Pamoja na mapungufu yake kwa ujumla, Mzee Kikwete alikuwa bora kuliko Rais Magufuli

Wewe ni boya mmoja tu, eti nchi ilifunga ili kumpata JPM baada ya kumpata kafanyaje?
Unadhani Mungu anasikia maombi ya watu wapumbavu?
Ukivuta taswira ya Mungu alivyo, Unadhani Mungu anavaa suti?
Mungu hawezi kuweka kiongozi Dikteta, muuaji, katili Kama JPM wako, viongozi wanaowekwa na Mungu ni viongozi wenye hekima, Hitler, Saddam, Mobutu ,Idd Amin na JPM wako ni zao la Ibilisi
Si ndio hapo. Yani Mungu huyu huyu anayetusisitiza tupendane (mpende jirani yako Kama nafsi yako) ndio atuletee mtu asiye na upendo na aliyejaa chuki kuu na ukatili moyoni mwake??
 
Wote wana mazuri na mapungufu yao kama alivyomwanadamu yeyote. Kwa ujumla Magufuli angeweza kuwa raisi mzuri sana kama angeruhusi vyama vya upinzani na kuacha uhuru wa vyombo vya habari. Hilo la kutokuachia democracy ichukue mkondo wake kunampunguzia maksi. Lakini hata hivyo kwa mambo aliyofanya bado yuko juu ya Kikwete kwa maoni yangu.
 
Wewe ni mjinga! Rais anataka badala ya hela nyingi hivyo kwenda kwenye pango badala yake wajenge majengo yao au wapange kwenye majengo ya selikali ili hizo hela ziende zikafanye mambo mengine ya kiselikali.
Sasa wewe dada matusi ya nini?
 
Kwanini nasema hivyo.

Nyerere kwangu anabebwa suala moja tu la kujenga taifa na kuimarisha utaifa ambalo wafuasi wake walikuta taifa tulivu hivyo jukumu la kuleta maendeleo ilikuwa rahisi zaidi kwao kutokana na misingi ya maendeleo kuwepo.

Mkapa kwangu pia anabebwa na hoja ya kujitahidi sana kuimarisha misingi ya ukuaji wa uchumi ambao rais Kikwete alinufaika nao sana.kama rais Kikwete angedhibiti ufisadi kwangu mimi angekuwa bora baada ya Nyerere.

Kwanini Nimewatoa Kikwete Mwinyi na Magufuli ?

Mzee Mwinyi kuna sehemu alijitahidi hasa kutokana na hali alivyoikuta nchi kosa kubwa la utawala wa mzee Mwinyi ni kushindwa kujenga misingi ya utawala bora katika ideolojia mpya ya uchumi yaani ubepari, lakini utawala wa.mzee mwinyi ulisimika rasmi misingi ya rushwa na ufisadi.

Mzee kikwete mapungufu yake makubwa ni kushindwa kudhibiti rushwa na ufisadi lakini utawala wake ulishiriki kuulinda na kuupalilia ufisadi, wakati wake ufisadi uligeuka kuwa mfumo rasmi wa maisha ya wanasiasa na kila mwanasiasa aligeuza siasa kama chanzo cha utajiri.

Mzee Magufuli yawezekana kuna sehemu he is doing good lakini mapungufu yake kiuongozi ni mengi kuliko mazuri, nachokiona Magufuli anacho ni uthubutu na utashi lakini hana weledi.

Magufuli hajui nini maana ya maendeleo ndiyo maana toka ameingia madarakani nchi imeparaganyika kiuchumi na hakuonekani dalili zozote za kusonga mbele.

Magufuli anachembechembe za udikteta na ubaguzi, roho ya visasi na ukosefu wa busara, kwangu mimi kiuongozi nampa Mark's 1/5

Tukiamua kuacha ushabiki na kusimama kwenye Uhalisia utagundua Tanzania bado haijawahi kuwa na Rais ambaye unaweza kusema ni the best, bali kila mtu alijitahidi kufanya portion yake kulingana na wakati wake. Kwa resources zote tulizo nazo yapo mambo ya msingi matatu ambayo huhitaji miaka 20 kuyamaliza, MARADHI, UMASIKINI,UJINGA. Maradhi, Umasikini na Ujinga hizi ni basics kwenye Taifa lolote ambazo unapaswa uzimalize haraka ili mbeleni usiingie kwenye matatizo.. MaRais wote wameshindwa kumaliza hizi basics mpaka sasa.
 
