Pamoja na yote CHADEMA ITAKUA NDOTO KUIONGOZA TANZANIA PEKE YAKE

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
BAADA YA KUPATA WABUNGE ZAIDI KATIKA UCHAGUZI ULOPITA CHADEMA KIMEDHIHIRISHA YAFUATAYO

1. Kinapenda ubinafsi,kwani kiliamua kuunda kambi ya upinzani peke utadhani vyama vingine havipo
2. Kudharau hoja za vyama vingine vya upinzani na kuviita ni kama ccm
3. Kuamini kama wao pekeyao ndio wanokubalika kwa sasa hapa Tanzania
4. Hoja nzuri wao pekeyao ndio wajuzi mpinzani mwingine akitoa hoja hawaitlii manani

UKWELI NI HUU;
SERIKALI IJAYO BILA SHAKA SERIKALI ITAKUA YA COALTION YA VYAMA, KWANI CUF IKISHINDA ZANZIBA,NA CHADEMA IKISHINDA TANGANYIKA THEN SERIKALI YA COALITION HAIKWEPEKI SASA NI BORA KAMBI RASMI YA UPINZANI IKAACHA UBAGUZI WA KUWABAGUA WAPINZANI WENZIO ILI ISIJE KUWA SHIDA BAADAE KAM KUTATOKEA SUALA LA SERIKALI YA COALITION
 
Taabu kubwa Zanzibar ni kwa kuwa CDM hakina sera rasmi ya kuendekeza Uislam kama ilivyo kwa CCM na CUF. Hivyo Wazenj wameamua kukitosa!
 
Poa tu kwanza wa Znz wanataka mamlaka kamili hivyo tutakutana kwenye mambo yahusuyo Muungano tu basi.
 
BAADA YA KUPATA WABUNGE ZAIDI KATIKA UCHAGUZI ULOPITA CHADEMA KIMEDHIHIRISHA YAFUATAYO

1. Kinapenda ubinafsi,kwani kiliamua kuunda kambi ya upinzani peke utadhani vyama vingine havipo
2. Kudharau hoja za vyama vingine vya upinzani na kuviita ni kama ccm
3. Kuamini kama wao pekeyao ndio wanokubalika kwa sasa hapa Tanzania
4. Hoja nzuri wao pekeyao ndio wajuzi mpinzani mwingine akitoa hoja hawaitlii manani

UKWELI NI HUU;
SERIKALI IJAYO BILA SHAKA SERIKALI ITAKUA YA COALTION YA VYAMA, KWANI CUF IKISHINDA ZANZIBA,NA CHADEMA IKISHINDA TANGANYIKA THEN SERIKALI YA COALITION HAIKWEPEKI SASA NI BORA KAMBI RASMI YA UPINZANI IKAACHA UBAGUZI WA KUWABAGUA WAPINZANI WENZIO ILI ISIJE KUWA SHIDA BAADAE KAM KUTATOKEA SUALA LA SERIKALI YA COALITION

Ulitakaje?? CDM ishirikiane na waliberali japo wao wenyewe walikuwa hawajui hata uliberali ni nini hadi waliooshwa macho na brain zao na CDM. Kwani CUF walipokuwa Juu waliunda kambi ya Upinzani kwa kushikiana na vyama vingine, Naona mnasumbuliwa na kung'ang'ania kuwa viongozi wa kambi ya upinzani Bungeni.Nyie mnakaa mnahangaika na CDM usiku na Mchana, hamfikirii kanunu zinasemaje katika kuunda kambi ya upinzani Bungeni. CUF kama walishirikiana na vyama vingine ikiwamo CDM, ni wazi walilazimika kwa sababu pengine hawakufikia Theluthi mbili ya wabunge. Jipangeni kwa hoja sio mnakuja kiusingizi hapa na tongo tongo machoni huku Brain zenu zikiwa zimefunikwa na itikadi za kiliberali.
 
BAADA YA KUPATA WABUNGE ZAIDI KATIKA UCHAGUZI ULOPITA CHADEMA KIMEDHIHIRISHA YAFUATAYO

1. Kinapenda ubinafsi,kwani kiliamua kuunda kambi ya upinzani peke utadhani vyama vingine havipo
2. Kudharau hoja za vyama vingine vya upinzani na kuviita ni kama ccm
3. Kuamini kama wao pekeyao ndio wanokubalika kwa sasa hapa Tanzania
4. Hoja nzuri wao pekeyao ndio wajuzi mpinzani mwingine akitoa hoja hawaitlii manani

UKWELI NI HUU;
SERIKALI IJAYO BILA SHAKA SERIKALI ITAKUA YA COALTION YA VYAMA, KWANI CUF IKISHINDA ZANZIBA,NA CHADEMA IKISHINDA TANGANYIKA THEN SERIKALI YA COALITION HAIKWEPEKI SASA NI BORA KAMBI RASMI YA UPINZANI IKAACHA UBAGUZI WA KUWABAGUA WAPINZANI WENZIO ILI ISIJE KUWA SHIDA BAADAE KAM KUTATOKEA SUALA LA SERIKALI YA COALITION
Binafsi mwanzoni sikuona kwanini CDM hawakuunda kambi moja na vyama vingine vya upinzani.Lakini baada ya kushuhudia hoja za vyama kama CUF,TLP na NCCR-Mageuzi dhidi ya CDM na juzi kushuhudia video ya udini ya Lipumba msikitini ya kumuokoa mdini mwinzie,nawaomba CDM wasonge mbele.Hakuna kuungana na wanafiki wowote mpaka kieleweke!!!!
 
binafsi mwanzoni sikuona kwanini cdm hawakuunda kambi moja na vyama vingine vya upinzani.lakini baada ya kushuhudia hoja za vyama kama cuf,tlp na nccr-mageuzi dhidi ya cdm na juzi kushuhudia video ya udini ya lipumba msikitini ya kumuokoa mdini mwinzie,nawaomba cdm wasonge mbele.hakuna kuungana na wanafiki wowote mpaka kieleweke!!!!
uzi hujausoma unakurupuka2
 
ulitakaje?? Cdm ishirikiane na waliberali japo wao wenyewe walikuwa hawajui hata uliberali ni nini hadi waliooshwa macho na brain zao na cdm. Kwani cuf walipokuwa juu waliunda kambi ya upinzani kwa kushikiana na vyama vingine, naona mnasumbuliwa na kung'ang'ania kuwa viongozi wa kambi ya upinzani bungeni.nyie mnakaa mnahangaika na cdm usiku na mchana, hamfikirii kanunu zinasemaje katika kuunda kambi ya upinzani bungeni. Cuf kama walishirikiana na vyama vingine ikiwamo cdm, ni wazi walilazimika kwa sababu pengine hawakufikia theluthi mbili ya wabunge. Jipangeni kwa hoja sio mnakuja kiusingizi hapa na tongo tongo machoni huku brain zenu zikiwa zimefunikwa na itikadi za kiliberali.
mbn povu linakutoka
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom