Nimekubandikia vyanzo kila aina, lakini naona unajifanya huelewi.
Siwezi kukataa kama Waislam wanaweza kukimbilia Kanisani kujiokoa, wao ni binaadam pia. Lakini ukweli ni kuwa huko CAR hakuna anaeheshimu Kanisa wa Msikiti, wanauwana hovyo.
Lakini chakushangaza ni wewe pale ambapo hukubali kuwa Waislam wamewakoa si Wakristo tu kwa maelfu hata Mayahudi pia. Hivi unaona taabu gani kuukubali huo ukweli?
Labda bibilia zenu za Kiswahili lakini za kizungu sehemu nyingi sana wanamshakia Yesu ni gay unaweza ku refer The Naked Young Man in Mark 14:51-52.Hakuna pahala kwenye Injili yotote Bwana Yesu kaitwa au kaonyesha matendo ya kishoga.
Yesu katika maandiko alihoji nani anaweza kumshuhudia kuwa yu na dhambi lakini hakuna aliyejitokeza.
Zaidi Sana alionekana anakufuru kwa kuwa hawakumjua.
Wewe ni Muislam shetan anakutumua atakavyo simply mnamwita Mungu na kumwabudu, hivyo nategemea shetan akutumie kunajisi kweli ya Mungu kwa manufaa yake.
Labda bibilia zenu za Kiswahili lakini za kizungu sehemu nyingi sana wanamshakia Yesu ni gay unaweza ku refer The Naked Young Man in Mark 14:51-52.
Yani mimi ni zuzu sio, sawa hata Yesu mnamuita kichaa kwenye bibilia zenu, sa ajabu iko wapi? Kawaida azenu wakristo mmezowea kutukana. Hivi kuna Mitume wa Mungu nyie hamjamtukana. Jacob mnasema alipigana na Malaika wa Mungu, afu alipomshinda ndio akabadilsihwa jina eti akawa Israel. Yani mnataka kubadilisha story nyie mnavyo taka? Israel atabaki kuwa Israel(Cain) na Jacob atabaki kuwa Jacob. Israel alikuwa si mtume huyo ni mtota wa Adam, na Mungu alimpa sana chance atubu kama alivyo pewa chance shetani lakini akaendelea kukufuru. Afu msisahau Shetani kwenye bibilia zneu mnamuita ni mtoto wa Mungu sa toka lini nyie mkajijua mnakosea. Wakristo wote ni mashetani tu na nyie wote ni mazuzu, hata mkatae ukweli ndio huo. Wenye akili hawawezi kusema shetani ni mtoto wa Mungu, na kusema Jacob kapigana na Malaika wa Mungu akamshinda.Unaonyesha ulivyo zuzu
Labda bibilia zenu za Kiswahili lakini za kizungu sehemu nyingi sana wanamshakia Yesu ni gay unaweza ku refer The Naked Young Man in Mark 14:51-52.
Nimekubandikia vyanzo kila aina, lakini naona unajifanya huelewi.
Siwezi kukataa kama Waislam wanaweza kukimbilia Kanisani kujiokoa
Qur'an si gazeti mpaa lichapishwe kila wakati, hio sio bibilia. Afu point ulizo ziongea hapo zote zinaonyesha vipi hutumii akili kujibu hoja na izo Aya sijui umezitoa wapi, sijui kanisani mnapewa Qur'an tofouti na wanayo soma waislam. Qur'an 8:40 insame hivi; Na kama wakigeuka basi jueni kwamba Mwenyezi Mungu ndiye Mola wenu, ni Mola Mwema na Msaidizi Mwema."And know that one fifth of all the booty you take belongs to allah and to messanger,and for the near relatives(of the messanger)kuran(8:40),du!mtume na allah walikuwa wanafaidi kweli harafu wafuasi wao wanapewa makombo,mkuu hauwezi ukautetea uislam hata kama ushnde humu jukwaan usku na mchana kuna mambo mengi sana kwenye kitabu chako kwa mtu mwenye akili yake lazma ajiulize ninayemfuata sio mungu bali ni shetan na nina huakika wengi wanaujua ukweli sema kwa sababu ya hofu ya kukatwa vchwa wameamua kukaa kmya,kuran inaitaji kuchapishwa upya kuendana na Dunia ya wastaarab.
Teh teh teh maswali mepesi hayana majibu nipe jibu Mama yake yesu Mungu wenu kwa nini anaitwa bikira? Ni haya tu.Maswali mepesi hayo, ebu wewe tupe jibu hapa.
1.Hivi hawa Mabikra wenye Macho ya Mahaba mtazaa nao au ni kuwavua chupi na kujiburudisha mbinguni?
2. Hi kwanini inaonekana kama vile mtachangia mabikra na majini
Sura 55:56
Humo watakuwamo wanawake watulizao macho yao; hajawagusa mtu kabla yao wala jini.
Hebu tuwekee dogo, nataka nione wapi Qur'an inasema Mtume Muhammad ni gay. Kwani Qur'an ni bibilia mpaa iwatukane Mitume wa Mungu.Hujakutana na aya za hadith na koran zenye kumhusisha mudi na u-gay?
EBU SOMA MAHUDHUI YOTE UPATE UJUMBE, WEWE UNABANDUA NENO MOJA ILI UFURAHISHE AKILI YAKO, HUO NI UPUBAMBAVU HASA KWA MTU MZIMA. HII INAELEZEA HABARI YA KUKAMATWA YESU, PIA KULIKUWA NA KIJANA ALIKIMBIA KWA KUOGOPA HADI NGUO ZAKE ZIKADONDOKA, PIA INATEGEMEA WAKATI ULE NGUO ZAO ZILIKUWA ZA AINA GANI. NDIO MAANA MIAKA 10 ILIYOPITA HATA WAMASAAI WALIKUWA NAO WALIKUWA WANAVAA MASHUKA BILA KUVAA CHUPI AU KAPTULA NDANILabda bibilia zenu za Kiswahili lakini za kizungu sehemu nyingi sana wanamshakia Yesu ni gay unaweza ku refer The Naked Young Man in Mark 14:51-52.
Teh teh teh maswali mepesi hayana majibu nipe jibu Mama yake yesu Mungu wenu kwa nini anaitwa bikira? Ni haya tu.
Unajua maana ya bikira?
Hebu kwanza tazama hata bibilia za kiswahili zinaleta ushoga hapo, Yesu alikuwa anawabusu wanaume wale wanafunzi wake sio? Hapo Marko 14: 51-53 Hebu niambie kwanini yule kijana alimfata Yesu AFU BADAYE akakimbia uchi hahah, sa na bibilia ya Kiswahili inathibitisha ushoga wa Yesu pia au uwongo. Poleni wakristo.EBU SOMA MAHUDHUI YOTE UPATE UJUMBE, WEWE UNABANDUA NENO MOJA ILI UFURAHISHE AKILI YAKO, HUO NI UPUBAMBAVU HASA KWA MTU MZIMA
Mark 14:44-52.
44 Na yule anayemsaliti alikuwa amewapa ishara, akisema, Nitakayembusu, huyo ndiye; mkamateni, mkamchukue salama.
45 Basi alipokuja, mara akamwendea, akasema, Rabi, akambusu.
46 Wakanyosha mikono yao wakamkamata.
47 Na mmoja wao waliokuwapo akafuta upanga, akampiga mtumwa wa Kuhani Mkuu, akamkata sikio.
48 Yesu akajibu, akawaambia, Je! Ni kama juu ya mnyang'anyi mmetoka wenye panga na marungu, kunitwaa mimi?
49 Kila siku nalikuwa mbele yenu hekaluni nikifundisha, msinikamate; lakini haya yamekuwa ili maandiko yapate kutimia.
50 Ndipo wakamwacha, wakakimbia wote.
51 Na kijana mmoja alimfuata, amejitanda mwili wake nguo ya kitani; wakamkamata;
52 naye akaiacha ile nguo ya kitani, akakimbia yu uchi.
53 Nao wakamchukua Yesu kwa Kuhani Mkuu; wakamkusanyikia wote, wakuu wa makuhani na wazee na waandishi.
54 Naye Petro akamfuata kwa mbali, hata ndani katika behewa ya Kuhani Mkuu; akawa ameketi pamoja na watumishi, anakota moto mwangani.
Hebu tuwekee dogo, nataka nione wapi Qur'an inasema Mtume Muhammad ni gay. Kwani Qur'an ni bibilia mpaa iwatukane Mitume wa Mungu.
Baada ya kuolewa na Mzee Joseph ubikira si uliisha? Kwenye bible za kiingereza bikira wanaitaje?Ok, ngoja nikuibu ufurahi.
Mama yake YESU anaitwa bikra kwa sababu alijikuta ana mtoto tumboni bila kuingiliwa kimwili. Haijawahi kutokea tangu dunia iumbwe, mwanamke akawa na mimba huku akiwa Bikra. Hivyo tumeendelea kumuita bikra kwa sababu hiyo.
