kijembeee
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 409
- 105
Helo wanaJF,poleni na mishe za siku, I am a male,hivi karibuni nmepata betrayal kutoka kwa mtu ambaye nlikua simuexpect kabisa, ikabidi nkumbuke ule unaosema usimuamini mtu, surely I am a one girl kind of man and nlikua na girlfriend wangu na tulianza simpo tu mpka mapenz yakaja kua very hot, you can say ndo yalikua yamefikia kwenye peak,nnachoshindwa kuelewa akaja kunsaliti ,nkashindwa kupata sababu iliomfanya afanye ivo, afu huyo gal wangu alikua anadespise sana watu wasio na mapenz ya kweli na kusaliti wapenzi wao, after the heartbreak nmejikuta na tabia mpyaaa, firstly nimekua na four galfriends, alafu sina imani kabisa na hwa viumbe wa kike, wazungu ndo wanaita this sence of distrust as PARANOIA, yan nmekua a very different person, naona the betrayal inanidestroy ,I just wanted to share my experience with you and get advice from you on how I should go on, and also advice you to not trust a person fully bcoz betrayal always come from the person you least expect,guday