Pamoja na yote kaka zangu

Wachache sana siku hizi ambao akiona unaweza kumsaidia akaendelea kujisaidia na yeye

Wapo mpenzi omba tu mungu akuletee umtakae na utaja niambia cku moja ila kumbuka mungu anatenda kwa wakati wake jitahidi tu kuomba na uckate tamaa halafu sahau cku atakayokuletea utashangaa
 
Ninaye tayari mwaya! LAkini mmmmhhhh siri yangu
 
Kaka zangu pamoja na yote tunayozungumza humu wadada kwamba hatupendi mariooo, mara kibamia hitimisho ni kwamba mdada akikupenda kwa dhati hayo yote huwa hayajali kabisa kama huna pesa utapewa na kama una kibamia (ila kinachosimama) atakwambia tu nifanye hv na vile tukae staili hii ili mradi anajua hapa ndio atafika na taratibu mbaba utazoea na mtakuta mnaridhishana kikubwa mdada akupende na wewe ujiamini

watu pipooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo................................atlast wamelonga wenyeweee, et ooh! anakibamia, mnakosoa uumbaji wa Subhana bure kumbe ni matatizo ya nafsi zenu
 
Kaka zangu pamoja na yote tunayozungumza humu wadada kwamba hatupendi mariooo, mara kibamia hitimisho ni kwamba mdada akikupenda kwa dhati hayo yote huwa hayajali kabisa kama huna pesa utapewa na kama una kibamia (ila kinachosimama) atakwambia tu nifanye hv na vile tukae staili hii ili mradi anajua hapa ndio atafika na taratibu mbaba utazoea na mtakuta mnaridhishana kikubwa mdada akupende na wewe ujiamini

Maty mwanangu, kibamia ulikuwa unamaanisha nini? Kama hizi tunazolima huku Bunju?:smile-big::smile-big::smile-big:
 
[/B]

Na hawa ndio ninaozungumzia mimi ambae anapendeka kinachotakiwa mdada ujifunze kumtambua anaekupenda kwa dhati mbona muongo huwa anaonekana tu unatega mitego yako na anakamatika tu ukishamkamata unafukuza tu[/QUOTE]

lakini hawa watu ni mzigo kama unaweza kujitahidi uckumbane na hii sample bac utarahisisha maisha kidogo, mana akishakuingia kumoyo, ukichanganya na gharama unazo muhudumia, hawiishi usumbufu hawa mara credoo, mara cjui gari imeisha wese, mara cjui hela ya mfukoni akanywe moja na ma frnd, uwiiii ukichanganya yote akishakuingia kumoyo kumtoa maradhi.
 
Ni kweli kabisa nyamayao akishaingia kumoyo kumtoa maradhi ila inawatokea wale watoto wanaoanza kujifunza kupenda (Mwenyez mungu awanusuru) ukutane na mi mtu mzima hasidi ka mimi nitakuangalia tu mara nataka bia nkanywe na friend nakupa, kesho wese limeisha nakupa, siku nyingine oo nimeishiwa lazima nikumwage unajua mtu anaekuchuna utamjua tu hasa ukiwa ushakomaaa kama mimi yeye hatoi kila cku anaomba tu lakini mstaarabu anaomba mara chache sana na au saa nyingine haombi kabsa unaona tu ishara kwamba du mtu wangu kaishiwa so unamwambia leo tutoke mnapitia sheli unalipia mafuta na mkifika mnakoenda unalipa bili maisha yanaendelea

Maty mwanangu, kibamia ulikuwa unamaanisha nini? Kama hizi tunazolima huku Bunju?:smile-big::smile-big::smile-big:

hahaha baba mi nilikuwa namaanisha kibamia ambacho bado hakijapikwa kile kibichi kilichotoka chumwa kinakuwa bado kigumu gumu ingawa kidogo
 
Ni kweli kabisa nyamayao akishaingia kumoyo kumtoa maradhi ila inawatokea wale watoto wanaoanza kujifunza kupenda (Mwenyez mungu awanusuru) ukutane na mi mtu mzima hasidi ka mimi nitakuangalia tu mara nataka bia nkanywe na friend nakupa, kesho wese limeisha nakupa, siku nyingine oo nimeishiwa lazima nikumwage unajua mtu anaekuchuna utamjua tu hasa ukiwa ushakomaaa kama mimi yeye hatoi kila cku anaomba tu lakini mstaarabu anaomba mara chache sana na au saa nyingine haombi kabsa unaona tu ishara kwamba du mtu wangu kaishiwa so unamwambia leo tutoke mnapitia sheli unalipia mafuta na mkifika mnakoenda unalipa bili maisha yanaendelea

Eeh Mungu, tusaidie na sisi tununue magari!
 
