Panya: Nina mimba ya paka

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
'Panya watatu wabishana
nani bigwa; wakwanza adai
mimi maisha yangu yote
nimeishi kuiba store lakini
cja wahi kushikwa,wapili
adai wacha hiyo mimi nimekunywa sumu mara
kadhaa na cja kufa,wa tatu
aagua kicheko kisha adai
sasa nyinyi mnasema nini
mimi niko mpaka na mimba
ya paka!!'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom