Panya Road wavamia Chamazi

Umeshajiuliza kwa nini panya road hawako Masaki, Mikocheni, Mbezi Beach, Oyster Bay,Upanga?
ni kwa sababu wadosi wanaoishi maeneo hayo wanazo silaha kali za kujilinda na pia wanalindwa na polisi 24 hrs.
 
Toa taarifa polisi maana humu jf siyo mahali sahihi unless una jambo lako umetumwa kupost.
 
Hivi kwanini polisi aogope kukaaa usiku...wanatutia mashaka...kazi yao ni nini...kulinda usalama...ina maana usalama ni mchana tu...wakeshe makazin...mbona mahospitalin wanakesha wao walopewa mafunzo wanakimbia sisi tusiojua lolote tusaidiwaje..
 
hamna mhanga hata mmoja... atoe taarifa za huko chamanzi kwa sasa?
 
Si tuliona jeshi la polisi likifanya mazoezi na kutangaza kuwa wako imara kupambana na uharifu wa aina yo yote. Mbona kama vile panya road wanawashinda kete.
Police wake up, these hooligans are gaining ground.
ile nguvu kubwa ni kwa ajili ya kudhibiti upinzani tu. nchi zetu hizi pamoja na kuwa upinzani upo kisheria lakini ndio kosa kubwa sana kuwa mpiinzani, utadhibitiwa kwa nguvu zote.Hao vibaka wa mitaani hawawanyimi usingizi watawala ukizingatia kwamba kwa upande wao hawana madhara yoyote
 
Dar hivi kweli mmekosa hata wanaume kumi wa ukweli ambao wanaweza kuwa paka road kwaajili ya kuwakabili hao panya?....hebu siku moja mjitutumue muache kulalamika ovyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Polisi wanahangaika na CHADEMA !
 
Mjeshimiwa nchemba kweli na umakini wako eshkndwa kuthibiti hawa watoto ambao hata kushka bunduki hawajui.. tafadhal mkuu wananchi wanapata shida sababu ya hawa panya road, mimi nakuamn sana mheshimiwa kwa namna unavojituma, komesha hili genge linalojiita panya road
 
Huwa najiuliza na kukosa majibu, iweje kwenye kibao cha 50kph vijijini kinalindwa na askari zaidi ya watano huku wakiwa na mafunzo hayo hayo ya kuzuia uhalifu?? Hivi kweli kuna umuhimu wa kuweka askari wote hawa barabarani huku watu wakiibiwa na kuuwawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…