Mkuu.
Nimepitia michango ya wadau kuhusu uzi huu, na nilivyosema hapa, nikaona kuna kitu.
Mimi ni mdau wa mipapai, tatizo hili nimekuwa likijitokeza mara Kwa mara.
Ktk uzi uliowekwa" stick" juu ya kilimo cha matunda Na mbogamboga hapo juu. Mtaalamu ktk ukurasa wa 59 alijibu hoja hii. Ni kweli ni fungus au kuvunja Kwa Kiswahili lkn unatibika na huhitaji kutoa matunda yaliyotokea bali puliza dawa.
Zipo nyingi lkn mimi hutumia Dimethionate na kupata matokeo mazuri.
Kila la kheri