Papa Francis: There are limits to free expression

Papa Francis: There are limits to free expression

Status
Not open for further replies.
kwani kuna shida gani lakini...au watu wana complicate tu....mbona katuni yenyewe ilikua ya kawaida tu

Ni uchokozi tu ili tuwauwe!

Kama ingechorwa katuni ya mama yako kasimama pale kimboka buguruni na kimini ungesemaje wakati wewe unamuheshimu mama yako?
 
Ukweli wanaujua bali wanatuchokoza kwa wivu wao tu wa kidini. Ili tuwauwe.
 
Angeanza na Ponda na wafuasi wake. Halafu Pope angekemea pia haki ya kuuwawa mtu kwa kosa la kuchapisha kikatuni tuu na wala asiogope kusema ukweli huo. Pope mbona kaka kimyaaa kulaani Boko haramu? Jeshi la Nigeria linapewa kwa makusudi silaha duni sana mpaka viatu vibovu wanapo kwenda kupigana na Boko Haram. Pop angeyasema yote haya.

Soma kweye Internet utaona Pope Francis amezungumzia sana mambo ya Boko Haram.
 
Eti kwani kuna shida gani we unajua hio cartoon sio shida, tatizo lina kuja kwanini waseme ni ya Mtume Muhammad unadhani Mtume Muhammad sawa sawa na kina Pope au mtu yoyote dunaini. Kumbuka kitu hapa Qur'an inasema Mitume wote wako sawa hatuwatofautishi kati ya Yesu na Muhammad au wengine. Isipokuwa kwa Mungu Mtume Muhammad yeye na Mtume Ibrahim ndio kawaweka jua ya Mitume wote yani hata Yesu hata weza kumfikia katika utukufu wake.

Sa nyie wakristo mmeisha zowea kutuka Mitume wa Mungu, hata Yesu mnamsema ni gay(Shoga) na hapo hapo mnasema Mungu sa tuwafahamu vipi? According to Gospel of Thomas; Jesus was gay because the "one" he loved was a young, supposedly attractive/ feminine, boy named John. He's got a long woman's hair style he wears a dress and his lover is called John. It's actually in the bible if Christians bother to read it and he lays on Jesus chest. Also, the same boy is caught running away from the romans in the bible and his dress/gown falls down and he is NAKED. Uneducated christians don't read their own lazy book. And in the Gospel Of Thomas Jesus drips the boy naked and spends the night with him teaching him the ways. Read your books lazy Christians. cc 2013 and Ishmael.

Toka kwenye box ndiyo ujadili. Allah ndiye kamweka juu Muhammad lakini sio Mungu.
Kama kuna Uhuru WA kuabudu lazima na Uhuru WA kutoa maoni uwepo
Mimi kwangu Yesu ni Mungu lakini dini nyingine hawamwamini wanayohaki ya kutoa maoni kadri ya mtazamo wao.
Muhammad sio mtume Bali ni mharifu kwa imani yangu hivyo nikitoa maoni kwa mrengo huo nisirushiwe mawe.
 
Last edited by a moderator:
Hilo Limit of expression isiwe pale tu waislamu wanapoguswa, waislamu wAna kashifu SANA sana ukristo, kama wangekuwa SI watu wa Subira. Saa hizi dunia haipo

Ni lini Waislam wamethubutu kumkashifu Jesus( Yesu) kwa kumchora katuni ili hali ikifahamika ni mja wa Mwenye ez Mungu aliyetumwa kulingania watu mambo mema na kumcha Mungu? Lete ushahidi kama unao! Uislam unatambua Yesu kama Mjumbe wa Mungu aliyemtuma kuleta mafundisho ya kumjua na kumuabudu Mungu sawa na Watangulizi wengine yaani:-
Musa
Ibrahim
Ismail
Selemani na wa mwisho Muhammad, lakini kila mmoja na aina ya ujumbe aliouleta na kwa zama husika.
Na wengine mamia kwa maelfu kwa malaki!

Ila, Uislam unasisitiza katika hao wote, siyo Muhammad wala Musa wala Yesu, hakuna ambaye ni Mungu. Wote ni binadam kama mimi na wewe ila kwa maono ni tofauti kwa maana ya uwezo wa kupewa maelekezo kutoka kwa Mungu Muumba ili ujumbe uwafikie watu wengine! So hakuna matusi kabisa!

Na kwa kweli, Uislam utachukia mtu akichora katuni ya Mjumbe yeyote wa Mungu aliye kwenye orodha katika wale Mitume na Manabii wa Mungu bila kujali ni nani, awe Yesu, Adam, Ibrahim, Mussa( wote A.S) na au Muhammad( S.A.W)
 
I just feel sorry for you,

Na jitahid kadir uwezavyo uhakikishe hapa dunian unaish milele,jitume tuh uweze kuishi milele

lakin ikiwa ni tofauti,ukijaribu tuh KUFA NA KUZIKWA AISEE UTAJUTA NA KUSAGA MENO SANA

POLE SANA
Toka kwenye box ndiyo ujadili. Allah ndiye kamweka juu Muhammad lakini sio Mungu.
Kama kuna Uhuru WA kuabudu lazima na Uhuru WA kutoa maoni uwepo
Mimi kwangu Yesu ni Mungu lakini dini nyingine hawamwamini wanayohaki ya kutoa maoni kadri ya mtazamo wao.
Muhammad sio mtume Bali ni mharifu kwa imani yangu hivyo nikitoa maoni kwa mrengo huo nisirushiwe mawe.
 
Sa we unaikubali Bibilia au huikubali, twachane hapo na QUR'AN kwanza. Bilia zinasema Yesu si Mungu, zinasema Yesu ni kichaa na zina sema ni gay(shoga) sa we Mungu wako vipi mumtukane au huwa hamsomi bibilia dogo. Hizo bibilia zenu ni ushetani mtupu dogo.

Labda biblia ya Allah. Hakuna pahala biblia pameandikwa Yesu si Mungu isipokuwa wafuasi WA shetani anayeitikadiwa Kama mungu ndio hutafuta vifungu kupinga Yesu kuwa Mungu ili kumwokoa shetani wao asiumbuke.
Hakuna pahala Yesu kaitwa shoga na wala hajaitwaa kichaa.
Hili la kumwona kichaa ni tukio moja na sahihi kwa kuwa hata Mimi naamini kuwa ni Mungu kwa kuwa ni sahihi zaidi kuliko Kumwita kichaa.
Maneno na matendo ya Bwana Yesu hayawezi nenwa na binadam mwenye akili timamu lazima Kama sio Mungu atakuwa ni kichaa.
Lakini kwa muislam kuamini pasipo kufikiri ni sehemu ya ibada.
Mimi na akili yangu siwezi kuamini Mungu atume mjumbe wake then Huyo mjumbe awe,muuwaji,mbakaji,mkware aliyepindukia, mporaji , na maovu mengine yote hivyo aliyemtuma ni shetani.
 
Naona hoja ya kwanza ambayo ni sahihi kabisa imetekwa na matusi na kashfa. Kila mtu ashike imani yake na aache kujadili au kuchambua imani ya mtu mwingine. Maisha yatakuwa rahisi na mazuri.
 
Unafiki utaendeleza maafa duniani ! Hivi Uhuru WA kuabudu maana yake ni tofauti na Uhuru WA kutoa mawazo ? Inawezekana ibada yangu ikakamilishwa na kutenda kile ambacho kwa mwingine ni kashfa ! Papa alitakiwe ahimize watu kujiamini katika imani zao na kujibu hoja kinzani kwa wanaopinga au kulashfu pasipo kurusha mawe,mabomu au risasi.
Uhuru WA maoni upiganiwe na kila.binadamu mwenye busara.
Maoni ya Muhammad kuwa Yesu so Mungu wala hakusurubiwa msalabani yajibiwe kwa hoja sio kwa mabomu vivyo hivyo maoni kuhusu Muhammad yajibiwe kwa hoja sio risasi.
Ukisha weka Uhuru WA kuabudu lazima ufungashe kwenye Uhuru WA kutoa maoni pasipo mipaka la sivyo hata Uhuru WA kuabudu uwekewe mipaka...

Well said..
 
Hayo ni maoni ya pope mwenyewe,hayana cha kufanya kuhusu uhuru wa kuongea.

Watu lazima waongee,upende au usipende hiyo ni juu yako.
Sio kwa mkatoliki maana neno la papa ni amri kwa mkatoliki yeyote. Sasa wewe jifariji hapa.
 
Haya ngoja kina Kakende na genge lake waje kumpinga papa.
 
Last edited by a moderator:
Kakende; Sa we unataka kuipinga Qur'an inacho sema, kwa sababu ipi leta dalili zako? Hebu nipe dalili kila kinacho semwa Qur'an basi hakita kuja tokea.

Mimi nimekuuliza hizo ahadi nza ngono mbinguni, hao wanawake mtazaa nao au ni viburudisho kama hawa wanaojiuza barabarani?

Sura 55:56
Humo watakuwamo wanawake watulizao macho yao; hajawagusa mtu kabla yao wala jini.

Sura 4:57
Na wale walio amini na wakatenda mema tutawaingiza katika Pepo zipitazo mito kati yake kwa kudumu humo milele. Huko watakuwa na wake walio takasika, na tutawaingiza katika vivuli vizuri kweli
 
Haya ngoja kina Kakende na genge lake waje kumpinga papa.

Mimi simpingi Papa, yuko sahihi 100%, siku zote mimi napambana na wajitoa Muhanga kwa ajili ya Allah. Ingawa Quran inakana uwepo wa Mungu, hivyo tunaamini kuna spirit behind inayowatuma Waislam kuwa wamwagaji wakubwa wa damu duniani
 
Sijakujibu sababu ni swali la kitoto ulilo uliza, nani kasema kule peponi watu watazaa. Kule dogo we unakula utamu tena utamu huwezi kusikia una harufu mbaya au nini uanukia tu, wahi usije kukosa utamu wa peponi dogo. Sahau kama Yesu kafa kwa dhambi zako, ukibaki na ujinga huo utajilaumu wewe peke yako.

Utamu gani huo mkuu, Ngono na Mito ya pombe, is that you mean? Unataka kutuambia kwamba mbinguni ni mahala pachafu namna hiyo, Ukiwa na Mito ya Pombe na Makahaba kuna tofauti gani na Dangulo?. Na kama hakuna kuzaa maana yake kwenu Waislam Ngono ndio kiburudisho siyo?
 
Utamu gani huo mkuu, Ngono na Mito ya pombe, is that you mean? Unataka kutuambia kwamba mbinguni ni mahala pachafu namna hiyo, Ukiwa na Mito ya Pombe na Makahaba kuna tofauti gani na Dangulo?. Na kama hakuna kuzaa maana yake kwenu Waislam Ngono ndio kiburudisho siyo?
Kule peponi dogo pombe za kule sio za kikristo zinazo poteza watu akili, sex ya kule sio inatoa uchafu. Toka lini peponi ikawa na kahaba? Kwani hio pepo ya kikristo.
 
Mimi simpingi Papa, yuko sahihi 100%, siku zote mimi napambana na wajitoa Muhanga kwa ajili ya Allah. Ingawa Quran inakana uwepo wa Mungu, hivyo tunaamini kuna spirit behind inayowatuma Waislam kuwa wamwagaji wakubwa wa damu duniani
Wacha uwongo toka lini Qur'an inapinga uwepo wa Mungu.
 
Kakende; Sa we unataka kuipinga Qur'an inacho sema, kwa sababu ipi leta dalili zako? Hebu nipe dalili kila kinacho semwa Qur'an basi hakita kuja tokea.

Wewe unauliza kama napinga Quran, kwani wewe unakubali kuwa Jua linazama kwenye tope?, na linakochomoza kuna watu wamewekewa Kinga wasiungue?

Sura 18:86
Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.

Surah 18:90
Hata alipo fika matokeo ya jua aliliona linawachomozea watu tusio wawekea pazia la kuwakinga nalo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom