Panama papers na jinsi Mungu anavyomuumbua mnafiki

Panama papers na jinsi Mungu anavyomuumbua mnafiki

Huwajuia waingereza na majivuno yao ndio maana una maoni ya aina hii. Waingereza ni watu ambao kwa fikra zao binadamu wa kwanza ni muingereza halafu wanafuata watu wa mataifa mengine. Kashfa ya baba yake Cameron inatosha kabisa kumnyima usingizi yeye kama kioo cha jamii ya kiingereza, inatosha kabisa kuwapa uhalali waingereza kumuuliza maswali Cameron kila atakapokwenda kufanya shughuli za kijamii na kisiasa.

Majivuno ni nature ya binadamu sweeden anajiona bora kuliko norway, mjeruman nae hivyo hivyo kwa mrusi hizo mambo haziwez kumnyima usingiz cameroon bana kwanj rais wa china nae kakonda? hapa inshu ni msaada hamna kingine.
 
Dhambi ni dhambi tu, iwe imetendwa na shekhe au paroko wa kanisa katoliki. Umeshawahi kuwasikia wachina na wajapan wakijifanya kuwa ndio baba zetu wa maadili mema?.

China atajifanya vp mtu wa maadili wakat anaua haki za raia atamshaur nani? Had leo wanachama kimoja. Hakuna democracy kule na raia washaanza kuwaka wamechoka huo ujamaa wakat xi jimping kajiwekea pesa nje kupitia ndugu zake
 
Misaada ni sehemu ya mada hii, ujumbe wangu ni kwamba hakuna binadamu mwenye uhalali wa kujifanya kiranja wa mwingine, muingereza Cameron amekuwa akijigeuza kiranja wa kila nchi inayoongea kingereza, alikuwa akijidai ni mtu mwenye maadili ya kuigwa kumbe ni mtoto wa fisadi, ni mtoto wa mkwepa kodi. Kwa waingereza hiyo ni kashfa kubwa zaidi kuliko hata suala la misaada wanayozipatia nchi nyingi masikini duniani.
 
Angekamatwa cameroon ingekuwa na mashiko siwez kukuhukumu ww et kisa babu or mama alikuwa mchawi..
Kwa akili zako za kiafrika huwezi .ila wenzio wenye akili za kizungu wanaweza.
 
babake alimwacha na urithi wa dola laki 5,sasa amekutwa na dola milion 5 zimejiongeza kwa njia ipi ndio swali

..ok.

..lakini sidhani kashfa hiyo inamkosesha pm Cameron "udhu" wa kukemea mambo yasiyofaa anayofanya meet mugabe.

..kwa hapa nyumbani Magufuli Ana kashfa ya kuuza nyumba za serikali kwa bei ya kutupa/kifisadi. Je, wa-Tz tunapaswa kumpinga Magufuli anapotumbua majipu ktk miradi ya nyumba/ujenzi ya nssf?

..Mimi nadhani tunapaswa kusimamia ukweli wakati wote. Vilevile tuweke maslahi yetu( wa-Tz & Waafrika) kwanza.
 
China atajifanya vp mtu wa maadili wakat anaua haki za raia atamshaur nani? Had leo wanachama kimoja. Hakuna democracy kule na raia washaanza kuwaka wamechoka huo ujamaa wakat xi jimping kajiwekea pesa nje kupitia ndugu zake
Ndio maana nimezungumzia suala la impact ya mtu au taifa duniani. Hao wazungu ambao wanasema kuwa China inaziponda haki za binadamu, katika miaka ya karibuni wamekuwa wakijifunza kichina kwa nguvu zao zote!, huo ni unafiki mwingine wa dunia ya magharibi. Hao hao wanaosemwa kwa sababu ya chama chao kimoja cha siasa ndio ambao ujasusi wa kisiasa na kiuchumi wa nchi za magharibi umekuwa ukiwalenga.
 
Dhambi ni dhambi tu, iwe imetendwa na shekhe au paroko wa kanisa katoliki. Umeshawahi kuwasikia wachina na wajapan wakijifanya kuwa ndio baba zetu wa maadili mema?.

Ndo mana mwanzo nkakuambia unataka kuhalalisha maovu kisa cameroon kafanya? Pia nkakuambia ni chansi kwa taifa letu kujitegemea labda ujipoze machungu kupitia cameroon.
 
Kwa akili zako za kiafrika huwezi .ila wenzio wenye akili za kizungu wanaweza.

Hongera mwafrika mwenye akili za kizungu haya majivuno ktk post mwenzio kasema anayo mwingireza kumbe hata mtanzania upo hatari sna unahukumu nn wakat mwafrika mwenyewe anamajivuno kibaya zaid unajivua uafrika.
 
Huwajuia waingereza na majivuno yao ndio maana una maoni ya aina hii. Waingereza ni watu ambao kwa fikra zao binadamu wa kwanza ni muingereza halafu wanafuata watu wa mataifa mengine. Kashfa ya baba yake Cameron inatosha kabisa kumnyima usingizi yeye kama kioo cha jamii ya kiingereza, inatosha kabisa kuwapa uhalali waingereza kumuuliza maswali Cameron kila atakapokwenda kufanya shughuli za kijamii na kisiasa.

..Hilo la kuhoji maadili ya viongozi ni vizuri wa-Tz tukawaiga Waingereza.
 
Hongera mwafrika mwenye akili za kizungu haya majivuno ktk post mwenzio kasema anayo mwingireza kumbe hata mtanzania upo hatari sna unahukumu nn wakat mwafrika mwenyewe anamajivuno kibaya zaid unajivua uafrika.
Teh teh kwani mi nimesema nina akili za kizungu mkuu? Wanaosema kuwa wanataka kumsulubu David Cameron Jr ni wazungu siyo mimi ndo maana nikasema kwa akili zetu za kiafrika hatuwezi ila wao ( wazungu) wanaweza. Mimi nawewe tupo kundi moja mkuu.
 
wazungu wezi sana, Afadhali WAHINDI(INDIANS & ARABS) hao ndo wapo vizuri na ndo wanaotusaidia hata kwenye budget yetu, kweli mtoa mada una akili.
 
mbona ccm mlimkata makongoro pamoja na mema yote ya babaake kwa nchi hii?
 
Hayo ya kina Jecha na Shein yameanzia huko huko kwa kina Israel ambao madhambi yao hayaungumziwi na Marekani kwa sababu zaidi ya robo tatu ya vichwa vinavyoipaisha nchi yao ni wayahudi. Kwa kifupi ni kwamba ukiwa na impact kwenye hii dunia hata yale makosa yako hakuna atayefungua mdomo wake na kuanza kuyaongea.
Israel wamefanya nini?
 
Israel wamefanya nini?
Ukisikia kauwawa muisrael mmoja ujue kesho kifo kinawasubiri wapalestina wanne au zaidi. Lakini kwa sababu ndani ya bunge la Marekani, pentagon, hollywood na kwenye sekta nyingine nyeti za USA wamejaa wayahudi, wala huwezi kusikia wanawekewa masharti ya manyanyaso, wala kusimangwa na kina Cameron na mabeberu wengine.
 
..Hilo la kuhoji maadili ya viongozi ni vizuri wa-Tz tukawaiga Waingereza.
Lianzie vilevile kwa wanaongoza nchi. Tumbua kwanza majipuyo ili upate uhalali na heshima ya kutumbua ya wengingine
 
Back
Top Bottom