Unafanya hayo kwa upendo Maty kuwa umeona jamaa kaishiwa lakini baadae ndo hayo ya kujisifia eti anaona anakuchuna!
 
hahaha baba mi nilikuwa namaanisha kibamia ambacho bado hakijapikwa kile kibichi kilichotoka chumwa kinakuwa bado kigumu gumu ingawa kidogo

baba Asprin kama ulivyojiita, nadhani unakosea kumwita matty mwanao maana jinsi anavyojieleza ktk thread hii basi umri wake ni wa kuona mengi c machache aliyokutana nayo, na ndiomaana amekichambua kibamia vizuri hadi umeachwa tutani
 
hahaha Ferds achipirini ananisaa kabisa walah mi nna miaka kumi na nane tu na watoto watatu toka baba tafauti nitshindwaje kukachambua kabamia kwi kwi kwi
 
Unafanya hayo kwa upendo Maty kuwa umeona jamaa kaishiwa lakini baadae ndo hayo ya kujisifia eti anaona anakuchuna!

Ukiona anajisifia dena huyo hakupendi mpenzi mmwage tu utapata mwingine mama watu wanafiwa na wazazi wanasahau itakua huyo maisha ni mafupi sana ya nini kuendelea na huyo mkeraji na mmekutana wote mna meno thelathini na mbili
 
unajua Maty, dawa ya hii ni kusaidiana kwa kiac, hii habari mtoto wa mwenzio akugeuze mama yake mzazi ni hatari....kuhudumiana/saidiana kwa kiac.
 
hahahaaaaaaaa baba kwani ile toyo yako c inaingiaga sheli au
Tangu lile li STAUTI la urithi lilipokatika spring, sijawahi kuingia sheli.

hahaha Ferds achipirini ananisaa kabisa walah mi nna miaka kumi na nane tu na watoto watatu toka baba tafauti nitshindwaje kukachambua kabamia kwi kwi kwi
Thats name calling, you have been warned!
 
Nyamayao sasa kama hakusaidii utamfanyaje? Nipe ushauri

ni bora uwe na wakukusaidida japo kidogo kuliko ambae hasaidii kabisa, awe hata anajitambua jamani, sio kaishiwa credoo ana beep unapiga, plz swity nimeishiwa credoo, unatuma, mara cjui ana hamu ya kinywaji umeshamtumia credoo lakini ana beep tena ukical anakuambia ana kiu...huo ni msalaba...awe na kamsaada kwa namna moja au nyingine, vinginevyo labda muwe na makubalaino yeye wa nyumbani wewe ukatafute pesa, sio utoke job mbio ukapike wakati yeye katundika miguu juu ya freezer anakunywa wine,ukirudi home shughuli zote zimekamilika na yeye ndio kazikamilisha, asiwe mariooo 100% jamani.
 
Ukiona anajisifia dena huyo hakupendi mpenzi mmwage tu utapata mwingine mama watu wanafiwa na wazazi wanasahau itakua huyo maisha ni mafupi sana ya nini kuendelea na huyo mkeraji na mmekutana wote mna meno thelathini na mbili

Jamani katka watu nawaogopa humu jamvini hawa wanaongoza maana wanavyowachana kina me cjui waliwafanya nini

1- Rose 1980
2- Matty
3- Mama Big-- hapa ni mwisho mwisho kabisa
4 Preta- havumi lakini yumo.
 
nashukuru Maty umesema ukweli wanawake ni wavumilivu sana akikupenda kweli hata ufanye nini au unakasoro gani anauwezo wa kukuvumilia tu hayo yote kwao ni vitu vidogo sana mwanaume amuonyeshe kumjali tu na amuheshimu hata mambo ya kucheat naamini kabisa wanaume ndo waliogeuza mioyo yetu wengi hawatimizi wajibu wao kama wanaume
 
Back
Top Bottom