Hiyo ni kutokana Biblia, ambayo tunaitumia. Out of bible, I won't trust
Hebu kwanza tazama hata bibilia za kiswahili zinaleta ushoga hapo, Yesu alikuwa anawabusu wanaume wale wanafunzi wake sio? Hapo Marko 14: 51-53 Hebu niambie kwanini yule kijana alimfata Yesu AFU BADAYE akakimbia uchi hahah, sa na bibilia ya Kiswahili inathibitisha ushoga wa Yesu pia au uwongo. Poleni wakristo.
Baada ya kuolewa na Mzee Joseph ubikira si uliisha? Kwenye bible za kiingereza bikira wanaitaje?
Hauwezi hata siku moja kuleta dalili, unless utafute fake hadith lakini kwenye Qur'an unaota dogo. Kama mlivyo danganywa na wa Israel kuwa Jacob alipigana na Malaika wa Mungu, afu akamshinda ndio akabadilishwa jina. Usidhani waislam watadanganywa na wakristo hata siku moja. Hivi nani anaye kubali ujinga huo wa bibilia zaidi ya wajinga wasio kuwa najua nani Mungu wao. Yani Mungu akubali malaika wake apigwe vita tena na nani Mtume wa Mungu, na huyo Jacob basi atakuwa si Mtume tena mana Mitume wanawaju kabisa Malaika wa Mungu, vipi Jacob akapigne na Malaika wa Mungu Ajaaabu kubwa sana.Nyie wote mnaobandua msitari mmoja kwenye Bible ili kufuarahisha nafsi zenu mmefilisika kwa hoja. Nikianza kushusha Verse za Quran zinazosema direct kuhusu Mapenzi ya Mohammed huu uzi utafungwa.
Unatakiwa uweke kisa kizima kinacho onesha ushoga kwenye Bible, siyo eti kijana akiwa uchi, mara kijana kavaa nguo,
Kwenye Bible hakuna Evidence kama kweli Joseph alizaa na huyo mama, na hata kama alizaa nae. Pia Ubikra wake uliisha baada ya Kuzaa Yesu, sisi point ya Kumuita Bikra ni kwamba alipata Mimba wakati njia ya Uzazi ikiwa bado imefungwa.
Pia naomba unipe Verse kwenye Bible kuwa Joseph alikuwa Mzee, pia Mary alikuwa na miaka 9, kama ukinipa nje ya Bible, kwa kutumia Rumours za mitandao nitakuona mpumbavu
dogo Gambamai , mimi sijamkashifu Yesu ni nyie wakristo ndio mnamkashifu. mara mnamuita shoga mara mseme hana akili sio mimi we soma bibilia , hebu nikutolea ubishi tazama wakristo wanasema nini sio mimi.Hahahha, mkuu Adiosamigo, nimegundua ujui Bible kweli, ndio maana unaingia mtandaoni na kujaribu kutafuta vifungu ili uturushe roho hapa.
JIBU.
Kwanza, wakati ule Yesu alikuwa anatembea na kundi la wanafunzi wake 12, wale maaskari waliopanga kumkamata Yesu walikuwa hawamjui vizuri. Kumbuka kuwa Yuda Iskariot ndie aliemsaliti Yesu baada ya Kupewa Pesa ili awoneshe Yesu ni yupi kati ya Kundi analotembea nalo. Yuda akawaambia, nitakaembusu mkononi mjue ndie YESU.
Lakini sikulaumu sana kwa sababu hukuwa kusoma Bible, pia unajitahidhi kumtafutia YESU kashfa ili ku Justify Kshfa za Mtume wenu ambazo zimeandikwa kinaganaga kwenye Quran na Hadith
Hauwezi hata siku moja kuleta dalili, unless utafute fake hadith lakini kwenye Qur'an unaota dogo. Kama mlivyo danganywa na wa Israel kuwa Jacob alipigana na Malaika wa Mungu, afu akamshinda ndio akabadilishwa jina. Usidhani waislam watadanganywa na wakristo hata siku moja. Hivi nani anaye kubali ujinga huo wa bibilia zaidi ya wajinga wasio kuwa najua nani Mungu wao. Yani Mungu akubali malaika wake apigwe vita tena na nani Mtume wa Mungu, na huyo Jacob basi atakuwa si Mtume tena mana Mitume wanawaju kabisa Malaika wa Mungu, vipi Jacob akapigne na Malaika wa Mungu Ajaaabu kubwa sana.