Pamoja na mapungufu yake kwa ujumla, Mzee Kikwete alikuwa bora kuliko Rais Magufuli

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Messages
1,533
Points
2,000

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2015
1,533 2,000
Sikuwahi kusikia JK akiagiza serikali isipange nyumba sector binafsi, hili agizo la juzi ndani ya mwezi wahame!? Sijui hizo nyumba ni za Wageni ama Watanzania. Mbali ya ofisi watumishi wangapi wanapanga makazi binafsi!? Kwanini chuki na sector binafsi!? Hata kandarasi za ndani , wajenzi mbali ya bei elekezi miradi bado hawalipwi kwa wakati.Hii roho mbaya inadumaza taifa,ile dhana ya "multiplier effect " nadhani amekariri msemo pekee.
Lengo la huyu mburura ni kuua uchumi wa nchi na hakika Amefanikiwa
 

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Messages
1,533
Points
2,000

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2015
1,533 2,000
Sikuwahi kusikia JK akiagiza serikali isipange nyumba sector binafsi, hili agizo la juzi ndani ya mwezi wahame!? Sijui hizo nyumba ni za Wageni ama Watanzania. Mbali ya ofisi watumishi wangapi wanapanga makazi binafsi!? Kwanini chuki na sector binafsi!? Hata kandarasi za ndani , wajenzi mbali ya bei elekezi miradi bado hawalipwi kwa wakati.Hii roho mbaya inadumaza taifa,ile dhana ya "multiplier effect " nadhani amekariri msemo pekee.
Lengo la huyu mburura ni kuua uchumi wa nchi na hakika Amefanikiwa
 

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Messages
3,703
Points
2,000

Countrywide

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2015
3,703 2,000
Lengo la huyu mburura ni kuua uchumi wa nchi na hakika Amefanikiwa
Wasome hapa makamanda, ili ujue vizuri kikwete ikuwaje
 

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Messages
1,533
Points
2,000

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2015
1,533 2,000
Wewe ni mjinga! Rais anataka badala ya hela nyingi hivyo kwenda kwenye pango badala yake wajenge majengo yao au wapange kwenye majengo ya selikali ili hizo hela ziende zikafanye mambo mengine ya kiselikali.
Mjinga ni wewe mbumbumbu usiye jua lolote kazi yako ni kusifia tu pumbavu mkubwa wewe, eti pesa zikafanye mambo mengine, mambo gani? ya kumtia mimba mkeo?
Watu waishije mtaani Kama mzunguko wa pesa hakuna?
Mtu akipangisha nyumba yake anapata pesa za kuendeshea maisha yake, nyau jike wewe.
 

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Messages
3,703
Points
2,000

Countrywide

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2015
3,703 2,000

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
6,889
Points
2,000

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
6,889 2,000
Enzi za JK
-Hakuwahi kupiga ufisadi wa trilioni 2.4 hata kama ungeunganisha EPA, ESCROW na RICHMOND

-Hakuna mfanyabiashara aliyehamisha biashara kama hivi sasa.

-Watumishi wa umma waliongezewa mishahara na kupandishwa vyeo kila mwaka tofauti na ilivyo leo. Wakat anawaaga Mei Mosi 2015, aliwaambia atawaacha vizuri. Na kweli July aliwaongezea mshahara ambao ndo wanatembela hadi leo.

-Wakulima wa korosho hawakuwahi kudhulumiwa na serikali.

-Ajira za moja kwa moja kila mwaka wala si za kuomba kama leo.

-Deni la taifa halikupaa kwa spid ya bombadia.

-Bei za bidhaa mtaani zilikuwa chini tofauti na hii leo.

-Hotuba za kila mwisho wa mwezi zilileta matumaini.

-Wapinzani walifanya mikutano na maandamano bila kizuizi.

Yapo mengi, ni bora angerudi awamu hii hata kwa miaka miwili tu!
View attachment 1228232
Hadi watoto walimpenda

Utakuwa hauna akili tu. Enzi za JK wafanya biashara walikuwa hawalipi kodi, wauza unga kama wewe mlikithiri kila kona ya nchi, wafanyakazi wa umma walikuwa hawafanyi kazi wala kufika kazini walikuwa hawaendi lakini wanalipwa. Huwezi ukawa na akili timamu ukapenda utawala wa Kikwete, lazim utakuwa unatafuta uchokozi tu au unataka watu wacheke wakati Mze wa watu anajuta kwanini alikuwa rais wetu. Simply he was just a useless leader. Angalia picha jinsi mtoto anavyotaka kumuua kwa hasira huku yeye akijichekesha na kumshangaa mtoto.
 

