Pamoja Na Kwamba tuna Career zetu ni Vema Tukajifunza Little skills tofauti na career zetu!

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,307
8,647
Labda Huenda wewe umebobea katika kitu Fulani, labda ndio career yako ni vema ujifunze mambo mengine madogo madogo!

Mfano mimi Nasoma Civil, ila ninajifunza Programming....najifunza namna ya ku crack software, najifunza namna ya kutengeneza injini ya gari!

Tujifunze....Ujuzi Hauzeeki!
 
Wazo zuri sana
 
Electrical engineer also I do Telecom stuff like installations and commissioning MW link,fiber optics BTS also I know Networks like routers configuration mostly CISCo sasa napambana kujua kufunga PABX na AVR
 
Hongera sana Mkuu, Endeleza Ujuzi
 
AutoCAD, ArchiCAd , Master Series na Prokon ushazi master?
As an Engineer mkuu unahitaji Autocad kwa ajili ya drafting achana na ArchCad, ikiwa una nia ya Ku masta softwares. Kwa softwares za analysis (BIM) unahitaji sana Staad Pro, hii inafanya structures zote na unaweza import michoro yako kutoka AutocaD na ku ecport kwenda AutoCad pia, ingawa kwa structures kama Culverts na Bridges nashauri zaidi Midas Civil.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom