Pamoja na Upuuzi wa Khamenei Lakin baada ya vita ya Kagera alitukopesha mataifa yote yakiwa yametutenga! Ila bado alikuwa mwema kipindi hicho

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
17,177
Reaction score
41,623
Israel na Iran si Maadui Bali Tatizo viongozi
Tena Israeli halisi inapaswa kuwashukuru na kuwaenzi Wairani. Maana zamani hizo za wakati wayahudi wanatawaliwa na babeli (Iraq), mfalme wa Persia/Iran kwa Jina la Cyrus alivamia na kuwatwanga wababeli/Iraq na kuwashinda. Wakati huo Babeli ilikuwa inawatawala Israeli na kuwatumikisha kama watumwa wao. Baada ya Mfalme wa Persia/Iran bwana Cyrus kuwaponda Babeli, aliwaachia huru wayahudi na kuwaruhusu kujenga tempo zao na kuendelea na Maisha yao bila bughudha.

Fikiria Persia walikuwa na Imani zao, ila wakawaruhusu Wayahudi kujenda tempo zao na waendelee na tamaduni zao.

Ni kiasi gani muirani alivyokomaa kwa uvumilivu. Ndio maana hata sisi Tanzania tulipomaliza vita na Kagera, hakuna taifa lilikuwa tayari kutusaidia. Mafuta yalikuwa hatuna hata magar ya serikali yalitembea mwisho mchana ili kubana bajet. Pesa hatuna na mafuta hatuna

Wakat huo Mzee Sabodo amwambia Nyerere amtume Iran kwa Mshia mwenzie bwana Ayatollah Ali Khamenei. Akaenda kumuomba Huyo kiongoz wa Iran aisaidie Tanzania maana ina hali ngumu na kwamba kiongoz wa Tanzania ni mtu mzuri anayeheshimu Imani na hata waislamu wa kishia nchini wanaishi kwa amani.

Ayatollah Ali Khamenei akakubali, akaipa Tanzania mafuta yenye thamani ya Dola za kimarekani 80,000 kwa mkopo usio na riba kwa miaka 4.

Hakika watanzania tunapaswa kumlilia Ayatollah Ali Khamenei Yule wa 1970 siyo wa 2020 maana Alisha kuwa mlevi wa madaraka Kama mseven

Hivyo wayahudi wanatakiwa wajue kuwa h uwezo wa kuipiga Irani wanao. Ila wakumbuke walau historia.

Irani ina watu zaidi ya 90 milion na eneo la zaidi ya 600,000sqkm wakt Israeli ina watu 12milion with an area of 22,000sqkm yaani kama mkoa wa Rukwa

Hivo Walipo kamilisha kuwawajibisha akina Khamenei aliyekengeuka wanapaswa kuhakikisha wanaendelea na mahusiano mema

Britanicca
 
Wayahudi uwezo wa kuwapiga Iran hawana acha kuongopea watu ,kama Israel wangekuwa na uwezo huo wasinge kwenda kumshinikiza trump ili awape backup katika vita , wangesimama wao kama wao na kupambana na Iran ,

Tukiachana na Hilo wote Kwa pamoja tumeshuhudia Israel wakipokea kichapo kikali kutoka Kwa Iran licha ya kuwa wanapewa backup na USA

Vita inayo endelea baina ya Nchi hizo mpaka dakika hii Haina mshindi ni piga ni kupige Iran wana athirika Kwa upande wao the same Kwa Israel na USA
 
Mwongo wewe!
Kiongozi wa Iran alikuwa ni Imam Khomein.
 
Wayahudi uwezo wa kuwapiga Iran hawana acha kuongopea watu ,kama Israel wangekuwa na uwezo huo wasinge kwenda kumshinikiza trump ili awape backup katika vita , wangesimama wao kama wao na kupambana na Iran ,

Tukiachana na Hilo wote Kwa pamoja tumeshuhudia Israel wakipokea kichapo kikali kutoka Kwa Iran licha ya kuwa wanapewa backup na USA

Vita inayo endelea baina ya Nchi hizo mpaka dakika hii Haina mshindi ni piga ni kupige Iran wana athirika Kwa upande wao the same Kwa Israel na USA
Kuna watu na PhD zao wamekuwa brainwashed kuwa Israel ndio kila kitu. Hii vita kama ingekuwa Israel na Iran pekee sjui kama hadi muda huu tungekuwa na hata na panya huko Israeli. Chondechonde waisrael wa Goba hebu acheni ujinga wa kuipa sifa Israel isizo nazo.
 
Keshazoea kuongopea watu huyo
 
sababu ni kwamba islamic republic of iran ni communist regime, ni islam and communism (hakuna tofauti kati ya hivyo viwili ), ndiyo maana utaona black people wana sympathize na islamic repressive regime kwa maana black people wanamilikiwa na communists, black people wanahuruma zaidi na islamic republic of iran klk hata arabs wa gulf region na sababu kuu ndiyo hiyo, communism.
lkn wengi (black people) wanachosahau ni kwamba haiitwi islamic republic withourt a reason, ni islamic state for islam course na lengo lake ni kubomoa Christianity na kuestablish caliphate, hivyo kama wanakufwata unaweza mwanzoni usijue lengo na nia yao kwako ukaona tu wanataka kukusaidia lkn wamebeba ajenda nyuma for islam ...
 