Mi kura Kwa mkapa alikuwa bora zaidi ya nyerere.. Alaf Huyu magu the don cjui atamaliza lini yaani..
 
Wameshindwa kuzimaliza kwa sababu chama cha mapinduzi kimeyageuza haya kuwa mtaji wake wa kubakia madarakani.

Ujamaa wa Nyerere ulituchelewesha kupiga hatua za kimaendeleo lakini ulisaidia kuimarisha utaifa na kujenga taifa moja.

Na mpaka sasa chama cha mapinduzi sera zake ni za kijamaa lakini bahati mbaya ujamaa wa kishamba siyo kama wa.wenzetu wa China ambao wameruhusu sector binafsi kukua.

Rais kikwete alikuwa na mwelekeo sahihi wa kiuchumi ndiyo maana nchi ilianza kupiga hatua kwa haraka hasa katika sekta zenye kundi kubwa.

Tatizo la serikali za ccm nikukosa mwendelezo wa sera zake (kama wanazo)
Tunapaswa kuweka sera zetu with a PEOPLE CENTRED DEVELOPMENT VISION siyo hizi za hovyo za Magufuli za INFRASTRUCTURAL CENTERED DEVELOPMENT VISION wakati nchi ikiendelea kuzalisha mafukara kila uchao.
Tukiamua kuacha ushabiki na kusimama kwenye Uhalisia utagundua Tanzania bado haijawahi kuwa na Rais ambaye unaweza kusema ni the best, bali kila mtu alijitahidi kufanya portion yake kulingana na wakati wake. Kwa resources zote tulizo nazo yapo mambo ya msingi matatu ambayo huhitaji miaka 20 kuyamaliza, MARADHI, UMASIKINI,UJINGA. Maradhi, Umasikini na Ujinga hizi ni basics kwenye Taifa lolote ambazo unapaswa uzimalize haraka ili mbeleni usiingie kwenye matatizo.. MaRais wote wameshindwa kumaliza hizi basics mpaka sasa.
 
acha kumlingamisha kikwete na wapumbavu,usimlinganishe kikwete na kubwa jinga makomeo,kikwete ni kiongozi na ana akili vya uongozi
 
Wameshindwa kuzimaliza kwa sababu chama cha mapinduzi kimeyageuza haya kuwa mtaji wake wa kubakia madarakani.

Ujamaa wa Nyerere ulituchelewesha kupiga hatua za kimaendeleo lakini ulisaidia kuimarisha utaifa na kujenga taifa moja.

Na mpaka sasa chama cha mapinduzi sera zake ni za kijamaa lakini bahati mbaya ujamaa wa kishamba siyo kama wa.wenzetu wa China ambao wameruhusu sector binafsi kukua.

Rais kikwete alikuwa na mwelekeo sahihi wa kiuchumi ndiyo maana nchi ilianza kupiga hatua kwa haraka hasa katika sekta zenye kundi kubwa.

Tatizo la serikali za ccm nikukosa mwendelezo wa sera zake (kama wanazo)
Tunapaswa kuweka sera zetu with a PEOPLE CENTRED DEVELOPMENT VISION siyo hizi za hovyo za Magufuli za INFRASTRUCTURAL CENTERED DEVELOPMENT VISION wakati nchi ikiendelea kuzalisha mafukara kila uchao.

Good Analysis mkuu...

Matatizo mengi katika nchi husababishwa na CCM kama taasisi ili yenyewe iendelee kutawala, Dhumuni kuu la CCM ni kutawala.
Maendeleo kwa Tanzania sio priority namba moja kwa CCM.

