TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki kwenye makazi yake Vatican na taarifa zaidi kuhusu kifo chake zitatolewa.

Papa ambaye alizaliwa mwaka 1936 hivi karibuni amepitia changamoto ya upumuaji hadi kuhitaji mashine ya kusaidia kupumua na amekuwa akikabiliwa na matatizo ya kiafya ikiwemo maambukizi ya mapafu(nimonia) hadi kupelekea kulazwa kwa wiki kadhaa kabla ya baadaye afya yake kuimarika.

======================================

Pope Francis, the reforming head of the Catholic Church who sought to modernise the pastoral and public priorities of the Vatican, has died at the age of 88.

The Vatican announced the death of the Argentina-born Francis, a ground-breaking and progressive figure on Monday.

He was the first pope to be born or raised outside Europe in 12 centuries, the first from the Americas and the first Jesuit to hold the role.

Screenshot_20250421_112017_X.jpg


1745222899840.png


Source: BBC
 

Attachments

  • TANGAZO RASMI LA KIFO CHA PAPA.mp4
    6.9 MB

Pope Francis, the head of the Catholic Church, dies aged 88​


London: Pope Francis, the reforming head of the Catholic Church who sought to modernise the pastoral and public priorities of the Vatican, has died at the age of 88.

The Vatican announced the death of the Argentina-born Francis, a ground-breaking and progressive figure on Monday.

He was the first pope to be born or raised outside Europe in 12 centuries, the first from the Americas and the first Jesuit to hold the role.
 

Source: BBC​

Vatican announces Pope Francis' death - statement in fullpublished at 11:06​

11:06​


A short while ago, His Eminence, Cardinal Farrell, announced with sorrow the death of Pope Francis, with these words: “Dearest brothers and sisters, with deep sorrow I must announce the death of our Holy Father Francis.

Quote Message
At 7:35 this morning (local time), the Bishop of Rome, Francis, returned to the house of the Father. His entire life was dedicated to the service of the Lord and His Church."
"He taught us to live the values of the Gospel with fidelity, courage and universal love, especially in favour of the poorest and most marginalised."

Farrell adds: "With immense gratitude for his example as a true disciple of the Lord Jesus, we commend the soul of Pope Francis to the infinite merciful love of the One and Triune God.”


Apumzike kwa amani
 
Apumzike kwa amani mzee.

Kuna kijana mmoja hua anafanya utani mitandaoni anasema mungu anakupa ugonjwa ufe mapema urudi kwake halafu unamzunguka unaenda hospitali.

Inakuja swali, kwa nini viongozi wa dini wakiugua wanakimbilia hospitali wakati wanahubiri kwamba Mbinguni ni pazuri, pana kila kitu, Pombe, wanawake wazuri mabikra 72, misosi mizuri, bustani, hakuna magonjwa wala maumivu yoyote, ni raha mustarehe milele na milele lakini wakiugua hata mafua tu wanakimbilia hospitali, wanaogopa nini kufa wakaende kula raha huko mbinguni? Ama hawaamini wanachokihubiri? Dini ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo.
 
Back
Top Bottom