Khamenei amekengeuka kivipi? Mimi kwa ufahamu wangu Irani imevamiwa na inafanyiwa uadui kwasababu tu Taifa hilo limekataa kuwa submissive kwa Israel na Marekani. Je huko ndiko kukengeuka?
Waandamanaji zaidi ya 3000 waliuawa hii kosa halina msamaha.karma
 
Wakat huo Mzee Sabodo amwambia Nyerere amtume Iran kwa Mshia mwenzie bwana Ayatollah Ali Khamenei. Akaenda kumuomba Huyo kiongoz wa Iran aisaidie Tanzania maana ina hali ngumu na kwamba kiongoz wa Tanzania ni mtu mzuri anayeheshimu Imani na hata waislamu wa kishia nchini wanaishi kwa amani.

Ayatollah Ali Khamenei akakubali, akaipa Tanzania mafuta yenye thamani ya Dola za kimarekani 80,000 kwa mkopo usio na riba kwa miaka 4.

Hakika watanzania tunapaswa kumlilia Ayatollah Ali Khamenei Yule wa 1970 siyo wa 2020 maana Alisha kuwa mlevi wa madaraka Kama mseven

Britanicca
Asante kwa taarifa hii, ila yule hakuwa Ayatollah Ali Khamenei, alikuwa ni Ayatollah Ruhollah Khomeini aliyempindua mfalme wa Iran aliyeitwa Shah, Mohammad Reza Pahlavi.
P
 
Ni kiasi gani muirani alivyokomaa kwa uvumilivu. Ndio maana hata sisi Tanzania tulipomaliza vita na Kagera, hakuna taifa lilikuwa tayari kutusaidia. Mafuta yalikuwa hatuna hata magar ya serikali yalitembea mwisho mchana ili kubana bajet. Pesa hatuna na mafuta hatuna
Kwa rekodi, vita ya Kagera ilikuwa 1978-1979
Wakat huo Mzee Sabodo amwambia Nyerere amtume Iran kwa Mshia mwenzie bwana Ayatollah Ali Khamenei.
Mapinduzi ya Kiislam ya Iran yalikuwa 1978, kiongozi wake akiwa Iman Ayatollah Rouholah Khomein.
Ali Khamenei alikuwa kiongozi wa kundi lililowateka Wamarekani hakuwa na wadhifa unaousema
Akaenda kumuomba Huyo kiongoz wa Iran aisaidie Tanzania maana ina hali ngumu na kwamba kiongoz wa Tanzania ni mtu mzuri anayeheshimu Imani na hata waislamu wa kishia nchini wanaishi kwa amani.
Iman Khomein ! si Khamenei
Ayatollah Ali Khamenei akakubali, akaipa Tanzania mafuta yenye thamani ya Dola za kimarekani 80,000 kwa mkopo usio na riba kwa miaka 4.
Khamenei hakuwa kiongozi, aliyekuwa kiongozi ni Khomein
Hakika watanzania tunapaswa kumlilia Ayatollah Ali Khamenei Yule wa 1970 siyo wa 2020 maana Alisha kuwa mlevi wa madaraka Kama mseven
Tatizo la Khamenei wa 2020 ni lipi?
Hivyo wayahudi wanatakiwa wajue kuwa h uwezo wa kuipiga Irani wanao. Ila wakumbuke walau historia.
Wayahudi hawana uwezo hadi sasa. Tel Aviv na Gaza zinashindana kwa 'uzuri''
Iran inapigana na Nchi za Mgharibi, USA , UK, France, Australia, Netherland na Nchi zote za Kiarabu.

Israel inapambana na Hezebollah na Hamas, hii vita hawamo. Iran amedhihirisha ubabe usio na shaka
Vita ikiendelea wiki kadhaa Israel itapotea!

Top miltary brass ya Israel imeuawa! huwezi kusikia kwasababu Israel imepiga mkwara nchi za magharibi zenye TV na Magazeti zisiandike. Trump anataka maridhiano na Iran na leo amesema Witkoff na FM wa Iran wana mawasiliano, Iran imesema hakuna kitu hicho. Trump anamtumia Maloni wa Italy kumaliza vita

Ukitaka kujua superpower wa middle east ni Iran, jana kachapa nchi 15 . Zile za Uarabuni na za ''ulaya'' kupitia uwanja wa ndege ambapo ndege za Ujerumani, UK n.k. zimeharibiwa.
Iran imefunga Strait of Hormuz na inachaji pesa kwa mataifa yaliyoruhusiwa kwa Yuan.

Israel haina iron dome, arrow, THAAD au Patriot. Iran inapiga inapotaka. Narudia tena Israel haimo katika nchi zinazopigana na Iran , inatajwa tu kwa fahari.

Britanicca
 
Khamenei amekengeuka kivipi? Mimi kwa ufahamu wangu Irani imevamiwa na inafanyiwa uadui kwasababu tu Taifa hilo limekataa kuwa submissive kwa Israel na Marekani. Je huko ndiko kukengeuka?
Mkuu...Mleta mada nae mpuuzi tu huyo Hana akili yakuchanganua mambo bila kutumia propaganda za Marekani na Israel... Hapo hapo anakiri tulisaidiwa... Sasa Mmarekani au mzungu halisi wa western country angekupa msaada na riba juu, umpe baadhi rasilimali na baadhi masharti ya Uchoko
 
Wayahudi uwezo wa kuwapiga Iran hawana acha kuongopea watu ,kama Israel wangekuwa na uwezo huo wasinge kwenda kumshinikiza trump ili awape backup katika vita , wangesimama wao kama wao na kupambana na Iran ,
1
Tukiachana na Hilo wote Kwa pamoja tumeshuhudia Israel wakipokea kichapo kikali kutoka Kwa Iran licha ya kuwa wanapewa backup na USA

Vita inayo endelea baina ya Nchi hizo mpaka dakika hii Haina mshindi ni piga ni kupige Iran wana athirika Kwa upande wao the same Kwa Israel na USA
Israel is a clear winner in this war mkuu. Unaweza pinga vita bila kujitoa ufahamu Mkuu.
 
lengo lake ni kubomoa Christianity na kuestablish caliphate
Unajua kama Ottoman Empire imetawala Middle East mpaka east Europe kwa miaka zaidi ya 1,000. Na waliwaachia watu waabudu wanacho amini kuabudu, Mfano pale Jerusalem jamii ya waislam,wakristo na wayahudi. Wote wanafanya ibada sehemu karibu na nyumba zao za ibada.

Angalia Syria ilivyo kuwa na sasa ilivyo kwa kutumia propaganda za kuwa tenganisha.
Iran ina vikwazo vya kiuchumi sasa Serikali ipi duniani itakuwa na maendeleo kwa wananchi wake ikiwa na vikwazo vya kiuchumi?.
 
Israel na Iran si Maadui Bali Tatizo viongozi
Tena Israeli halisi inapaswa kuwashukuru na kuwaenzi Wairani. Maana zamani hizo za wakati wayahudi wanatawaliwa na babeli (Iraq), mfalme wa Persia/Iran kwa Jina la Cyrus alivamia na kuwatwanga wababeli/Iraq na kuwashinda. Wakati huo Babeli ilikuwa inawatawala Israeli na kuwatumikisha kama watumwa wao. Baada ya Mfalme wa Persia/Iran bwana Cyrus kuwaponda Babeli, aliwaachia huru wayahudi na kuwaruhusu kujenga tempo zao na kuendelea na Maisha yao bila bughudha.

Fikiria Persia walikuwa na Imani zao, ila wakawaruhusu Wayahudi kujenda tempo zao na waendelee na tamaduni zao.

Ni kiasi gani muirani alivyokomaa kwa uvumilivu. Ndio maana hata sisi Tanzania tulipomaliza vita na Kagera, hakuna taifa lilikuwa tayari kutusaidia. Mafuta yalikuwa hatuna hata magar ya serikali yalitembea mwisho mchana ili kubana bajet. Pesa hatuna na mafuta hatuna

Wakat huo Mzee Sabodo amwambia Nyerere amtume Iran kwa Mshia mwenzie bwana Ayatollah Ali Khamenei. Akaenda kumuomba Huyo kiongoz wa Iran aisaidie Tanzania maana ina hali ngumu na kwamba kiongoz wa Tanzania ni mtu mzuri anayeheshimu Imani na hata waislamu wa kishia nchini wanaishi kwa amani.

Ayatollah Ali Khamenei akakubali, akaipa Tanzania mafuta yenye thamani ya Dola za kimarekani 80,000 kwa mkopo usio na riba kwa miaka 4.

Hakika watanzania tunapaswa kumlilia Ayatollah Ali Khamenei Yule wa 1970 siyo wa 2020 maana Alisha kuwa mlevi wa madaraka Kama mseven

Hivyo wayahudi wanatakiwa wajue kuwa h uwezo wa kuipiga Irani wanao. Ila wakumbuke walau historia.

Irani ina watu zaidi ya 90 milion na eneo la zaidi ya 600,000sqkm wakt Israeli ina watu 12milion with an area of 22,000sqkm yaani kama mkoa wa Rukwa

Hivo Walipo kamilisha kuwawajibisha akina Khamenei aliyekengeuka wanapaswa kuhakikisha wanaendelea na mahusiano mema

Britanicca
Ayatollah wa 1979 siyo huyu aliyeamka akajikuta yupo chini ya kifusi juzi juzi. Cheo kimoja ila ni watu wawili tofauti.

Pia diplomasia ya misaada zina walakini maana zinaweza kuondoa uwezo wa taifa kujiamulia mambo yake yenyewe. Ukisema Iran wametufanyia hivi au vile, kumbuka pia Israel wametufanyia mengi nchi hii kuanzia kutujengea mfumo mzima wa JKT, hospitali ya Muhimbili hadi kama sikosei UDSM (hasa Nkrumah Hall).
 
Back
Top Bottom