Pamoja na yote CHADEMA ITAKUA NDOTO KUIONGOZA TANZANIA PEKE YAKE

Ukweli ndo huu cdm zanziba haikubaliki ila uchagani2
Mkuu serikali ya Tanganyika inakuja. Chadema tunaihitaji Tanganyika. Zanzibar haikubaliki na sisi Watanganyika kwa hiyo na ibaki kuwa na CCM na CUF

Bakieni na coalition ya Wamaliberali.
 
BAADA YA KUPATA WABUNGE ZAIDI KATIKA UCHAGUZI ULOPITA CHADEMA KIMEDHIHIRISHA YAFUATAYO

1. Kinapenda ubinafsi,kwani kiliamua kuunda kambi ya upinzani peke utadhani vyama vingine havipo
2. Kudharau hoja za vyama vingine vya upinzani na kuviita ni kama ccm
3. Kuamini kama wao pekeyao ndio wanokubalika kwa sasa hapa Tanzania
4. Hoja nzuri wao pekeyao ndio wajuzi mpinzani mwingine akitoa hoja hawaitlii manani

UKWELI NI HUU;
SERIKALI IJAYO BILA SHAKA SERIKALI ITAKUA YA COALTION YA VYAMA, KWANI CUF IKISHINDA ZANZIBA,NA CHADEMA IKISHINDA TANGANYIKA THEN SERIKALI YA COALITION HAIKWEPEKI SASA NI BORA KAMBI RASMI YA UPINZANI IKAACHA UBAGUZI WA KUWABAGUA WAPINZANI WENZIO ILI ISIJE KUWA SHIDA BAADAE KAM KUTATOKEA SUALA LA SERIKALI YA COALITION
Kudadeki LUMUMBA project mnajitahidi sana, kupost wewe umejiunga juzi tu et tayari ni JF Senior Expert Member, hivi nyie huwa hamna kazi nyingine za kufanya au hiyo ndo ajira yenu ya buku saba saba?
 
Kudadeki LUMUMBA project mnajitahidi sana, kupost wewe umejiunga juzi tu et tayari ni JF Senior Expert Member, hivi nyie huwa hamna kazi nyingine za kufanya au hiyo ndo ajira yenu ya buku saba saba?
acha matusi mkuu kwani umezuiwa kupost mbona hapa umeharisha utumbo wako umezuiwa
 
Taabu kubwa Zanzibar ni kwa kuwa CDM hakina sera rasmi ya kuendekeza Uislam kama ilivyo kwa CCM na CUF. Hivyo Wazenj wameamua kukitosa!

Maneno yako ni kweli kabisa.kwa vile cdm sera zake hazikuendekeza uislamu zanzibar ndo maana kimetoswa.na kimekubalika uchagani zaid kwasababu kinaendekeza sera za ukiristo.
 
Wewe mwenye kazi mbona unatuletea pumba,wewe kakojoe ukalale huna mpya umejiunga haraka haraka kuja kutuletea ujinga,CHADEMA inakukosesha usingizi
 
Siku kichaa akijitambua basi tutakuwa na amani maana huyu jamaa hajijui hajitambui tatizo huwa hamalizi dose ndio maana yuko hivyo.Ukiangalia uandishi wake ni uleule wa kujijibu kwanza na 75% ni yeye mwenyewe hapo ni njia rahisi ya kumgundua mgonjwa (wetu) na wachingiaji wengi ambao ni yeye level ya maandishi ni yaleyale,namtafuta dr ambadilishie dawa.Mgonjwa kajijuwa na watoa tablets wanamjua pole sana.
 
Back
Top Bottom