Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
mxxxxxxxxxxx
Isije kuwa kale kamchezo maarufu ka Vatikan.
Very dangerous. Anaweza kutekwa au kukumbwa na kashfa. Pili mimi sio muumini sana wa kutoa misaada kwa maskini. Tushughulikie matatizo yanayosababisha watu kuwa maskini hasa umaskini wa kulazimishwa. Sina uhakika kama Vatican kuna vijiji. Ni nchi ya wakazi kama 1000 fu
View attachment 124761
Imeelezwa kuwa Askofu Krajewski amekuwa akiambatana na Papa Francis wakati mwingine na kwenda kuwapa misaada maskini maeneo ya vijiji, mjini Vatican.
Askofu Krajewski alisema tangu zamani alipokuwa Askofu Mkuu wa Jimbo la Buenos Aires, Papa Francis amekuwa akipenda kwenda mijini nyakati za usiku na kuwatembelea wenye shida mbalimbali.
"Amekuwa akionyesha dalili ya kupenda kunisindikiza kwenda kuwapa misaada maskini, pindi nikiondoka kwenda kufanya kazi hiyo," alisema Padri Krajewski.
Hata hivyo, alipoulizwa iwapo Papa aliwahi kwenda naye nje ya mji kwa ajili hiyo, Askofu Krajewski, alisita kujibu swali hilo.
Wakati huohuo, gazeti la Huffington Post limeripoti kuwa walinzi wa Uswisi, wamethibitisha kuwa Papa amekuwa akizunguka maeneo mbalimbali usiku akiwa amevalia mavazi ya kawaida ya wachungaji na kuwapa misaada, wanaume na wanawake wenye shida mbalimbali.
kumbe anamsindikiza kutoroka kumetoka wapi tena!

SAfari za wakubwa hupangwa, na pale anapochomoka bila utaratibu wa safari ya kupangwa ni kutoroka
Pamoja na kashfa zisizo na ushahidi hata Lowassa amekuwa na dhamira hiyo.Hapati usingizi akifikiria maskini mitaani wanavyotaabika kwa kiu, njaa, anaamua kuacha usingizi kwenda kuwasaidia maskini, maana mchana yuko busy na ratiba za kiofisi.
vatican kuna masikini,ombaomba,duh?Hapati usingizi akifikiria maskini mitaani wanavyotaabika kwa kiu, njaa, anaamua kuacha usingizi kwenda kuwasaidia maskini, maana mchana yuko busy na ratiba za kiofisi.
nasikia aliwahi kuwa bouncer kwenye club huko kwao kabla hajaingia kwenye dini.Huyu Pope anatesa kweli walinzi.Anataka kuwa mtu wa kawaida huku akishika nafasi kubwa sana.
...msafara wa Mamba, kengehakosekani...!!!