Papa Msofe ni mfanyabiashara au tapeli Maarufu?

ALIM0756.JPG
ALIM0756.JPG

Nani hawa?
 
Yeye pamoja na wafuatao chini ni matapeli wakubwa wa dhahabu na shaba feki toka Congo
Abdul Mteketa(sasa mbunge wa kilombero)
Papaa Mabeba
Ndama mtoto wa Ng'ombe
Mkenya Mmmoja akiitwa Mathias Mattako
Muzamil Katunzi
Chacha Mapessa
 
Yeye pamoja na wafuatao chini ni matapeli wakubwa wa dhahabu na shaba feki toka Congo
Abdul Mteketa(sasa mbunge wa kilombero)
Papaa Mabeba
Ndama mtoto wa Ng'ombe
Mkenya Mmmoja akiitwa Mathias Mattako
Muzamil Katunzi
Chacha Mapessa

Mathias mattako kavuta mwezi sasa na alizikiwa dar!
 
baaaa kimenukaaaaaaaaaaaaaaaaaa

PAPA MSOFE ATAITIWA KWA TUHUMA ZA MAUAJI



Papaa Msofe.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni Jijini Dar es Salaam linamshilikia mfanyabishara maarufu, Marijan Abubakari maarufu kama Papaa Msofe kwa tuhuma za mauaji.

Habari zinasema kuwa Papaa Msofe alikamatwa na Polisi juzi jijini Dar es Salaam na anashikiliwa katika kituo cha Polisi cha Magomeni jijini humo.

Akizungumza na NIPASHE jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Charles Kenyela, alithibitisha Papaa Msofe kushikiliwa na jeshi hilo kwa tuhuma za mauaji.

“Ni kweli tunamshikilia Papaa Msofe katika Kituo cha Polisi cha Magomeni na tunaendelea kumhoji na kufanya upelelezi zaidi kuhusiana na tukio analotuhumiwa nalo,” alisema Kamanda Kenyela.

Akisimulia tukio hilo, Kamanda Kenyela, alisema Papaa Msofe alikamatwa baada ya kutokea mauaji ya Onesphori Kituli, mkazi wa Magomeni Mapipa, jijini Dar es Salaam.

Alisema kabla ya kutokea mauaji hayo, Papaa Msofe na marehemu walikuwa wakigombea nyumba ambayo ilikuwa imewekwa rehani kwa Sh. milioni 30.

Habari zaidi kuhusiana na tukio hilo ambazo hata hivyo hazikuthibitishwa na Kamanda Kenyela, zinasema kuwa bado kuna mtu mwingine ambaye anahusishwa na tuhuma hizo za mauaji, lakini mpaka sasa hajakamatwa.

Kamanda Kenyela alifafanua kwamba Papaa Msofe alimpa marehemu fedha hizo kwa makubaliano kwamba ikiwa atashindwa kuzilipa atachukua nyumba yake.

Kabla ya mauji hayo ilidaiwa kwamba, Papaa Msofe na mwenzake walikuwa wakimtishia maisha marehemu huyo.

Kamanda Kenyela alisema kutokana na kuwepo kwa mgogoro huo, marehemu alifungua kesi mahakamani na kwamba siku ya hukumu alikutwa amekufa mbele ya mlango wa nyumba yake na kwamba hakuna mali yoyote iliyochukuliwa.

Kwa mujibu wa Kamanda Kenyela, mtuhumiwa huyo anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote baada ya upepelezi kukamilika.
 
Achane Majungu.......kwani ukijua kama alikuwa tapeli au alikuwa mwezi itakusaidia nini? Acheni mtima nyongo...nyie sio police wala nini.............majungu tu.........hapa kwenye huu mtandao anatakiwa great thinkers weeee toka kafanye kazi nyingine

we kweli ndumilakutatu!! Mbona nimewahi kuona uzi ukitaka kujua juu ya CV za watu, na ww ukachangia?? Au kwa sababu huwajui!!! Mkuki mtamu..........
 
Nend keko jpili uone anavyochungulia kwenye grills kama ngedere anasubiri kurushiwa ndizi..kwisha habari yake

Kwishaaaaa! Kwanza kafirisika,kahonga sana maafisa wa magereza lakini wap,ile kesi imemkalia pabaya,maji ya shingo yanapanda kwenda kidevuni. Yule mwenzake ameusoma mchezo hawezi kurudi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom