Panya Magawa mahiri kwa kubaini mabomu ya kutegwa ardhini amekufa nchini Cambodia

kyanyangwe

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
1,147
2,746
Kwa masikitiko tunawatangazia kifo cha panya magawa kilichotokea huko nchini Cambodia.

Chanzo cha kifo cha panya Magawa kimetokana na uzee kwani alikua na umri wa miaka minane.

Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya kipenzi chetu panya magawa.

Pia soma

Panya Magawa astaafu kazi ya kufichua mabomu kimataifa
Panya Mtanzania atunikiwa nishani ya Dhahabu kwa umahiri wake wa kubaini mabomu ya kutegwa ardhini

Magawa.jpg
 
Kwa masikitiko tunawatangazia kifo cha panya magawa kilichotokea huko nchini Cambodia.
Chanzo cha kifo cha panya Magawa kimetokana na uzee kwani alikua na umri wa miaka minane.
Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya kipenzi chetu panya magawa.
Miaka minane??????
 
Rambirambi zetu tunatuma kwenda namba ipi?
 
Panya wa kiume kutoka Tanzania, Magawa ambaye mwaka 2020 alitunukiwa nishani ya dhahabu kutokana na uwezo wake wa kubaini mabomu ya kutegwa ardhini nchini Cambodia, amekufa akiwa ni panya Mzee mwenye umri wa miaka minane ambao ni umri mkubwa kwa panya.

Mwezi November mwaka jana Magawa alitimiza umri wa miaka minane na alistaafu pia mwaka jana kutokana na uzee wake kwakuwa alianza kupunguza kasi ya kutegua mabomu.

Magawa alizaliwa Tanzania November 5,2014 akiwa na uzani wa KG 1.2 na urefu wa Sentimita 70 na hadi anakufa amenusa mabomu na silaha nyingine zaidi ya 100.

Magawa amefia nchini Cambodia kwakuwa baada ya kustaafu hakurejeshwa Tanzania na amekufa usiku wa kuamkia Jumapili ya juzi.
 
Kwa masikitiko tunawatangazia kifo cha panya magawa kilichotokea huko nchini Cambodia.

Chanzo cha kifo cha panya Magawa kimetokana na uzee kwani alikua na umri wa miaka minane.

Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya kipenzi chetu panya magawa.

Pia soma

Naomba mwili wa shujaa huyu wa Taifa mwenye jina la kigogo urudishwe nyumbani tumtolee heshima za mwisho.
 
Tunaomba serikali itume ndege yenye nembo ya twiga ikaubebe mwili wa shujaa wetu aje azikwe Kwa heshima zote,
Tena wasizingue kama walimtuma Palamagamba aende Madagascar kuchukua juice ya pilipili pori isiyo na Manufaa watashindwaje kwenda kumchukua shujaa wa Taifa aliyetuletea sifa kama taifa?
Fanyeni hima eboooo!
 
Back
Top Bottom