Gentleman,Panya road walianza mwaka 2014 wakaendelea mdogo mdogo wakaja kuibuka kuanzia 2022 mpaka leo hii, wakazi wake wengi ni kama Zanzibar, Temeke, Tandika, Chanika, Mwananyamala, Buguruni, Kinondoni n.k.
Panya road wa Zanzibar wakati mwingine hujiita ubaya ubaya.
Sasa kwa nini well organized criminal gangs wako maeneo hayo?
Ukiangalia picha utaona hao vijana ni trained, angalia mapozi, sasa nani anawa-train? rejea panya road wako Zanzibar na Dar tu (atleast kwa sasa)
View attachment 3614624
Huyu Scumbabag ni religious Extrimist , Moja kati ya ndoto zake anadai anataka Tanzania tugawane mikoa nchi igawanywe kati ya Tanzania Muslim and Christians.Panya Road wapo wa kila dini. Wakristo tunabugi sana stepu kila tunapowanyanyapaa waislam huku sisi tukijiona binadamu wa daraja la juu sana.
Kuna upuuzi wa kuishusha thamani DP World kisa uislam wa wanaoimiliki, viongozi wa makanisa wanaamini kabisa kwamba uwepo wa kampuni hiyo bandarini ni kielelezo kwamba uislam unataka kujitanua duniani pote.
Hata chuki anayokutana nayo SSH hutokana na dini yake wala sio kitu kingine chochote.
Imani potofu kwamba SSH wajomba zake wanatokea Oman, vipi kuhusu Baba na Babu zake wanaotokea huku kwenye mikoa ya Pwani ya Tanzania!!?. Kwanini tusimtazame katika mtazamo wa upande wa Baba yake tunaishia kumtazama katika mtazamo wa Mama yake!?.
Akili zile zile za kishenzi za kibaguzi.
Lengo la huu uzi lilikua ni kukejeli Uislamu,huyu ndio kazi yake hiyo,Gentleman,
je,
wew ni miongoni mwa wafaddhili wa magenge hayo ya kihalifu, au ni victim wa magenge hayo ambae pengine ulikua member wao ukadhulumiwa na sasa umeamua kuwasanua kiaina?
Au wewe ni raia mwema ambae huenda uliathirika na ujambazi wao na sasa unajaribu kushauri wadau kuchukua tahadhari na vyombo vya kiusalama kuchukua hatua?
au umeamua tu kutengeneza script ya kuja kuinform wadau wa Jf, kwamba uelewa na ufahamu wako juu ya magenge ya kihalifu ya aina hiyo huko uswahilini uko hivyo?🐒
Hapa ndio umeyatapanya. Huyo anachukiwa sababu ya uongozi wake mbovu, dini haihusiki kabisa.Hata chuki anayokutana nayo SSH hutokana na dini yake wala sio kitu kingine chochote.
huo sio ungwana wala ustaarabu hata kidogo 🐒Lengo la huu uzi lilikua ni kukejeli Uislamu,huyu ndio kazi yake hiyo,
Naona Moderator wameuedit huu uzi wake ili kuondoa chuki yake ya udini kwenye huu uzi.
Oya dogo mko lunch break nini hapo shuleni?Huyu Scumbabag ni religious Extrimist , Moja kati ya ndoto zake anadai anataka Tanzania tugawane mikoa nchi igawanywe kati ya Tanzania Muslim and Christians.
Maoni yake jamvini anadai Uislamu ndio chanzo Cha matatizo yote Tz , yaani Tz bila Uislamu ingekuwa na maendeleo kama Japan , Uingereza au Marekani . Unajiuliza sasa kama Uislamu ndio tatizo mbona Kuna nchi nyingi pure Christians Africa na America mfano DRC , Uganda , Haiti , Kenya , Mozambique, Zimbabwe , Zambia nk ni masikini wa kutupwa na Kuna matatizo kibao au na huku Waislamu wameharibu ?
Kila kila mada na kila tatizo chanzo Uislamu na ili kutatua ni kufuta Uislamu , inaelekea hata mkewe akiCheat na kubagazwa na MaNyabumbu wakina loose Nut lawama ateleta kwa Uislamu.
Huyo jamaa fuutilia mijadala yake , inaashiria angekuwa na uwezo angeua Waislamu wote Duniani ili kuondoa matizi ya ulimwenguni
Hao ni vijana wanaenda shambani hawahusiani kabisa na panya Road. Panya Road ni vijana wakubwa wenye nguvu zao kuanzia 18 yrsPanya road walianza mwaka 2014 wakaendelea mdogo mdogo wakaja kuibuka kuanzia 2022 mpaka leo hii, wakazi wake wengi ni kama Zanzibar, Temeke, Tandika, Chanika, Mwananyamala, Buguruni, Kinondoni n.k.
Panya road wa Zanzibar wakati mwingine hujiita ubaya ubaya.
Sasa kwa nini well organized criminal gangs wako maeneo hayo?
Ukiangalia picha utaona hao vijana ni trained, angalia mapozi, sasa nani anawa-train? rejea panya road wako Zanzibar na Dar tu (atleast kwa sasa)
View attachment 3614624
Kuna lingine linaongozwa na Nabii Tito linatoa sadaka ya makalioKuna kundi lingine la panya road linaitwa mbwa mwitu linaongozwa na Sheikh Mwaipopo na mfadhili wao ni Dully.
Ushawahi kumbana nao lo??