Panaitwaje hapa?

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
159
Taja jina la maporomoko haya ya maji.
 

Attachments

  • FALLS.jpeg
    FALLS.jpeg
    52.6 KB · Views: 120
Hapo ni Kalambo Falls, Kalambo Falls ni maporomoko ambayo yapo kule kwetu Rukwa.Kusema ukweli ni kwa kuwa mkoa upo nyuma kimaendeleo otherwise hii sehemu ni nzuri kwa utangazaji wa kitalii.Watu wa Rukwa tumekosa watu makini wa kutangaza mkoa wetu kiutalii tuna kila kitu kabisa na inaniuma sana maana hata hiyo mbuga ya katavi yenyewe haijatangazwa vizuri maana ina almost kila mnyama anaepatikana kwenye mbuga zingine hapa Tanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom