Parasite: movie bora ya muda wote kutoka Korea

Oct 16, 2020
92
195
Kwa mujibu wa METACRITIC hii movie ndio Movie bora dunian mwaka 2019,na pia ikishika nafasi ya 42 katika movie bora katika Muongo uliopita.

Mtandao maarufu wa Unaohusika na ku rate movies duniani ROTTEN TOMATOES umeipa hii move 99%.

Movie:parasite
Director:Bong Joon Ho
Budget: USD $11.4Millions
Boxoffice: USD $394+Millions still counting

Plot
Stori inahusu familia ya inayoishi maisha ya hali ya chini katika viunga vya watu masikini ndani ya jiji la Seoul.Kaka wa familia anapata kazi ya kumfundisha binti Tajiri mmoja.
Anaamua kuishawishi familia ya kitajiri kumuajiri mtu maalum wa psychotherapist ambapo anakubaliwa na anamuajiri dada yake.
Dada anaamua kumsingizia housekeeper kesi baada ya kumlisha matunda ya peach boss ambae ana allergy .Housekeeper anafukuzwa na nafasi hyo inachukuliwa na mama mzazi.
Dada tena anamsingizia dereva wa familia kua alifanya mapenzi kweny gari na kwa kuthibitisha ilo anaweka chupi yake na dereva anafukuzwa nafasi yake inachukuliwa na baba yao.Sasa Familia nzima inapata nafasi ya kufanya kazi ndani jumba hilo la kitajiri.Visa na mikasa ndio vinaanzia hapo.

AWARDS

Hii filamu kwa mara ya kwanza ilioneshwa kwe tamasha la CANNES FILM FESTIVAL 2019.Na usiku huo ilifanikiwa kushinda tuzo ya PALME d'Or.Tuzo kubwa kweny tamasha ilo na hyo ilikua movie ya kwanz Kutoka korea kushinda tuzo hyo.

Pia ilishinda tuzo 4 katik tuzo za Academy Awards maarufu kama OSCARS

BEST PICTURE

BEST DIRECTOR (Director wa kwanza kutoka nje ya Hollywood)

BEST INTERNATIONAL FILM(movie ya pili kutoka Asia baada ya SlumDog)

BEST SCREEN PLAY (hii ndio movie pekee nje ya hollywood kushinda tuzo hii)

Pia hii ni movie kati ya movie tatu pekee duniani kushinda tuzo ya Palmed'Or na OSCAR katika kipengele cha Best film kwa pamoja.

MOTION PICTURE AWARDS (kipengelecha BAFTA)
GOLDEN GLOBE (kipengele cha best film)
Screen Actor Guild award
Grand Bell Awards (Biggest award festiva in Korea considerd as Korean Oscars)

Legacy
Exucutive director wa HBO amesema ataandaa series itakayo husu movie hii akishirikiana na Bong Joon Ho

Pia location zilizotumika katika movie hii zmefanywa kua sehemu za vivutio vya utalii.
Parasite-2019-p01.jpg
 
Mkuu hiyo movie yako ni ina vitu gani ndani ni horror, drama, romantic, comedy, science fiction,
 
Kwa mujibu wa METACRITIC hii movie ndio Movie bora dunian mwaka 2019,na pia ikishika nafasi ya 42 katika movie bora katika Muongo uliopita.

Mtandao maarufu wa Unaohusika na ku rate movies duniani ROTTEN TOMATOES umeipa hii move 99%.

Movie:parasite
Director:Bong Joon Ho
Budget: USD $11.4Millions
Boxoffice: USD $394+Millions still counting

Plot
Stori inahusu familia ya inayoishi maisha ya hali ya chini katika viunga vya watu masikini ndani ya jiji la Seoul.Kaka wa familia anapata kazi ya kumfundisha binti Tajiri mmoja.
Anaamua kuishawishi familia ya kitajiri kumuajiri mtu maalum wa psychotherapist ambapo anakubaliwa na anamuajiri dada yake.
Dada anaamua kumsingizia housekeeper kesi baada ya kumlisha matunda ya peach boss ambae ana allergy .Housekeeper anafukuzwa na nafasi hyo inachukuliwa na mama mzazi.
Dada tena anamsingizia dereva wa familia kua alifanya mapenzi kweny gari na kwa kuthibitisha ilo anaweka chupi yake na dereva anafukuzwa nafasi yake inachukuliwa na baba yao.Sasa Familia nzima inapata nafasi ya kufanya kazi ndani jumba hilo la kitajiri.Visa na mikasa ndio vinaanzia hapo.

AWARDS

Hii filamu kwa mara ya kwanza ilioneshwa kwe tamasha la CANNES FILM FESTIVAL 2019.Na usiku huo ilifanikiwa kushinda tuzo ya PALME d'Or.Tuzo kubwa kweny tamasha ilo na hyo ilikua movie ya kwanz Kutoka korea kushinda tuzo hyo.

Pia ilishinda tuzo 4 katik tuzo za Academy Awards maarufu kama OSCARS

BEST PICTURE

BEST DIRECTOR (Director wa kwanza kutoka nje ya Hollywood)

BEST INTERNATIONAL FILM(movie ya pili kutoka Asia baada ya SlumDog)

BEST SCREEN PLAY (hii ndio movie pekee nje ya hollywood kushinda tuzo hii)

Pia hii ni movie kati ya movie tatu pekee duniani kushinda tuzo ya Palmed'Or na OSCAR katika kipengele cha Best film kwa pamoja.

MOTION PICTURE AWARDS (kipengelecha BAFTA)
GOLDEN GLOBE (kipengele cha best film)
Screen Actor Guild award
Grand Bell Awards (Biggest award festiva in Korea considerd as Korean Oscars)

Legacy
Exucutive director wa HBO amesema ataandaa series itakayo husu movie hii akishirikiana na Bong Joon Ho

Pia location zilizotumika katika movie hii zmefanywa kua sehemu za vivutio vya utalii.View attachment 1612533
Hahahah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom