Panapo Tume Huru, Lissu akisimama na Mkulu wa sasa, Mkulu akijitahidi sana atapata asilimia 35 tu ya kura zote

Mpeni sasa agombeee.. Mbn mnambania hata uenyekiti tu!!! Yaone unafkir labda urais wa tls et????? Yaaan pumba unalinganisha na mchele kweli hii n zaaaid ya uchadema uchwara endeleeen kujipa moyo
 
Badala umuombee aweze kusimama kwanza kwa miguu yake na atembee na Mke wake wewe unawaza kumtumia Kisiasa tu kwa manufaa yenu binafsi, ndo maana watu wanawakimbia, hamna utu hata kidogo!
 
Mmebaki na hoja za viroja, mnatia bhuruma sana na threada zenu.
Kwa akili zako unafikiri upinzani ni majina ya vyama? upinzani ni mawazo kinzani waliyonayo wananchi hamtaweza kuua upinzani kwa hiyo biashara mnayofanya namna bora ya kuua upinzani toeni huduma bora za kijamii na tengenezi mazingira mazuri ya vijana kupata ajira hapo mtaweza kumaliza upinzani
 
..halafu utupie na ka-debate on foreign policy kwa kiingereza na tumaswali tuchache toka international press corps.

Cc Malcom Lumumba
 
Last edited:
Hypothetical view without basis. Hiyo katiba itakayoruhusu uchaguzi huru itatoka wapi. Itashushwa toka mbinguni?
Na huyo asiyeitaka hiyo katiba tutampeleka wapi ili katiba ifanye kazi!

Sio katiba mpya tu, hata kwa kutumia hii hii iliyopo bila vyombo vya dola kuingilia ingetosha kabisa kwa wananchi kuondoa balaa hili linalonyemelea Tanzania yetu kama CHADEMA na vyama vingine vya upinzani wangefanya kazi yao ipasavyo.
 
Labda kama unaongelea Urais wa TLS....lakini kama ni Urais wa taifa basi mna mpotosha ikiwezekana mwambieni agombee msijifiche nyuma ya tume huru maana hata nyingi mna wabunge waliotokana na hiyo mnayoiita tume siyo huru
Umeelewa kilichoandikwa au umekurupushwa na teuzi za Muro na Mwengero?
 
Tundumsaliti ataambulia NIL walahi!
Hata chama chake hawamtaki hata kumsikia walahi
Utaishia kulamba miguu wenzako kina Katambi waleee wanapewa shavu wakati wewe unashindia kashata na kahawa hapo lumumba
 
Ila we jamaa una roho ngumu duu, wkt mwingine nakuhurumia eti na thread zako sizizo na vichwa Wala miguu! Nenda kalume mkuu siasa za hko ndo zishadoda.
Hili ni jukwaa huru wala siyo kwa wafia lumumba na wasaka tonge kama wewe pekee yako naona leo umevimba kama swira baada ya Mwengero kukupiga kibega
 
Back
Top Bottom