Panya road azikwa kifahari Buguruni kisiwani

hiv mkuu unaandika haya mambo una uhakika nayo au unataka umaarufu? yan hapo umepewa tu taarifa na umeropoka kiasi hicho?! sa kama ulikua hujui huyo marehem na mimi nyumba zinatazamana, ni majiran kabisa. napinga hoja zako 4. kwanza umesema kikundi kimetoa pesa, si kwel gharama zote katoa mdogo wake anaitwa Ali anaish south Africa. pili umesema ana miaka 30. yan inaonyesha hujui unachoongea kwa sababu mdogo wake wa 3 anaitwa fatuma anakujaga mpaka kwetu amevuka miaka 30, tatu umesema anaitwa Hamis seif,umekurupuka jina lake kamil anaitwa Hamisi omary kumba. mwisho umesema panya road wamekod mabas,bodaboda. yan hi ndo umenichekesha mana tumeenda kuzika kwa mguu tumerud kwa mguu. na distance haifika hata km 1. mkuu ucpende kukaririshwa kama kasuku, unakuja unapayuka mambo usiyojua ili uwe umaaruf? hiv unajua siku aliokufa sauz huku bongo kulikua kuna harusi ya binam yake zena? washafanya kitchen bado ndoa! na mfungishaj ndoa alikua anasubiriwa yeye arud ijumaa ya tar 5? kesho ntaleta uzi unaohusu tukio zima!
 
Asante kwa kumuumbua ndorobo wa habari
 
Kweli, hii ndiyo JF. Kila mtu na zakeeee. Nashukuru mleta mada Kawa kichokooo.
 
Back
Top Bottom