Na ndio maana ukichunguza kiundani utagundua wengi wa Majambazi, utakuta walikuwa Wanajeshi, Polisi au wengine bado wanalitumikia Taifa lakini kuna baadhi ya matukio ya Ujambazi wanashiriki.Mafunzo ya nn,itapelekea kuongezeka kwa matukio ya uhalifu.
Umemaliza.Kukosekana kwa ajira ni kisingizio tu maana kuna vijana wengi waliojiajiri kwenye ukusanyaji wa taka majumbani, ufundi wa ujenzi, bodaboda, kilimo cha mboga mboga na hata uchuuzi wa bidhaa wa nyumba kwa nyumba, kwani wao wana nini mpaka wasifikirie kufanya shughuli kama hizo zisizohitaji mitaji mikubwa wala elimu ya ajabu? Ukitaka kujua kuwa hao ni wendawazimu, wapatie ajira rasmi kama watadumu nayo. Wengi wana tamaa ya maisha wasiyoweza kuyamudu na utajiri wa ghafla.
Sasa ukiwamilikisha silaha sindio uhalifu utaongezekaaNi kweli. Hili kundi hata sijui limeibukaje wakati Dar ilikuwa imenza kuwa tulivu. Serikali inapaswa kuwapa wananchi mafunzo ya kijeshi na kuwamilikisha silaha kwa ajili ya kujilinda na makundi ya kipuuzi kama hili la Panya Road.
Yaani we badala ya kuprevent uhalifu unachocheaa coconut headMkuu kwann huku mbezi beach hawaji? Huku si ndio kwa matajiri? Waje hapa tangi bovu kwa chini..tena huku hamna ujirani kila mtu na geti lake? Wakija ni kukata na kuiba tu...kwann wanaiba uswahilini ..? Nawakaribisha mbezi beach....huku kuna wanaume wa dar tu lege lege na watoto wa mama! (Kama wa mkoani wanavyosema)
Glock 17
Berretta
Pump Action
.45 colt
And so forth..
Karibuni tunawasubiri.
[HASHTAG]#tpaul[/HASHTAG] kugawa silaha ni kuchochea matatizo zaidi katika jamii. Check Marekani wanavyoexperience mauaji mfululizo kutokana na kuzagaa kwa silaha kwenye mikono ya raia wajinga na matahira. Bifu kidogo tu watu wanalipuana.badala ya serikali ya CCM kulazimisha kuwapima watu UKIMWI nyumba kwa nyumba, ni wakati mwafaka wa kugawa silaha nyumba kwa nyumba kwa ajili ya wananchi kujilindia dhidi ya genge hili la panya road.
Kuna principle inaitwa proportionality. Kwamba kama adui anatumia jiwe na wewe tumia jiwe, kama natumia fimbo na wewe tumia fimbo, kama anatumia panga na wewe hivyo hivyo ili hata kama ukishtakiwa ujitetee ulikuwa unajiokoa.mkuu sijakuelewa bado. wewe unataka tumilikishwe silaha za jadi badala ya kumilikishwa silaha nzito? hujui kuwa panya road wanatumia silaha za jadi kuwadhuru raia?
We mwehu niache niendelee kula kuku na juisssi baridi mjengoni usiniambie mambo ya kijinga mm nimtu mkubwa sawa *ila ukisikia panya rodi wa ukawa au ukuta wanadai haki na kuandamana kwa amani nijulishe haraka nitumie vikosi vyote sungusungu mgambo ffu zimamoto jwtz anga jwtz ardhi jwtz nave jwtz komando * sijaribiwiMtukufu Rais usiyejaribiwa vipi tena mbona hivi vitoto vinakujaribu?
last card ipo mwanzon kabl hujafik muhimbiliNadhani pale Chamazi kuna kituo cha polisi. Vipi huna namba zao uwapigie wachukue hatua za haraka? Hilo eneo la Muhimbili hakika ni hatarishi sana. Lipo wazi kwa vile halijajengwa ijapokuwa limezungukwa na makazi ya watu. Nakumbuka pia jirani na hilo eneo kuna Bar nadhani inaitwa Last Card. Mliopo Chamazi mtanisahihisha
Ama! Kwa hiyo mkuu unashauri nasi tujilinde kwa kutumia panga, visu na nondo kama panya road? You cant be serious dudeKuna principle inaitwa proportionality. Kwamba kama adui anatumia jiwe na wewe tumia jiwe, kama natumia fimbo na wewe tumia fimbo, kama anatumia panga na wewe hivyo hivyo ili hata kama ukishtakiwa ujitetee ulikuwa unajiokoa.
Huwezi kumilikishwa silaha nzito labda kama unataka kuhalalisha ujambazi wako
Siungi mkono hoja yako, cos ujinga huu ulianza miaka kumi iliyopitaMzunguko mdogo wa hela mitaani ni moja ya kichocheo cha matukio haya.
Kwa mtazamo wangu,hawa ni vijana waliokata tamaa ya maisha na wako tayari kwa lolote kwani wanaona hawana cha kupoteza.
ww huna akili ccm ndoo chanzo cha haya na ww ukiwemoNadhani pale Chamazi kuna kituo cha polisi. Vipi huna namba zao uwapigie wachukue hatua za haraka? Hilo eneo la Muhimbili hakika ni hatarishi sana. Lipo wazi kwa vile halijajengwa ijapokuwa limezungukwa na makazi ya watu. Nakumbuka pia jirani na hilo eneo kuna Bar nadhani inaitwa Last Card. Mliopo Chamazi mtanisahihisha
Sasa kama hutaki kumiliki kitu kinachoruhusiwa, kwa nini udai kumilikiswa smg, g3, ak47, rpg, rocket longer n.k? Huoni unahalalisha ujambazi wako? Miliki silaha za jadi na zingatia uwiano wa adui basiAma! Kwa hiyo mkuu unashauri nasi tujilinde kwa kutumia panga, visu na nondo kama panya road? You cant be serious dude