Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,854
Inamaana hospitali huwa hawahakiki kwa kina mpaka ukawekwe kwenye jokofu la mochwari
Atakuwa alifika ng'ambo ya pili malaika wakamrudisha ndio maana kaonekana amefariki halafu karudi tena. Sidhani kama ni cheti.Miaka 16 tu tena ni mwanafunzi wa kidato cha tatu! Watu muwe na busara na siyo kushambulia binadamu wenzenu kama wanyama namna hiyo.! HUKO HOSPITALI: Hivi ilishindikanaje kujua kuwa huyu mtu bado yuko hai.?! Kweli vyeti vikaguliwe!
Umeanza kuonekana umuhimu wake.Ki ukweli waalimu kama msigwa wanahitajika sana
Bado sio sababu, hivyo bado vitoto. Ilitakiwa vitafutwe popote vilipo na mob justice ihusike vingenyooka. Vikikamatwa na kuwekwa lupango vitajiona vidume.Tunakuwa tumebeba panga bro,tushavuta cha Arusha na kubugia toti kibao za Valuu.
Sio watu "wanaume wa dar" 😀Miaka 16 ndio anasumbua watu kitaaa? Huyo si wakuchapwa fimbo tu?
Ili uweze kusimamia mtoto vizuri inakupasa uwe na uelewa wa kumsimamia, rasiliamali pesa (kipato) na jamii iliyokuzunguka. Kwa maisha ya sasa ya Mtanzania tena wa Dar es Salaam hivi vitu ni adimu sana na kibaya zaidi watoto tayari wameshazaliwa wapo!“Mzazi atakayeshindwa kumsimamia vyema mtoto wake na kukiuka sheria ya mtoto ya mwaka 2009 katika kifungu cha 14, atafikishwa mahakamani na akitiwa hatiani atafungwa miezi 6 au kulipa faini ya Sh milioni 5,” alisema Kamanda Muroto.
hapo sasaHawa panya road tutawamaliza kweli? watu wanauwawa lakini bado wana uwezo wa kuzinduka!!!!! kazi tunayo.