Habari wanajamvi,
Leo nimekaa nikajiuliza maswali mengi mengi yasio na majibu, moja ya swali ni hili, hivi hiki kikundi cha panya road kilichokua kinadhalilisha watu na kuumiza hadharani mchana kweupe kimeishia wapi ama kujificha wapi?
Natamani sana kirudi katika kipindi hiki ambacho kila kiongozi katika nchi hii anataka kuonyesha umwamba wa kutumbua jipu, walitusumbua sana enzi za awamu iliyopita, Polisi wanafika katika tukio baada ya jamaa kuondoka, sijui na wao walikua wanaogopa zile panga?
Ila kwa hali ya sasa wakija tena na upuuzi wao ule! Nadhani tutaona ubongo zao zikimwaga hadharani na ndipo tutakapo nyimwa tena misaada mingine kwa kukiuka haki za binadamu.