assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
kam huna kazi ni bora ukalaletaabu kubwa zanzibar ni kwa kuwa cdm hakina sera rasmi ya kuendekeza uislam kama ilivyo kwa ccm na cuf. Hivyo wazenj wameamua kukitosa!
Ukweli ndo huu cdm zanziba haikubaliki ila uchagani2
BAADA YA KUPATA WABUNGE ZAIDI KATIKA UCHAGUZI ULOPITA CHADEMA KIMEDHIHIRISHA YAFUATAYO
1. Kinapenda ubinafsi,kwani kiliamua kuunda kambi ya upinzani peke utadhani vyama vingine havipo
2. Kudharau hoja za vyama vingine vya upinzani na kuviita ni kama ccm
3. Kuamini kama wao pekeyao ndio wanokubalika kwa sasa hapa Tanzania
4. Hoja nzuri wao pekeyao ndio wajuzi mpinzani mwingine akitoa hoja hawaitlii manani
UKWELI NI HUU;
SERIKALI IJAYO BILA SHAKA SERIKALI ITAKUA YA COALTION YA VYAMA, KWANI CUF IKISHINDA ZANZIBA,NA CHADEMA IKISHINDA TANGANYIKA THEN SERIKALI YA COALITION HAIKWEPEKI SASA NI BORA KAMBI RASMI YA UPINZANI IKAACHA UBAGUZI WA KUWABAGUA WAPINZANI WENZIO ILI ISIJE KUWA SHIDA BAADAE KAM KUTATOKEA SUALA LA SERIKALI YA COALITION
Binafsi mwanzoni sikuona kwanini CDM hawakuunda kambi moja na vyama vingine vya upinzani.Lakini baada ya kushuhudia hoja za vyama kama CUF,TLP na NCCR-Mageuzi dhidi ya CDM na juzi kushuhudia video ya udini ya Lipumba msikitini ya kumuokoa mdini mwinzie,nawaomba CDM wasonge mbele.Hakuna kuungana na wanafiki wowote mpaka kieleweke!!!!BAADA YA KUPATA WABUNGE ZAIDI KATIKA UCHAGUZI ULOPITA CHADEMA KIMEDHIHIRISHA YAFUATAYO
1. Kinapenda ubinafsi,kwani kiliamua kuunda kambi ya upinzani peke utadhani vyama vingine havipo
2. Kudharau hoja za vyama vingine vya upinzani na kuviita ni kama ccm
3. Kuamini kama wao pekeyao ndio wanokubalika kwa sasa hapa Tanzania
4. Hoja nzuri wao pekeyao ndio wajuzi mpinzani mwingine akitoa hoja hawaitlii manani
UKWELI NI HUU;
SERIKALI IJAYO BILA SHAKA SERIKALI ITAKUA YA COALTION YA VYAMA, KWANI CUF IKISHINDA ZANZIBA,NA CHADEMA IKISHINDA TANGANYIKA THEN SERIKALI YA COALITION HAIKWEPEKI SASA NI BORA KAMBI RASMI YA UPINZANI IKAACHA UBAGUZI WA KUWABAGUA WAPINZANI WENZIO ILI ISIJE KUWA SHIDA BAADAE KAM KUTATOKEA SUALA LA SERIKALI YA COALITION
uzi hujausoma unakurupuka2binafsi mwanzoni sikuona kwanini cdm hawakuunda kambi moja na vyama vingine vya upinzani.lakini baada ya kushuhudia hoja za vyama kama cuf,tlp na nccr-mageuzi dhidi ya cdm na juzi kushuhudia video ya udini ya lipumba msikitini ya kumuokoa mdini mwinzie,nawaomba cdm wasonge mbele.hakuna kuungana na wanafiki wowote mpaka kieleweke!!!!
mbn povu linakutokaulitakaje?? Cdm ishirikiane na waliberali japo wao wenyewe walikuwa hawajui hata uliberali ni nini hadi waliooshwa macho na brain zao na cdm. Kwani cuf walipokuwa juu waliunda kambi ya upinzani kwa kushikiana na vyama vingine, naona mnasumbuliwa na kung'ang'ania kuwa viongozi wa kambi ya upinzani bungeni.nyie mnakaa mnahangaika na cdm usiku na mchana, hamfikirii kanunu zinasemaje katika kuunda kambi ya upinzani bungeni. Cuf kama walishirikiana na vyama vingine ikiwamo cdm, ni wazi walilazimika kwa sababu pengine hawakufikia theluthi mbili ya wabunge. Jipangeni kwa hoja sio mnakuja kiusingizi hapa na tongo tongo machoni huku brain zenu zikiwa zimefunikwa na itikadi za kiliberali.
na kuiba wake za watu kp borauchizi na ulibearali ndo unakusumbua
mbn povu linakutoka
akili ndogo hufikr kidogokama umeungana na kukubaliana na ccm wewe utakuwa mpinzani wa nani/wapi?
Mliberali, osha brain na maji ya betri.
kumbe unaimba taarabuutajiju.
Umeona bora ujijibu mwenyewe?Ukweli ndo huu cdm zanziba haikubaliki ila uchagani2
uzi hujausoma unakurupuka2
kukosa mali ni bora kuliko kukosa akilihujui ulichokiandika!au unatest kama cuf bado inakubalika?kamwambie boc wako hv cuf imejichafua yenyewe na haisafishiki!!
lema.mbowe,mnyika,mdee,ndesmburo,selasini, etcumeona bora ujijibu mwenyewe?