Dont go away
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 501
- 208
Nchi hii haiishi vituko, nimepata taarifa kutoka ndani kabisa kuwa wale "panya road" ni mpango maalumu uliosukwa kiustadi zaidi ili kuwaamisha wananchi wasijadili ujio na kuzuiwa kwa vijana kutoka Geita kwa miguu kwa nia ya kuonana na Rais.
Mtoa taarifa anasema vijana wakiwa njiani kuja dar. walishawishiwa sana ili wabadili au waahirishe kuonana na RAIS na hata waliwatumia watu wengine kuwashawishi lakini vijana wale waligoma kabisa, ndiyo maana ikabuniwa hii ya panya road ili kuamisha mjadala wa wananchi kwa vijana hawa.
hakika vituko haviishi Tanzania yetu hii na yasiyowezekana duniani kote basi Tanzania ni mteremko haswaaaaaaaa.

Nauganisha dots zinagoma,
Akili yako ya kawaida sana uongo kama huu wajinga ndiyo wanautumia lakini siyo watu wenye akili zao ukiwa muongo inabidi uwe na akili nyingi sana siyo mzembe kama wewe.Nchi hii haiishi vituko, nimepata taarifa kutoka ndani kabisa kuwa wale "panya road" ni mpango maalumu uliosukwa kiustadi zaidi ili kuwaamisha wananchi wasijadili ujio na kuzuiwa kwa vijana kutoka Geita kwa miguu kwa nia ya kuonana na Rais.