Panya road ebu njooni na huku kwetu Ukonga kama nyie ni vidume kweli!

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,348
5,977
IMG_20161029_112334.jpg
 
Waliwahi kwenda Kitunda, wakakatwa miguu wawili,
Wengine walibahatika kukimbia,

Sijasikia tena cha Panya road wala Mbwa mwitu,

Chezeya Wakurya weweee.
Wawachezee wengine lakini si pande zetu huku!
Kuna askari magereza mmoja kama miaka 3-4 imepita alijifanya mjuaji,eti mtoto wa "mujini" now ata sura yake ilishasahurika chini ya jua!:D
 
Acha urongo panya road wanetembeza sana kipigo huko ukonga mombasa moshi bar kwa wakurya wauza mayai wakurya wote wakapoteana wameacha wake zao.
Panya rodi wakatembeza kichapo hadi chanika.
Hapa unaongea tu ila wakija hapo wewe ni mwanaumenwa dar tu utapoteana na mapanga yako hata kama ni mkurya wewe si wa dar..
 
Back
Top Bottom