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Messages
1,533
Points
2,000

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2015
1,533 2,000
Wasome hapa makamanda, ili ujue vizuri kikwete ikuwaje
Hayo ni mawazo yao hayahusiani na uhovyo wa Magufuli
 

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Messages
17,172
Points
2,000

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2007
17,172 2,000
Kikwete alikuwa bora zaidi kwenye social issues, sherehe, Musiba, burudani na safari za nje.
Kulikuwa na ubadhirifu makubwa sana kipindi cha mtawala wake, alihalalisha matumizi mabaya ya fedha za umma
Mkuu upo sahihi, ila je kwasas hakuna Ubadhirifu mkubwa?
hujiulizi kwanini tuna Bunge giza?
hujiulizi kwanini hakuna nanayeruhusiwa kuhoji?
kina choendelea kwa sasa ni kufucha madudu na hakika siku akitoka yatafufuka yote.
 

Themagufulianz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2017
Messages
1,996
Points
2,000

Themagufulianz

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2017
1,996 2,000
ishu ya nyumba iliyokodishwa...
serikali inalipa 2bilions a year tax free

nyumba 1 tu na ziko kama 200
serikali inafaidikaje hapo?

Boss unatetea kwa nguvu zote...
u need a very good face slap akili irudi
Watu binafsi wakifanya biashara watalipa kodi. Serikali ni mteja mzuri wa kuhamasisha biashara katika sekta binafsi. Chukua mfano wa hoteli.
 

Uwazitu

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2019
Messages
489
Points
500

Uwazitu

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2019
489 500
NAOMBA NIFAHAMISHWE:-

- Kwanini daftari la wapiga kura la Tume ya Uchaguzi na vitambulisho visitumike kwenye uchaguzi serikali za mitaa?

- Baada ya kuandikisha kwa ajili ya uchaguzi serikali za mitaa, Tume ya uchaguzi nao wataanza kuboresha daftari la wapiga kura na kuandikisha wengine waliofikia umri wa kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu?

- Je, siyo matumizi mabaya ya fedha za umma na muda?

- Au kuna mpango wa kupiga hela kwa kulipa mara mbili kwa kazi moja?

Je, kutumia vituo vya ofisi za serikali za mitaa ambapo wananchi hujiabdikisha siku zote kuna tatizo gani?

MAMA SAMIA UMEJIANDIKISHA, SAWA, LAKINI KWANINI DAFTARI LA WAPIGA KURA LISIWE MOJA?
 

mafutamingi

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Messages
1,539
Points
2,000

mafutamingi

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2011
1,539 2,000
Nyie ndio mliyekua mkisema Kikwete ni Rais dhaifu haijawai tokea. Ata mlisahau uo uhuru wakuongea mliokuanao, mlivuka mipaka ya Matusi na dharau. Nchi ilifunga na kuomba kumpata JPM.ila kwasasa mmekuja na swaga zingine.
Tunaomba radhi kwa wale tuliomwita JK dhaifu. Huyu alikuwa Rais mwenye utu. Sasa hivi Tanzania ni jehanum. Hakukaliki. 2026 ifike mapema.
 

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Messages
3,703
Points
2,000

Countrywide

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2015
3,703 2,000
Tunaomba radhi kwa wale tuliomwita JK dhaifu. Huyu alikuwa Rais mwenye utu. Sasa hivi Tanzania ni jehanum. Hakukaliki. 2026 ifike mapema.
Sasa ikawaje tena mkaenda kumshtaki ICC.??
 

samurai

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2010
Messages
6,557
Points
2,000

samurai

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2010
6,557 2,000
JK alikuwa ni dini gani? kama ni Muislamu na ametoka Pwani kuna maneno utayasikia humu mpaka utashangaa.

Nchi hii marais waliofanya vibaya ni MWINYI na JK wengine wote kuanzia NYERERE, MKAPA n huyu wa sasa JPM huwa wanafanya na wamefanya vizuri..

Lakini maajabu yaliyopo hii nchi mpaka leo bado masikini tena ombaomba, nafikiri ni sababu ya JK na Mwinyi,Nchi hii watoto bado wanakaa chini mashuleni chanzo ni JK na Mwinyi, Nchi imeibiwa sana chanzo ni JK na Mwinyi.
Watanzania tuache unafiki tujaribu kuwa na fikra huru ili kuokoa vizazi vyetu, sote ni watanzania
 

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Messages
11,810
Points
2,000

eddy

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2007
11,810 2,000
Mjinga ni wewe mbumbumbu usiye jua lolote kazi yako ni kusifia tu pumbavu mkubwa wewe, eti pesa zikafanye mambo mengine, mambo gani? ya kumtia mimba mkeo?
Watu waishije mtaani Kama mzunguko wa pesa hakuna?
Mtu akipangisha nyumba yake anapata pesa za kuendeshea maisha yake, nyau jike wewe.
Mbona omo nyingi? Vipi Ada imetikiswa Nini?
 

Forum statistics

Threads 1,343,336
Members 515,022
Posts 32,781,192
Top