao, jee wewe unaijuwa?

Usisahau, mpaka leo hii nchi za magharibi ndizo zinalinda amani huko nilipopataja!

Nionavyo, mashambulizi kama haya hayatasita leo wala kesho, mpaka dunia iwe na ukweli.
 
Pamoja na kutokuwa mwislamu. Lakini naona siasa za nchi za magharibi katika mashariki ya kati zimeleta kansa ya machafuko yanayoenea dunia nzima sasa.
Binadamu awaye yote anapenda kuishi kwa mila, desturi na imani yake.
Watu waachiwe wafanye hivyo.
Marekani na nchi za magharibi zimekuwa zikijishughulisha sana mashariki ya kati iwe kama watakavyo wao, ilhali tamaduni na imani za huko hawazijui.

Waliokuwa wanazijua tamaduni hizo na imani zilizopitiliza , nchi zamarekani na mgharibi kwa ujumla waliamua kuwaua, kina Saddam, Gaddafi na hata Assad.

Leo hakuna kiongozi wa kiarabu mwenye nguvu wa kuyadhibiti makundi hayo ya imani kali.
Nchi za Magharibi ximenunua ugomvi toka viongozi wa kiarabu, na sasa wanaona matokeo yake.
 
Kwa Afghanistan ilishambuliwa kwa nguvu za magharibi?

Hao wote niliowataja sijaona sababu ya maana na ya ukweli kwa kushambuliwa na kuuawa wao na raia zao, jee wewe unaijuwa?

Kwa akili ya kawaida unaweza kuona nchi za Magharibi wanafuata masilahi yao ya kiuchumi Middle East, hasa mafuta na kueneza ustaarabu wa kizungu kule kwa waarabu...kumbuka ni pembe ya dunia pekee ambayo inaonekana kung'ang'ania ustaarabu wake wa zamani kuliko sehemu nyingine za dunia#
 
Kitu pekee ambacho watu wanatakiwa waelewe ni kwamba watu wengi wa Middle East kufa kwao ni thawabu ndio maana huwa hawajali sana na vyombo vya habari havitii mkazo tofauti na Ulaya ambapo kufa kwao ni Janga.Kimsingi ipo haja ya kuyatokomeza makundi ya kigaidi.

Tuanze na Green,Red na Blue guard kwanza!
 
Kitu pekee ambacho watu wanatakiwa waelewe ni kwamba watu wengi wa Middle East kufa kwao ni thawabu ndio maana huwa hawajali sana na vyombo vya habari havitii mkazo tofauti na Ulaya ambapo kufa kwao ni Janga.Kimsingi ipo haja ya kuyatokomeza makundi ya kigaidi.

Nakuelewa kwa mbaliii hivi!
 
US si wanawafadhili hawa watu?

Umoja wa Ulaya wameshaanza kufumbuka macho kuona jinsi gani walivyopelekeshwa na US kujiunga nao kwenye vita mbalimbali.

Matatizo yanatokea EU ila US hayafiki.

Acha uvivu wa kufkiri wewe.....Toa ushahidi ni ki vipi US wanawasupport ISIS...weka ushahid concrete unao sound vichwan mwa watu wenye fikra pevu,sio ku download ushuz wa watu kama wewe uko google na kuuleta hapa...Acha kuishi kwa kukariri na kuongozwa na mihemko,fuatilia mambo
 
Pamoja na kutokuwa mwislamu. Lakini naona siasa za nchi za magharibi katika mashariki ya kati zimeleta kansa ya machafuko yanayoenea dunia nzima sasa.
Binadamu awaye yote anapenda kuishi kwa mila, desturi na imani yake.
Watu waachiwe wafanye hivyo.
Marekani na nchi za magharibi zimekuwa zikijishughulisha sana mashariki ya kati iwe kama watakavyo wao, ilhali tamaduni na imani za huko hawazijui.

Waliokuwa wanazijua tamaduni hizo na imani zilizopitiliza , nchi zamarekani na mgharibi kwa ujumla waliamua kuwaua, kina Saddam, Gaddafi na hata Assad.

Leo hakuna kiongozi wa kiarabu mwenye nguvu wa kuyadhibiti makundi hayo ya imani kali.
Nchi za Magharibi ximenunua ugomvi toka viongozi wa kiarabu, na sasa wanaona matokeo yake.

Ni kweli mkuu, Kumbuka wazungu kwa sasa ni km hawana dini, na hawapendi kuona wengine wanasujudia na kuamini kitu kinachoitwa Mungu, wao kule kwao wameshaachana na huo utamaduni wa kusali#

Lengo lao kule Middle East ni kukomba utajiri wote pamoja na kuhakikisha kuwa Waarabu wanaachana na tabia ya kusujudia Mungu, Kumbuka wazungu wanafaidika sana kwa kuuza ustaarabu wao kwny mataifa ya Africa na Assia
 
Mkuu sikubaliani sana na wewe juu ya hili.
Hakuna binadamu anayechukia amani
Hivyo vikundi vya kigaidi vyenye imani kali, vilikuwa vina shughulikiwa kikamilifu na hao walioitwa madikteta, ambao nchi za magharibi waliamua kuwaua.

Vikundi hivyo sasa viko huru kusafiri dunia nzima, matokeo yake ndo tunayaona.
Nakubaliana na mtoa hoja.

Kuna kaukweli kidogo kwenye mchango wako lakini lazima uelewe kwamba Demokrasia ya ulaya na Marekani ndio inaonekana kutawala Dunia.Wengi tumeikaribisha kutokana na umaskini au ujinga wetu.Kama sisi tupo tayari kupokea misaada yenye masharti yao lazima tukubali kuyaenenda tuliyokubaliana.Tukienda kinyume na tulivyokubaliana lazima watumie nguvu kutulazimisha.Wakitumia nguvu kutulazimisha na wengine waweke imani za kidini kwamba wakifa wataenda kutunikiwa mabikra Sabini na wajitokeze kwa wingi kwenye vita bila kupima nguvu za wanaepambana nae ndipo hapo tunapohitimisha kwamba kufa ni thawabu kwao.wakifa wengi kwa mtindo huu huzoeleka na vyombo vya habari huona kama sio habari hivyo haitangazwi maana haina mvuto kwa wasikilizaji.
 
It takes two to Tango.

Sababu zinaweza kuwa ni nyingi sana.

Cha kujiuliza, kwanini Saddam alipinduliwa kwa nguvu za magharibi? Kwanini Gaddafi alipinduliwa kwa nguvu za magharibi? Kwanini leo Syria wanauana kwa nguvu za magharibi?

Kwanini Afghanistan ilishambuliwa kwa nguvu za magharibi?

Hao wote niliowataja sijaona sababu ya maana na ya ukweli kwa kushambuliwa na kuuawa wao na raia zao, jee wewe unaijuwa?

Usisahau, mpaka leo hii nchi za magharibi ndizo zinalinda amani huko nilipopataja!

Nionavyo, mashambulizi kama haya hayatasita leo wala kesho, mpaka dunia iwe na ukweli.
Ni kweli kabisa.
Lakini wanavuna walichopanda, invest hate, reap hate!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom