Paper imevuja/ a.k.a fake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Paper imevuja/ a.k.a fake

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Dio, Oct 6, 2011.

 1. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Unakumbuka mishemishe uliyokuwa nayo unaposikia kuwa kuna paper imevuja?
  Au tatizo gani ulikumbana nalo?
  Tupeane hizo story hapa.
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  kwa vilaza ndio walikuwa wanahaha!
  But sisi tuliokuwa Vipaji maalum...tulikuwa hatutaki kabisa kusikia huo upupu!
   
 3. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  aminia kijana,
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaaa feki waulize watoto wa azania na Mzizima kwa feki hao hawalali full kukesha kutafuta feki
   
 5. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Mi nlikuwa kichwa ikitoka paper naletewa niwafanyie niwape majibu,nilikuwa sihangaiki kabisa
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  vichwa huwa hawajitangazi mkuu!
   
 7. It is Sur_Plus

  It is Sur_Plus Senior Member

  #7
  Oct 6, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mie nilikua nawauzia watoto wa Vitambi maswali kwa bukumbili jero
   
 8. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Nashukuru mungu ameniepusha, sijawahi kukutana na fake, na sijawahi hata kujishughulisha kuzitafuta.
   
 9. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  mi kazi yangu mida kama hiyo ndiyo nilikuwa natengeneza hela maana wajingawajinga wakishalipata walikuwa wanakimbilia kwangu niwasovie....kila swali nalichaji kutokana na ugumu wake.....
   
 10. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna jamaa walipewa feki moja pale Nsumba Mwanza, wakaesha usiku kucha wanasovu, jamaa waliweka ulinzi wa nguvu alikuwa hasogei mtu asiye memba,asubuhi tumeingia kwenye pepa,pepa ilipogawiwa,tukasali wenye imani zetu na kumwachia mola atusaidie kukumbuka,vijana walikuwa wanafuta mikono na kukunja mashati ishara ya kwamba msimamizi anachelewe kugawa pepa.Baada ya pepa kugawiwa,tulishangaa kusikia miguno ya chini kwa chini na watu walikuwa wakitoleana machao ya "tumeingizwa mjini mwanangu" baada ya pepa yalikuwa ni maandamano kumtafuta aliyewapa,hawakufanikiwa kwani jamaa alishatia kibindoni chake na kutokomea.
  Jamaa yangu mmoja alikuwa bright ile feki ilimshushia molali hadi kalamba 3 ya F VI
  Feki bana,huwa nakumbuka mbali sana
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  umenkumbusha mbali sana mkuu,nakumbuka ilikua 2004 2kiwa 2napga paper ya 4m 2 enzi hzo,ebana 2kiwa nje 2najiandaa kuingia kwenye paper ya mchana{ilikua history}akaja mchzi flani akiwa na paper akasema wa2 wapge donation ye awavutie paper,bac wale wenye pesa zao wakachangashana harakahara me na mchzi wangu m1 hv 2likuaga ni wa2 ambao ha2naga pesa bahati mbaya,bac washkaji wakajtenga wote icpokua me na msela,u cn imagne hw t filz afu shule ya mixture,wel 2kapeana moyo na msela wangu kwangu 2maini le2 pekee ni mungu,c ukafka mda wa kuingia kwenye paper,washkaji wakawa na mchecheto wakuipga hyo paper wakidhan ndo kama ile waloisov,huwezi amin kuna jamaa alikua pemben yangu,ilimchukua takriban lisaa limoja kuanza kufanya huo mtiani,kumbe k2 ilikua tango pori,thanx God i ws the 1st one kwa hyo paper na msela wangu akawa wa pili 2kipishana max 1 tu.
   
 12. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  duh kweli ilikuwa noma
   
 13. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hongereni vijana,hv huwaga zpo za ukwel au story tu?au kwa sababu ni fake na znakuwa fake kweli.
   
 14. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  dah!!mkuu,me ckuwahig kujihusisha nazo so ukwel siujui,ila 2kiwa 4m 6 2009 pale minaki,kuna tetesi kwamba kulikua na wa2 wanazo,na kwel vijana niliona wamelipuka na dv 1 kali kali so labda kuna ukweli ndani yake..
   
 15. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  zakweli huwa zinatokea mkuu, kama pepa ya geography form 4 ya 2004 niliyofanya mimi,section b yote ilikua kama ilivyoonwa jana yake nite na wenye pesa zao! Daaah..We acha2,.
   
 16. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  daah mwaka wangu huo. Nakumbuka Photograph ilikua mbuyu wa Baobab matawi mengi hauna majani.
  Mm nilipata hiyo sectn b tu mkuu. Nyingine zote famba. Bt nilipasua fresh tu mana nilikua mtu wa kitabu kwel kwel sikuwa nategemea hiyo miujiza ya fake.
   
 17. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hahahah...Duh! Hongera mkuu,,basi we kichwa! Mi nilikaza msuli tu kiaina nikaondoka na C. Hahah..Ambayo ilinisaidia kinoma nikaenda HGL ya ukweli...Daaaaah,those were days bhana! Mana wa2 wameona kitu unashangaa morning wanaimba baobab,baobab..Tunabaki tunashangaa,kuingia kwenye pepa mchana,unakutana na baobab...Unahis kudata!
   
 18. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  hvi nyie ndo 4m 6 yenu ilifelishwa vibaya mwaka 2007.
   
 19. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  aiseee nakumbuka pepa letu la form 4, mwaka 2008, math ilivuja sana, hata mimi nililipata. Bahati yao mtiani uliahirishwa, la si hivyo ningepiga banda la nguvu.
   
 20. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  Hebu kuweni wakweli, acheni kujidai mlikuwa vichwa.
   
Loading...