Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

Mi nachojua hata kama hupendi show off pesa haijifichi, hivi msanii maarufu anaweza akajenga nyumba ya maana watu wasiijue? At least hao kina Dewji wanaweza wakaficha maana sio watu wanaofatiliwa kama watu wa entertainment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona watu hawajibu hoja sasa

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Mkuu watasema na nyumba sio yake
 
Mkuu hvi siku hizi watu wakienda kushoot video marekani huenda na magari yao??


Hebu fafanua umiliki wa diamond kwenye hii gari
Kuna wajinga na wapumbavu wanaamini hii ndinga ya Mond
 
Mkuu pesa haijifichi kabisa maana hata billget ana pesa lakini hana show off ila utajiri wake ameshindwa kuuficha na dunia nzima inajua jamaa ana utajiri wa 90 billion doller yaani utajiri ni kaka maziwa kwa wadada hayajifichi
 
asante kwa comment yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanini mashabiki wa diamond mnatafuta kufananisha mtu asiye wa level ya diamond?

kiba hampati hata kidogo diamond si kimziki wala kifedha, nyie sahauni na mlale usingizi wa amani na msiweweseke

huyo diamond wenu mfananisheni na kina davido na wizkid na wenzao wa nigeria huko hapa simba hana wa kufananisha naye. muwe na amani kabisa....hahahahaaaa
 
Mkuu umeyajuaje haya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…