DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,636
- 81,533
RIP , I think the Wait is over is time for black to rule this institution.
Hadi wakati wake wa mwisho alikuwa anasisitiza vita ya Gaza isitishwe, mtu mwema sana.Hii ni kutoka BBC sasa hivi
London: Pope Francis, the reforming head of the Catholic Church who sought to modernise the pastoral and public priorities of the Vatican, has died at the age of 88.
The Vatican announced the death of the Argentina-born Francis, a ground-breaking and progressive figure on Monday.
He was the first pope to be born or raised outside Europe in 12 centuries, the first from the Americas and the first Jesuit to hold the role.
View attachment 3310870
Ndio ya Mungu mengi yenye miujiza yake wewe unaweza kuishi bila Mapafu, bila Figo, bila bandama, bila kongosho na ukatoboa?View attachment 3310881mbona jana alikua mzima kabisa!
Hapana, alitoa live salamu za PasakaWaliona pasaka ipte kwanza ndio watangaze
Natumia tadalafil njoo nikushone ili umuenzi aliekua anawabariki kwenye ushogaUnatumia Anusol Suppositroy?
Ndiyo mkuu... nothing is permanentbado baba yako na mama yako
Kwa kweli ya Mungu ni mengi , haikua imetarajiwa kabisa , hata hivyo apumzike kwa amaniNdio ya Mungu mengi yenye miujiza yake wewe unaweza kuishi bila Mapafu, bila Figo, bila bandama, bila kongosho na ukatoboa?
Kwakweli papa alikua anazingua anajifanya yupo kati, habariki wala hapingi alikua analeta ukakasi sana...... Alale salamaTunamshukuru Mungu kwa kifo chake maana aliku ni fitina hapa duniani, Adhabu kali ya moto iwe juu yake mzee wa kubariki ushoga
Akiwa mweusi kuna nini kitabadilika duniani?RIP , I think the Wait is over is time for black to rule this institution.