Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,011
- 144,371
Ndugu zangu, huu ndio ukweli na sababu kubwa ni kuwa "Mkulu" si kipenzi cha watu na hajawekaza kabisa kwa watu wa kawaida(kwenye grassroots) bali ni mtu mwenye umaarufu wa media na kawekeza zaidi katika media.
Lissu, kwa kumsema na kumkosoa mkulu, alikuwa anawagusa wananchi wengi kwani alikuwa ndio sauti ya wanyonge na kwa hilo pamoja na mambo mengine mengi, amejijengea jina kubwa sana na kumfanya akubalike na wengi.
Hata jaribio lililoshindwa la kuondoa uhai wake, kwake pia ni mtaji mkubwa sana kisiasa.
Kingine ni kufeli kwenye issue ya makinikia ambayo Lissu aliitwa msaliti lakini hatimae ukweli umejulikana.
In short, Lissu hataitaji kampeni kubwa kumshinda mkulu ila mkulu ataitaja kampeni kubwa kupunguza gap la kura kati yake na Lissu kupata walau asilimia hiyo 35 ya kura.

Last edited: