Just check with Davis and Shirtliff opposite Kamata.. au pale oppossite Continental Hotel na pia pale Merry Water maeneo ya Victoria..Wish u all the best in yr project
hawa jamaa wa davis and shirtliff wazuri na pump zao ni kwality ila BEI IKO JUU SANA tarajia invoice ya 6 to 9 million
wanandugu, hongera sana kwa kufika mwaka 2011 salama salimini!!,.
katika mwaka 2011 nataka kujikita katika kilimo.. lakini nataka nitumie kila njia niweze kufanikiwa. mojawapo ya njia ni kufanya kilimo cha umwagiliaji...Bahati nzuri nina sehemu iliyo katika mto kwa hiyo maji ni 100% mwaka mzima.. nina eneo ambalo ni takribani ekari 10. sasa wanandugu naomba mwenye details aniambie njia/technique gani nzuri za kutengeneza ka-mfumo ka umwagiliaji.. na je pampu ya umwagiliaji naweza kuipata wapi na kwa gharama gani.
nitashukuru sana!!
Just check with Davis and Shirtliff opposite Kamata.. au pale oppossite Continental Hotel na pia pale Merry Water maeneo ya Victoria..Wish u all the best in yr project
Ukulima ni sekta ambayo kama itatiliwa maanani basi itainua uchumi wa Mtanzania wa kawaida na wa nchi kwa ujumla. Tatizo linatakiwa ni uwezeshwaji kwa wakulima ili kuweza kuzalisha mazao yenye ubora na mengi. Hao D&S pamoja na marry water ndio suluhisho la pump za umwagiliaji sina ubishi na hilo. Ila hawa jamaa bei zao kwakweli ni kubwa kwa shamba la hekari 10 mimi namshauri atumie pump za kawaida zinazotumia mafuta au kama ana pesa aende suma JKT wana pump ya trailer ina hp 20 ina cost 5 mil. Utahitajika kutengeneza towers kwa ajili ya kupandisha maji kwenye matank kisha utatandaza mabomba ya plastic (networking) kwa ajili ya kumwagilia. Ukihitaji ushauri na michoro andaa consultation fees nikupe vitu vya uhakika.
No free lunch in this world.
Jaribu ku-pm kwa Kasopa, aliniambia habari nzuri za pump, mojawapo ikiwa cheap sana. na mimi nitamtafuta ili nikimpata na akinipa majibu safi nitaweka hapa jamvini.