Papa apiga kiss miguu ya watu karibu 12 na kuwaosha miguu yao

Ni imani inayoelekeza unyenyekevu. Yesu pamoja na kuwa mwana wa Mungu aliwaosha miguu wanafunzi wake. Kama ishara ya kwamba i am no better than you, sote ni wana wa Mungu.

Linaweza kuwa somo zuri kwako pia kuwa hakuna anaekuhukumu kwa kutawadha kila unapotaka kuswali. Na hauhitaji kuwahukumu hao wafanyao hivyo.
Inalillah wa inalillah rajun! Hivi hizi ni imani gani? zinatofauti gani na shirki zingine, mtu akishapata kiss ya miguu ndo inakuwaje?! Ya Allah, Ihdina siratwa al mustaqim...
 
Nimeamini upeo wako mdogo kinouma aiseee just respect others faith kama huna cha kuongea piga kimya aiseeee mbona mnabongoa masjid si hatusemi bhana acha usenge

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Inalillah wa inalillah rajun! Hivi hizi ni imani gani? zinatofauti gani na shirki zingine, mtu akishapata kiss ya miguu ndo inakuwaje?! Ya Allah, Ihdina siratwa al mustaqim...
mkuu Wale ma-Bikra wako wanakungoja...
 
Inalillah wa inalillah rajun! Hivi hizi ni imani gani? zinatofauti gani na shirki zingine, mtu akishapata kiss ya miguu ndo inakuwaje?! Ya Allah, Ihdina siratwa al mustaqim...
Huelewi zinamaanisha nini ndo maana unapiga kelele tu. Kwa ufupi kuosha watu miguu ni alama ya upendo na ukarimu ikichukuliwa kuwa ni kitendo cha dhihaka ambapo ni watumwa tu ndo walokuwa wanawaosha miguu mabwana zao so anapoosha miguu ni kuonesha hilo (Jn 13 1-15). Kiss ni alama ya upendo (love/ agape). Kila Dinn ina signs and symbols ambazo zinaeleweka kwa watu wa imanni hiyo, muumin wa imani nyingine hawezi kuelewa na haiwezi kumwingia akilini. Kuna mambo mnayafanya kwenye imani yenu (Islam) hayaniingii akilini lakini nakubali kuwa ni Imani yenu wala siwezi kuwakashifu kwa hayo mnayoyafanya kwa kuwa kwangu mimi "faith is the personal disposition of an individual person to his/ her Creator. Ni bayana ya mambo yasiyoeleweka. Tatizo mlishadanganywa na yule mtu wenu (...... tullah)
 
Ni kweli.mwambie kwa kuwa haujui analolitamka
Ni imani inayoelekeza unyenyekevu. Yesu pamoja na kuwa mwana wa Mungu aliwaosha miguu wanafunzi wake. Kama ishara ya kwamba i am no better than you, sote ni wana wa Mungu.

Linaweza kuwa somo zuri kwako pia kuwa hakuna anaekuhukumu kwa kutawadha kila unapotaka kuswali. Na hauhitaji kuwahukumu hao wafanyao hivyo.
 
Uliza kwanza maana ya hili tukio,kabla ya kukimbilia ku-comment.

Back
Top Bottom