Panapo Tume Huru, Lissu akisimama na Mkulu wa sasa, Mkulu akijitahidi sana atapata asilimia 35 tu ya kura zote

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
38,240
2,000
Ndugu zangu, huu ndio ukweli na sababu kubwa ni kuwa "Mkulu" si kipenzi cha watu na hajawekaza kabisa kwa watu wa kawaida(kwenye grassroots) bali ni mtu mwenye umaarufu wa media na kawekeza zaidi katika media.

Lissu, kwa kumsema na kumkosoa mkulu, alikuwa anawagusa wananchi wengi kwani alikuwa ndio sauti ya wanyonge na kwa hilo pamoja na mambo mengine mengi, amejijengea jina kubwa sana na kumfanya akubalike na wengi.

Hata jaribio lililoshindwa la kuondoa uhai wake, kwake pia ni mtaji mkubwa sana kisiasa.

Kingine ni kufeli kwenye issue ya makinikia ambayo Lissu aliitwa msaliti lakini hatimae ukweli umejulikana.

In short, Lissu hataitaji kampeni kubwa kumshinda mkulu ila mkulu ataitaja kampeni kubwa kupunguza gap la kura kati yake na Lissu kupata walau asilimia hiyo 35 ya kura.
 
Last edited:

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
36,295
2,000
Ndugu zangu, huu ndio ukweli Lissu, alikuwa anawagusa wananchi wengi kwani alikuwa ndio sauti ya wanyonge na kwa hilo pamoja na mambo mengine mengi, amejijengea jina kubwa sana na kumfanya akubalike na wengi.

In short, Lissu hataitaji kampeni kubwa kumshinda mkulu ila mkulu ataitaja kampeni kubwa kupunguza gap la kura kati yake na Lissu kupata walau asilimia hiyo 35 ya kura.
Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? ...Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!
P
 
jogoo_dume

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
2,148
2,000
Ndugu zangu, huu ndio ukweli na sababu kubwa ni kuwa "Mkulu" si kipenzi cha watu na hajawekaza kabisa kwa watu wa kawaida(kwenye grassroots) bali ni mtu mwenye umaarufu wa media na kawekeza zaidi katika media.

Lissu, kwa kumsema na kumkosoa mkulu, alikuwa anawagusa wananchi wengi kwani alikuwa ndio sauti ya wanyonge na kwa hilo pamoja na mambo mengine mengi, amejijengea jina kubwa sana na kumfanya akubalike na wengi.

Hata jaribio lililoshindwa la kuondoa uhai wake, kwake pia ni mtaji mkubwa sana kisiasa.

Kingine ni kufeli kwenye issue ya makinikia ambayo Lissu aliitwa msaliti lakini hatimae ukweli umejulikana.

In short, Lissu hataitaji kampeni kubwa kumshinda mkulu ila mkulu ataitaja kampeni kubwa kupunguza gap la kura kati yake na Lissu kupata walau asilimia hiyo 35 ya kura.
Endelea kujipa moyo. Leo naona sindano zimewauma kweli. Lazima mjipoteze wenyewe.
 
ISIS

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
91,521
2,000
Labda kama unaongelea Urais wa TLS....lakini kama ni Urais wa taifa basi mna mpotosha ikiwezekana mwambieni agombee msijifiche nyuma ya tume huru maana hata nyingi mna wabunge waliotokana na hiyo mnayoiita tume siyo huru
Chama chake hawamtaki!
 
jogoo_dume

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
2,148
2,000
Viongozi wote waliopo wametokana na TUME hii isiyokuwa HURU, tuweke TUME huru tupate viongozi kutokana na TUME huru.
Hili ni chaka lingine kama machaka mengi e ya chadema na upinzani kwa jumla kukimbilia tume huru.
 
Mkirindi

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
5,980
2,000
Ndugu SS , kwanza nakusifu sana kwa hiyo BLIND LOVE yako kwa Lissu, maana naona umekuwa kama kipofu aliyeona sungura. Akiambiwa kuna tembo mkubwa , yeye anasema mkubwa kama sungura. Ndivyo ulivyo.

Lissu anapendwa na wachache sana , siasa zake za jazba ya kijinga hazipendwi na wengi, japokuwa ni hodaro wa kujenga hoja, sema tuu wale wapendao Jazba na makelele n ubishi.

Lissu is spent force, tumuombee apone haraka na awache kunywa pombe kifua wazi hospitali
 
Turnkey

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
5,921
2,000
Labda kama unaongelea Urais wa TLS....lakini kama ni Urais wa taifa basi mna mpotosha ikiwezekana mwambieni agombee msijifiche nyuma ya tume huru maana hata nyingi mna wabunge waliotokana na hiyo mnayoiita tume siyo huru
Ubunge matokeo papo kwa papo..ndio maana upinzani wanashinda..ila uraisi zengwe kibao
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom