Papa afungisha ndoa angani

Papa afungisha ndoa angani

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,698
Reaction score
2,262
Harusi angani! Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis jana amewaoza wahudumu wawili wa ndege wakati akiwa safarini nchini Chile. Wapenzi hao walikuwa tayari wamekwishasajili ndoa yao mahakamani, lakini walishindwa kuoana pia katika kanisa lao kutokana na tetemeko la ardhi la mwaka 2010.

Paula Podest Ruiz, mwenye umri wa miaka 39, na Carlos Ciuffardi Elorriga, mwenye umri wa miaka 41, waliozwa na Papa katika siku ya tatu ya ziara yake ya Amerika Kusini wakiwa angani ndani ya ndege ya shirika la LATAM.

Chanzo: DW Kiswahili

papa.jpg
 
Haisaidii.
Huyo si ndiyo yule Papa aliyeanza kusema sala ya "Baba Yetu Uliye Mbinguni" kwenye biblia haina mantiki ibadirishwe.
Alisema haina mantiki au sehemu inayosema "usitutie katika kishawishi" ndo pabadilishwe kwani Mungu hamtii Mtu majaribuni ......
Usilete upotoshaji ....
 
Mkuu
Ukitakiwa Upimwe Mkojo Ama Ukiitwa Mchochezi Hapo Unaonaje? 😱😀😀
*********************
Mungu Ni Mwema Sana
 
master09 ,
Mkuu,
Nimeandika alipendekeza sala ibadilishwe au ifanyiwe modifications ...

Sasa iwe ni kwenye neno usitutie kwenye vishawishi au sala yote ya Baba yetu hayo sasa utajua wewe na Papa wako huko.

Ila Mimi nimeingia kwenye dini juzi mwezi huu 01/01/2018 ukiniuliza maneno hayo mengine bado sijajifunza.
Ila nimewahi kusikia hapo kabla sijajiunga na dink baadhi ya watu wanadai kuwa mtu yeyotw haruhusiwi kubadili maandiko ya vitabu vitakatifu hasa hizo Qur'an au Bible.
 
Mkuu
Ukitakiwa Upimwe Mkojo Ama Ukiitwa Mchochezi Hapo Unaonaje? 😱😀😀
*********************
Mungu Ni Mwema Sana

Kennedy,
Mkuu,
Kwani si yeye ndiye alisema au hapo nimemlisha maneno!?

Poise, nilichofanya ni kunukuu maneno yake huyo papa.

Mkuu, ama siku hizi ni makosa hata kunukuu maneno ya mtu aliyoyasema yeye mwenyewe!?

Mfano, Hayati Mwl Nyerere, alisema; namnukuu "Rushwa ni Adui wa Haki" hapo napo nitaitwa mchochezi au nitapimwa mkojo!?

Basi, mkuu mwenyewe hizi dini sijawahi kuwa mfuasi ndiyo nimejiunga mwaka huu 01/01/2018 japo nina umri wa miaka 70 sasa.
 
Usingemjibu huyo mfarisayo alimsulubisha yesu

edwayne,

Mkuu,
Unasema Mimi Poise ni mfaraisayo na nilimsulubisha huyo Yesu Kristo!?

Duuuuuuh!!

Ujue nina umri wa 70 years old huyu Yesu ambaye sasa nimekuwa mfuasi wake juzi tu hivi tarehe 01/01/2018 nimesikia story kuwa ni zaidi ya miaka 2000+ sasa tangia azaliwe na kusulubiwa

Mkuu, sasa, hapo naanzaje kumsulubisha Yesu kwa mfano na huo umri wangu wa namba za viatu !?

Mkuu, naomba utubu.
 
Kennedy,
Mkuu,
Kwani si yeye ndiye alisema au hapo nimemlisha maneno!?

Poise, nilichofanya ni kunukuu maneno yake huyo papa.

Mkuu, ama siku hizi ni makosa hata kunukuu maneno ya mtu aliyoyasema yeye mwenyewe!?
Mungu Ni Mwema Sana
Uwe Na Amani Moyoni 😀

Mfano, Hayati Mwl Nyerere, alisema; namnukuu "Rushwa ni Adui wa Haki" hapo napo nitaitwa mchochezi au nitapimwa mkojo!?

Basi, mkuu mwenyewe hizi dini sijawahi kuwa mfuasi ndiyo nimejiunga mwaka huu 01/01/2018 japo nina umri wa miaka 70 sasa.
Kennedy,
Mkuu,
Kwani si yeye ndiye alisema au hapo nimemlisha maneno!?

Poise, nilichofanya ni kunukuu maneno yake huyo papa.

Mkuu, ama siku hizi ni makosa hata kunukuu maneno ya mtu aliyoyasema yeye mwenyewe!?

Mfano, Hayati Mwl Nyerere, alisema; namnukuu "Rushwa ni Adui wa Haki" hapo napo nitaitwa mchochezi au nitapimwa mkojo!?

Basi, mkuu mwenyewe hizi dini sijawahi kuwa mfuasi ndiyo nimejiunga mwaka huu 01/01/2018 japo nina umri wa miaka 70 sasa.
 
Alisema haina mantiki au sehemu inayosema "usitutie katika kishawishi" ndo pabadilishwe kwani Mungu hamtii Mtu majaribuni ......
Usilete upotoshaji ....
Twende polepole mkuu. Kwani yale maneno yalitungwa na watu au yaliandikwa na manabii kupitia roho mtakatifu?
Isijekuwa pope ni wakala wa shetani hivyo anataka kuivuruga biblia ionekane ni kitabu kilichotungwa na wanadamu hivyo hakifai kwa mafundisho.
 
edwayne,

Mkuu,
Unasema Mimi Poise ni mfaraisayo na nilimsulubisha huyo Yesu Kristo!?

Duuuuuuh!!

Ujue nina umri wa 70 years old huyu Yesu ambaye sasa nimekuwa mfuasi wake juzi tu hivi tarehe 01/01/2018 nimesikia story kuwa ni zaidi ya miaka 2000+ sasa tangia azaliwe na kusulubiwa

Mkuu, sasa, hapo naanzaje kumsulubisha Yesu kwa mfano na huo umri wangu wa namba za viatu !?

Mkuu, naomba utubu.
Wewe ni farisayo tu ulimsulubisha yesu na bado unaendelea msulubisha yesu
 
Back
Top Bottom