Papa Msofe ni mfanyabiashara au tapeli Maarufu?

Kweli hata wale wasomali mzamil anaowakaribisha Mbezi ni viongozi huko kwai Somalia, je wasomali hao pesa zao zinatoka wapi.

Hivi usalama wa taifa mmelala? Mnasubiri nini mnataka ripoti gani. Nini chanzo cha wasomali hawa mbezi mbona wanauziwa viwanja vyetu na mzamili?!!! Kikwete huu urais wako ulisema hauna shea na mtu tena ukapambana na majambazi wa silaha na magari wakiwemo wakina alex masawe wa AM hotel, hilo uliweza je matapeli hawa wanakushinda nini? Au na wewe umenunuliwa?? Maana kama kumeanza uhusiano wa kuhisiwa kati ya mzamil na all shabab wataka cia waje kukulindia nchi??

Wengine humu kwenye forum ni vijana wako wa kitengo hatuna nafasi ya kukufikishia taarifa kwa ajili ya kiapo chetu, ila baadhi ya wakubwa wa kitengo ndio wanao saidiana nao na kujilimbikizia mali. Mimi nilisha pambana na mzamil sana mbezi police wote wakubwa wanalijua hili. Tena mpaka sasa malori ya fake cooper yapo mbezi na malori yame jaa. Rais wetu toa kauli haya ni magaidi wa baadaye.
 
Yeye pamoja na wafuatao chini ni matapeli wakubwa wa dhahabu na shaba feki toka Congo
Abdul Mteketa(sasa mbunge wa kilombero)
Papaa Mabeba
Ndama mtoto wa Ng'ombe
Mkenya Mmmoja akiitwa Mathias Mattako
Muzamil Katunzi
Chacha Mapessa

Duh! Hili jina la Mkenya ....... inawezekana anafanana nayo.
 
jamani papaa musofe ni mume wa mnenguaji wa twanga pepeta, tena ni dereva wa wizara. Kama ni jambazi au mwizi au kibaka au tapeli hiyo ni project out of business

Wewe unamzungumzia Fikiri Madinda aliekuwa mme wa Aisha Mbegu Madinda huyu ni Papaa Msofe
 
mnamsahau albert marwa aliyemuoa mtoto wa JK. then mnashindwa kuona relationship ya hili genge na ikulu.
 
Msoffe amekamatwa kwa mauaji ya jamaa mmoja aliyetaka kumdhulumu ila jamaa alikua mbishi akampeleka msofe mahakaman..jamaa aliuawa mbele ya nyumba yake siku moja kabla ya hukumu so msofe yupo magomen polis.
Source Nipashe
 
Du RIP Bw Kituli, kweli mtu dai chako watakumaliza sasa huyo Alex Massawe na Papaa Msofe walitaka nin i tena wamzulum na hiyo Nyumba labda wamuue na Hakimu anayetoa Hukumu, lakini malipo yapo hapahapa Duniani
 
[h=3]PAPA MSOFE ATAITIWA KWA TUHUMA ZA MAUAJI[/h]

Papaa Msofe.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni Jijini Dar es Salaam linamshilikia mfanyabishara maarufu, Marijan Abubakari maarufu kama Papaa Msofe kwa tuhuma za mauaji.

Habari zinasema kuwa Papaa Msofe alikamatwa na Polisi juzi jijini Dar es Salaam na anashikiliwa katika kituo cha Polisi cha Magomeni jijini humo.

Akizungumza na NIPASHE jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Charles Kenyela, alithibitisha Papaa Msofe kushikiliwa na jeshi hilo kwa tuhuma za mauaji.

"Ni kweli tunamshikilia Papaa Msofe katika Kituo cha Polisi cha Magomeni na tunaendelea kumhoji na kufanya upelelezi zaidi kuhusiana na tukio analotuhumiwa nalo," alisema Kamanda Kenyela.

Akisimulia tukio hilo, Kamanda Kenyela, alisema Papaa Msofe alikamatwa baada ya kutokea mauaji ya Onesphori Kituli, mkazi wa Magomeni Mapipa, jijini Dar es Salaam.

Alisema kabla ya kutokea mauaji hayo, Papaa Msofe na marehemu walikuwa wakigombea nyumba ambayo ilikuwa imewekwa rehani kwa Sh. milioni 30.

Habari zaidi kuhusiana na tukio hilo ambazo hata hivyo hazikuthibitishwa na Kamanda Kenyela, zinasema kuwa bado kuna mtu mwingine ambaye anahusishwa na tuhuma hizo za mauaji, lakini mpaka sasa hajakamatwa.

Kamanda Kenyela alifafanua kwamba Papaa Msofe alimpa marehemu fedha hizo kwa makubaliano kwamba ikiwa atashindwa kuzilipa atachukua nyumba yake.

Kabla ya mauji hayo ilidaiwa kwamba, Papaa Msofe na mwenzake walikuwa wakimtishia maisha marehemu huyo.

Kamanda Kenyela alisema kutokana na kuwepo kwa mgogoro huo, marehemu alifungua kesi mahakamani na kwamba siku ya hukumu alikutwa amekufa mbele ya mlango wa nyumba yake na kwamba hakuna mali yoyote iliyochukuliwa.

Kwa mujibu wa Kamanda Kenyela, mtuhumiwa huyo anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote baada ya upepelezi kukamilika.
 
mnamsahau albert marwa aliyemuoa mtoto wa JK. then mnashindwa kuona relationship ya hili genge na ikulu.

ALIM0756.JPG
ALIM0756.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom