Akili zimewakaa sawa, chezea mwamba wewe🤣Sasa ikawaje tena mkaenda kumshtaki ICC.??
Elections 2015 - Rais Jakaya Kiwete ashitakiwa Mahakama ya Kimataifa ya ICC
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimemshitaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete. Anaandika Josephat Isango. Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo mchana ukumbi wa Kisenga uliopo Millenium Tower, wakili wa Chadema, John Mallya amesema Kikwete...www.jamiiforums.com
Wewe utakua walewale waliokua wanufaika kipindi hicho na sasa mfereji umekatwa na utawala imara wa sasa hiviHilo halina ubishi, kuwa Kikwete alikuwa bora zaidi kuliko huyu Magufuli
Kigezo pekee cha kumfanya kiongozi kuwa bora ni namna anavyoruhusu Uhuru wa kutoa maoni na kuruhusu vyama vya kisiasa kutekeleza wajibu wake kwa mujibu wa Katiba
Huyu tuliye naye hivi sasa haruhusu Uhuru wa mawazo na vyama vya kisiasa vya upinzani kufanya shughuli zao za kisiasa kwa mujibu wa Katiba ya nchi
Kwa maana hiyo ni lazima yeye aonekane mbovu, kwa kuwa anaisigina Katiba na kuruhusu wateule wake wajimwambafai kwa hiyo waishi wakiwa na "impunity"
Refer kesi za akina Paul Makonda, Albert Chalamila, Ole Sabaya, Mrisho Gambo na Alli Hapi
Enzi za JK
-Hakuwahi kupiga ufisadi wa trilioni 2.4 hata kama ungeunganisha EPA, ESCROW na RICHMOND
-Hakuna mfanyabiashara aliyehamisha biashara kama hivi sasa.
-Watumishi wa umma waliongezewa mishahara na kupandishwa vyeo kila mwaka tofauti na ilivyo leo. Wakat anawaaga Mei Mosi 2015, aliwaambia atawaacha vizuri. Na kweli July aliwaongezea mshahara ambao ndo wanatembela hadi leo.
-Wakulima wa korosho hawakuwahi kudhulumiwa na serikali.
-Ajira za moja kwa moja kila mwaka wala si za kuomba kama leo.
-Deni la taifa halikupaa kwa spid ya bombadia.
-Bei za bidhaa mtaani zilikuwa chini tofauti na hii leo.
-Hotuba za kila mwisho wa mwezi zilileta matumaini.
-Wapinzani walifanya mikutano na maandamano bila kizuizi.
Yapo mengi, ni bora angerudi awamu hii hata kwa miaka miwili tu!
View attachment 1228232
Hadi watoto walimpenda
Bujibuji/ujiujiKikwete alikuwa bora zaidi kwenye social issues, sherehe, Musiba, burudani na safari za nje.
Kulikuwa na ubadhirifu makubwa sana kipindi cha mtawala wake, alihalalisha matumizi mabaya ya fedha za umma
Nchi hii imebahatika kuwa na Marais wawili tu
Mwalimu Nyerere na Benjamin Mkapa
Hizi takataka zingine hovyo kabisa.
Wizi au matumizi mabaya ya fedha za umma ni zaidi awamu hii. Tofauti na awamu ya Kikwete, wanufaika sasa ni wachache sana kuna ka inner circle fulani. Wakati wa Jakaya walikuwa wengi sana toka messanger hadi top most.Kikwete alikuwa bora zaidi kwenye social issues, sherehe, Musiba, burudani na safari za nje.
Kulikuwa na ubadhirifu makubwa sana kipindi cha mtawala wake, alihalalisha matumizi mabaya ya fedha za umma
Dhambi iliyoje kumwabudu na kumsujudia mwanadamu mwenzako huku ukimuacha Mungu peke yake! Hakuna dhambi iizidiyo unafiki kwa Mola. Na itakutafuneni kabla ya umauti wenu ili mmrejee Munga wa kweli!Nyie ndio mliyekua mkisema Kikwete ni Rais dhaifu haijawai tokea. Ata mlisahau uo uhuru wakuongea mliokuanao, mlivuka mipaka ya Matusi na dharau. Nchi ilifunga na kuomba kumpata JPM.ila kwasasa mmekuja na swaga zingine.
Alimuua nani?Wewe ni boya mmoja tu, eti nchi ilifunga ili kumpata JPM baada ya kumpata kafanyaje?
Unadhani Mungu anasikia maombi ya watu wapumbavu?
Ukivuta taswira ya Mungu alivyo, Unadhani Mungu anavaa suti?
Mungu hawezi kuweka kiongozi Dikteta, muuaji, katili Kama JPM wako, viongozi wanaowekwa na Mungu ni viongozi wenye hekima, Hitler, Saddam, Mobutu ,Idd Amin na JPM wako ni zao la Ibilisi
ujitambui ww shoga anguTatizo mnashindwa kutofautisha kukosoa na kutukana.
Nitake radhi mimi sio mwanamke.!ujitambui ww shoga angu
Mkuu huo ni mtazamo wako.
Wako wanayemuona JPM is the best.
Wapo wanayemuona JK was the best.
Wapo wanayemuona Nyerere ndio bora na hajawahi kutokea.
Wapo wanayemuona Mwinyi alikuwa ni bora pia.
Hii nchi imepitia vipindi vingi tofauti tofauti toka uhuru, na Marais wote watano kila mmoja amekutana na kipindi chake ambacho kitamlazimisha kutenda kulingana na wakati aliopo..
JK NYERERE, alitawala nchi ikiwa imetoka kwa mkoloni na haikuwa na chochote kama msingi wa maisha wa Watanzania kifupi ilikuwa kipindi cha kuanzisha Taifa. Kwa wakati huo ilimpasa Nyerere atenda ambavyo azingeweza kutenda wakati huu, Unafikiri JPM angetawala wakati ule angaejenga SGR na flyover? kila kitu huenda kulingana na mahitaji. KAZI KUBWA YA NYERERE ILIKUWA KUJENGA MISINGI NA KUWEKA NJIA ITAKAYOTUMIKA KAMA PILOT..
Hii ndiyo serikali iloyouza nyumba zake bei chee kabisa.Wewe ni mjinga! Rais anataka badala ya hela nyingi hivyo kwenda kwenye pango badala yake wajenge majengo yao au wapange kwenye majengo ya selikali ili hizo hela ziende zikafanye mambo mengine ya kiselikali.
Kama walishindwa kutoa maelezo ya kueleweka kweny 1.5 Trillion .......Kikwete alikuwa bora zaidi kwenye social issues, sherehe, Musiba, burudani na safari za nje.
Kulikuwa na ubadhirifu makubwa sana kipindi cha mtawala wake, alihalalisha matumizi mabaya ya fedha za umma
Wewe ni mjinga! Rais anataka badala ya hela nyingi hivyo kwenda kwenye pango badala yake wajenge majengo yao au wapange kwenye majengo ya selikali ili hizo hela ziende zikafanye mambo mengine ya kiselikali.