Pamoja na yote CHADEMA ITAKUA NDOTO KUIONGOZA TANZANIA PEKE YAKE

Unakuwa na viongozi wezi wa wake za watu unadhani hawatakua wezi wa mali ya umma
 
BAADA YA KUPATA WABUNGE ZAIDI KATIKA UCHAGUZI ULOPITA CHADEMA KIMEDHIHIRISHA YAFUATAYO

1. Kinapenda ubinafsi,kwani kiliamua kuunda kambi ya upinzani peke utadhani vyama vingine havipo
2. Kudharau hoja za vyama vingine vya upinzani na kuviita ni kama ccm
3. Kuamini kama wao pekeyao ndio wanokubalika kwa sasa hapa Tanzania
4. Hoja nzuri wao pekeyao ndio wajuzi mpinzani mwingine akitoa hoja hawaitlii manani

UKWELI NI HUU;
SERIKALI IJAYO BILA SHAKA SERIKALI ITAKUA YA COALTION YA VYAMA, KWANI CUF IKISHINDA ZANZIBA,NA CHADEMA IKISHINDA TANGANYIKA THEN SERIKALI YA COALITION HAIKWEPEKI SASA NI BORA KAMBI RASMI YA UPINZANI IKAACHA UBAGUZI WA KUWABAGUA WAPINZANI WENZIO ILI ISIJE KUWA SHIDA BAADAE KAM KUTATOKEA SUALA LA SERIKALI YA COALITION

Ukweli ni jambo ambalo hupokelewa kwa kejeli...uzuri wake hubakia kuwa ukweli tu....na tabia ya ukweli hua unajisimamia wenyewe na haushindwi....!

1. Ni ukweli usiofichika kwa kujiunga na CUF bungeni ni sawa na kudhoofisha upinzani... wabunge takriban wote wa CUF wanatoka TZ Visiwani ambako CUF na CCM wana serikali ya mseto....wanawezaje bungeni wakawa wapinzani na hapo hapo serikali? Huu ni udhaifu....!

Ilidhihirika zaidi Wakati wabunge walipo mchagua Spika wa CCM dhidi ya Mabere Marando wa CHADEMA aliyekosa kura zote za CUF nk

2. Hoja hazidharauliwi hoja hupingwa... kwa hoja na wala hazina sifa za kuitwa "DHARAU" ... tafsiri yako ya kuita hoja dharau inaviashiria vya udhaifu wa uelewa wa siasa

3. Sijui ufikiri unaouleta hapa JF umetafitiwa na nani....manake unavigezo vya uchanga na ufinyu wa kitaaluma....kwa maneno yako "kuamini kuwa ni wao peke yao ndio wanaokubalika...," sioni mantiki hapa kama ilikua kweli M4C ni ya nini?

4. Zipo hoja kadhaa wa kadha CDM wanazishiriki na upinzani...kuna wakati Mh. Hamad Rashid hakuweza kufikisha mada yake bungeni kwa kuwa muda wake uliisha Mh. Wenje alifuata na kuimalizia hoja ile ki utimilifu, huu ni mfano mmoja tu! naweza kukupa elfu mingine

CHADEMA NI WANASIASA WANAOHESHIMU USHAURI WA KITAALUMA UNAOLINDA MASLAHI YA MTANZANIA KWANZA...HAKITAONA UCHURO KUSHIRIKIANA NA CHAMA CHOCHOTE KATIKA UJENZI WA TAIFA....TANZANIA YA LEO IMEJAWA NA VIONGOZI WA SERIKALI WANAO VUTANA NA SERA ZA MAENDELEO YA WATU KWA UPANDE MMOJA NA UTAJIRI WAO BUNAFSI UPANDE MWINGINE
 
Hata Baba wa taifa aliambiwa hayo hayo wewe siyo wa kwanza kuyatamka...... fedha ndio kila kitu hata Ghaddafi aliamini hivyo na wewe unalalia kwa wenye fedha ...!
 
Mleta mada unataka ufafanuliwe au ufundishwe maana ya Upinzani?
Kama hujui uliza utaelimishwa kama umetupiamo urojo ukakulegeza kalale ukizinduka kunywa maji mengi halafu kale chakula inayoshuka na damu akili itakaa sawa
 
Unakuwa na viongozi wezi wa wake za watu unadhani hawatakua wezi wa mali ya umma

Wapo wasioenda mahakama kisema ukweli wao wa ifuska kisa wanalindwa na dola wamejaa serikalini we unadhani kumtaja Dr. Slaa ndio suluhu ya kejeli yako tafuta utashangaa utakayo yaona
 
wanachama wa cdu huko ujerumani na kile cha kameroon ambapo mzee wetu slaa yuko huko saivi
Waliberali pekee Afrika Mashariki ni Civic United Front,,,, hao uliowataja ni wa CONSERVATIVE wakati nyie CUF ni wa LIBERAL a.k.a WALIBERALI kwa kiswahili. Kama Maalim Seif aliwadanganya Liberal sio waliberali kawaingiza chaka, nyie CUF ni wa_liberal na waliberali wote duniani mnaamini katika ndoa za jinsia moja, useng*, ufirauni pamoja na usagaji.
 
nani anamiliki na kuendesha danguro la bilicanas dsm ambalo ni kitovu cha ushoga na usagaji af mashariki? Ni mbo.w.e au?
 
nani anamiliki na kuendesha danguro la bilicanas dsm ambalo ni kitovu cha ushoga na usagaji af mashariki? Ni mbo.w.e au?

Kitovu cha ushoga na usagaji ni Mombasa, Zanzibar na Tanga.

Club Bilicanas ni sehemu ya watu kwenda kupata burudani na starehe wakimaliza wanarudi makwao hakuna hata Guest House pale. Akili za Kiliberali hizo kufikiri Club na danguro ni kitu kimoja. Huko Pemba naona uelewa uko chini sana
 
kwa kuwa ndio tabia zenu huwezi kujiona ila nyie na ushoga damu damu...kuna mbunge wenu ni msagaji
 
Unakuwa na viongozi wezi wa wake za watu unadhani hawatakua wezi wa mali ya umma

hayo kamueleze naibu katibu mkuu wako,ambaye kwa sasa ni mratibu namba moja wa kung'oa kucha na meno ya watu bila ganzi.
 
Back
Top Bottom