Gaspare Mbile
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 1,567
- 1,605
Kumbe kuna panya road wanafunzi,waalimu wakishushe kipigo cha mbwa mwizi kwa wanafunzi analalamikiwa,hiki kizazi kigumu mno.
Miaka 16 tu tena ni mwanafunzi wa kidato cha tatu! Watu muwe na busara na siyo kushambulia binadamu wenzenu kama wanyama namna hiyo.! HUKO HOSPITALI: Hivi ilishindikanaje kujua kuwa huyu mtu bado yuko hai.?! Kweli vyeti vikaguliwe!Kijana maarufu kama Panya Road mwenye umri wa miaka 16 ambaye pia ni mwanafunzi wa kidati cha tatu amezinduka baada ya kuhifadhiwa katika mortuary ya Temeke hospital akidhaniwa amefriki kufuatia kipigo cha wananchi.
Sindano ipi?Hawakumdunga ile sindano?
Nyie wa mikoani ardhi imetingishika kidogo tu, mmekimbia nyumba zenu hadi kesho.Wanaume wa dar bhana!! Yani tumadogo twa miaka 16 tunazinguwa kitaa du!!! Si twa kuzaba vibao tu