BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,837
Hao panya wamesumbua sana wakulima huko Mlimba, kilombero.Yaani ukipanda mbegu ya mpunga au mahindi wanakula yote,unabidi upande tena.Sijui wameletwa na wazungu hawa panya au vipi
Wakuu,
Kuna panya wasioeleweka wamevamia mashamba ya Msata wanakula mbegu.
Watu wakipanda mbegu mashambani mwao kabla hazijaota panya hao wanakula hizo mbegu kabla hazijaota.
Haijalishi umepanda mbegu za mahindi, choroko, alizeti au zao lolote lile panya wanakula. Hatujui wametokea wapi, kwa maana hiyo mwaka huu hatutapata chakula tunaolima Msata.
Nipo Msata, kijiji cha Mazizi. Tatizo hili lipo vijiji vyote vya jirani pia
Kwakuwa Mshana Jr anaielewa vizuri, tafadhali karibu kwa mjadala.
Dawa yao ndogo sana:-Wakuu,

Unashauri nini wewe??? Halafu panya wakiisha walete nguchiro kumaliza nyoka ndio waanze kupalilia?Nyoka ndo ufumbuzi wa tatizo hili. Waletwe nyoka wengi sana wawekwe kwenye mashamba... Kama wanaweza mleta mpiga filimbi wa hamelin yeye agesaidia kwa urahisi zaidi.
Kisha mlete nini kuwatoa nyoka?Nyoka ndo ufumbuzi wa tatizo hili. Waletwe nyoka wengi sana wawekwe kwenye mashamba... Kama wanaweza mleta mpiga filimbi wa hamelin yeye agesaidia kwa urahisi zaidi.