Mchakato wa katiba mpya ni CCM ndio ilisababisha usiendelee licha ya dhamira njema ya JK, katiba mpya ilikuwa kaa la moto kwa CCM kulingana na tathmini walioifanya hivyo ilikuwa lazima mchakato ufe eti leo hii watu na akili zao kabisa wanamlaumu JK dah inasikitisha sana..
 
Wameshindwa kuzimaliza kwa sababu chama cha mapinduzi kimeyageuza haya kuwa mtaji wake wa kubakia madarakani.

Ujamaa wa Nyerere ulituchelewesha kupiga hatua za kimaendeleo lakini ulisaidia kuimarisha utaifa na kujenga taifa moja.

Na mpaka sasa chama cha mapinduzi sera zake ni za kijamaa lakini bahati mbaya ujamaa wa kishamba siyo kama wa.wenzetu wa China ambao wameruhusu sector binafsi kukua.

Rais kikwete alikuwa na mwelekeo sahihi wa kiuchumi ndiyo maana nchi ilianza kupiga hatua kwa haraka hasa katika sekta zenye kundi kubwa.

Tatizo la serikali za ccm nikukosa mwendelezo wa sera zake (kama wanazo)
Tunapaswa kuweka sera zetu with a PEOPLE CENTRED DEVELOPMENT VISION siyo hizi za hovyo za Magufuli za INFRASTRUCTURAL CENTERED DEVELOPMENT VISION wakati nchi ikiendelea kuzalisha mafukara kila uchao.
Kwahiyo ingeshinda CHADEMA ndo wananchi wangekuwa matajiri?
 
Watanzania tu watu wa ajabu sana
Yaani kikwete huyu huyu mliemwambia akizidisha dakika moja tu ya utawala wake nchi itatiririka damu leo ndio mnamsifia?
 
Kama walishindwa kutoa maelezo ya kueleweka kweny 1.5 Trillion .......
Kwa jinsi walivyomkomalia CAG na kubana report yake pamoja na kumpunguzia bajeti ........
Hizo pesa akina Bashite wanazogawa mpaka 100 million wanazitoa wapi.............?
Hizo pesa zinazogawiwa kama pipi kwenye ziara zinatoka wapi ...........................?
Hivi kweli bado unauhakika pesa yetu ipo salama ............!!? Kwa sasa ni vigumu kujua kutokana na usiri wa awamu hii. Ila wakiondoka siri zitavuja na kujua ukweli.
CCM ni ileile
 
Wizi au matumizi mabaya ya fedha za umma ni zaidi awamu hii. Tofauti na awamu ya Kikwete, wanufaika sasa ni wachache sana kuna ka inner circle fulani. Wakati wa Jakaya walikuwa wengi sana toka messanger hadi top most.
Kwenye nganda ni hivyo hivyo. Wengi wameondolewa Kwenye biashara. Wamebaki wachache wenye connection na Bashite. Lakini biashara iko pale pale.
Saa hizi Nchi inaliwa na Wasukuma
 
Hilo halina ubishi, kuwa Kikwete alikuwa bora zaidi kuliko huyu Magufuli

Kigezo pekee cha kumfanya kiongozi kuwa bora ni namna anavyoruhusu Uhuru wa kutoa maoni na kuruhusu vyama vya kisiasa kutekeleza wajibu wake kwa mujibu wa Katiba

Huyu tuliye naye hivi sasa haruhusu Uhuru wa mawazo na vyama vya kisiasa vya upinzani kufanya shughuli zao za kisiasa kwa mujibu wa Katiba ya nchi

Kwa maana hiyo ni lazima yeye aonekane mbovu, kwa kuwa anaisigina Katiba na kuruhusu wateule wake wajimwambafai kwa hiyo waishi wakiwa na "impunity"

Refer kesi za akina Paul Makonda, Albert Chalamila, Ole Sabaya, Mrisho Gambo na Alli Hapi
Kwani mabomu ya Arusha na kifo Cha mwangosi na mawazo kilikuwa kipindi gani?
Tindikari kwa kubrnea na Dr ulimboka ni kipindi kipi?
 
Back
Top Bottom