Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
Kulikuawa na panya watatu, walikuwa wakibishana kuhusu ujuzi wao na kila mmoja alijigamba kuwa yeye ni mjuzi zaidi yamwenzie,
Panya 1: mimi ni nouma, ninauwezo wakutegua mitego ya aina yeyote nitakayotegewa..
Panya 2: hahahaa mie ni zaidi ya hatari, naweza kunywa maziwa hata kama yamewekwa sumu...
Panya wa 3 akainamisha kichwa kwa muda afu akaanza kuondoka, wenza wakamuuliza kulikoni anaondoka wakati hajatoa ujuzi wake, akawaambia kuwa anaenda kufanya mapenzi na paka...
haha mkuu yako kidogo tofauti mwishoni kwenye panya wa tatu......umeongezea ama?
Hadithi yako inatufundisha nini??
hii ni kama fasihi simulizi mkuu, hufundisha, huelimisha na kuburudisha jamii, inamana we hujabaini hata kimoja kati ya hvo vi3?
Inafundusha ukiwa mbishi na kukomaa unaweza fanya makubwa,huyu panya kathubutu kumsomesha paka mpaka sasa analala nae,ni kuthubutu tu.Hadithi yako inatufundisha nini??
mjinga usimwambie maana...huenda hata hilo neno fasihi ni msamiati kwake au hajawahi hata kulisikia.....
Inafundusha ukiwa mbishi na kukomaa unaweza fanya makubwa,huyu panya kathubutu kumsomesha paka mpaka sasa analala nae,ni kuthubutu tu.
Hadithi yako inatufundisha nini??
Hadithi yako inatufundisha nini??
sio rafiki tu bali kamuweka ndani adui yake hahaha!P3 kaonyesha umwamba wakumbadili adui kuwa rafiki wa karibu sana
nimeipenda comment yako lol!kwamba mapenzi hayabagui kabila wala rangi..
mjinga usimwambie maana...huenda hata hilo neno fasihi ni msamiati kwake au hajawahi hata kulisikia.....